Rais Ruto apunguza Bei ya Mbolea kwa 28% Ili kuongeza Mavuno na kuachana na Importation ya Vyakula!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,044
Nimeweka hapa Hii taarifa kama angalizo kwa Wakulima wa Tanzania ambao wanategemea zaidi soko la Kenya

Rais Ruto ameweka ruzuku kwenye Mbolea na Kufanya Bei ishuke kutoka Ksh 3500 hadi Ksh 2500 kuanzia jana

Ruto amesema lengo lake ni kuona Kenya inajitosheleza na kuachana kabisa na uagizaji wa mazao ya chakula kutoka Nje ya nchi

Source: Citizen TV

Mlale Unono 😃😃
 
Back
Top Bottom