Rais Samia afungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za SADC, leo Julai 3, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa Gran Melia jijini Arusha leo tarehe 3 Julai, 2023.



IMG_7855.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati akielekea kushiriki na kufungua Mkutano

IMG_7851.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maspika, Naibu Maspika pamoja na wajumbe wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF)

IMG_7852.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali, Maspika, Naibu Maspika pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 53 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF)

IMG_7854.jpeg

IMG_7853.jpeg
Wajumbe wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF) wakiwemo Maspika, Naibu Maspika, Wabunge pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye Mkutano
 
Bandari yetu vipi?
 

Attachments

  • EA031A2B-1E3D-42E1-910D-A5AB33E68FE8.jpeg
    EA031A2B-1E3D-42E1-910D-A5AB33E68FE8.jpeg
    24.4 KB · Views: 2
  • EFB7C04C-C757-40D9-8A24-1A90EA1C5815.jpeg
    EFB7C04C-C757-40D9-8A24-1A90EA1C5815.jpeg
    40.7 KB · Views: 2
1. Kwa Mujibu wa makubaliano kuhusu uendeshwaji Bandari zetu Kwa kuwatumia DP word, ni madhara Gani Nchi za SADC, EAC Kwa ujumla watayapata?
 
Awaeleze kabisa kwamba vipengele vya kuiuza Tanganyika vinarekebishwa lini
 
Back
Top Bottom