THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Magufuli kawashika pabaya mliozoea kuishi kisanii.Mtaongea lugha zote mwaka huu.
Nyota njema huonekana asubuhi!Yaani mwaka mmoja wa Magufuli unalingakisha Na miaka kumi ya Kikwete.
Hebu mpe heshima yake Kikwete basi
Ishu ya Lugumi imeishia wapi?Ya magufuli tunayaona na hakuna cha mchakato wala tume...ni vitendo kazini....hayo ya kikwete wako unayajua mwenyewe.
Sitawaangusha.Hivi unadhan yeye yupo tayar kuish kwa stress atakapostaafu?Aliposema hatafukua makaburi ndo ameshajibu kila jambo kuhusu ufisad
Ishu ya ushahidi wa mlungula imeishia wapi?Ishu ya Lugumi imeishia wapi?
Kwani wana tatizo gani hao wastaafu?Yaani hayo ya mafisadi hawezi kugusa. Maana akigusa, tayari amewaweka pabaya mh kikwete na mkapa ktk hali ngumu. Hawawezi kuchomoka
Labda kafuata ushauri wa mrisho mpoto kwenye wimbo wa sizonjeUwezo wa kupambana na ufisadi tunao, nia tunayo, na sababu tunayo!
Kwanini MAGUFULI hataki kupambana na mafisadi? Kwanini anasema hataki kufukua makaburi?
Hili naona kama lina ukweli flani iviHuyu kazi yake ni kuonea watumishi tu.
Lugumi wa juzi uyu ila kaachiwa kizembe sana, issue ya ufisadi ni ngumu kuishinda maana sikutegemea LUGUMI anaweza kupita kiraisi sana na kushindwa kuazibiwa tena kwa awamu hii ya mtu nilinuona yupo serious labda kuzibiti watumishi wa umma tu ndio atafanikiwaTumewasamehe mafisadi wote! Sasa tutengeneze Tanzania mpya! Wahenga wanasema Tusahau yaliyopita tugange yajayo! Tukianza kufukua makaburi muda huu tutajikuta miaka mitano imesepa hatujafanya chochote kile! Watanzania tuache Roho mbaya tusahau yaliyopita! Chuki hazijengi!
Nilitegemea Mswada wa kwanza kupeleka bungeni ungekuwa wa kupunguza mshahara wa rais kutoka milioni 35 kwa mwezi mpaka angalau milioni 5 hivi......
Wakifatiwa wafanyakazi wengine waandamizi wa serikali ndio tuje kwa wafanyakazi wadogo.
Lakini matokeo yake kilichokimbizwa bungeni ni miswada ya
1 : kuondoa fao la kujitoa
2: kutengeneza mswada hatari kwa vyombo vya habari
3: Na sasa mswada wa kupunguza mishahara ya wafanyakazi.
Kwenye kupambana na ufisadi ndio umechemka kabisa huko kwani umeshaaidi kuwalinda mafisadi wakuu wa nchi hii...
Fisadi mwenzao mwingine umefanikisha akapewa cheo kikubwa bungeni huku ukisahau kuwa yeye ndiye chanzo cha hizo Escrow, Rada na mengine mengi alipokuwa mwanasheria mkuu wa serikali..
Hakika nimeiona nguvu ya soda baada ya kauli yako juzi kuwa uwezi kufukua makaburi maana ukifukua utashindwa kuyafukia.....
Imani yangu ilikuwa imebaki kwako kwenye swala la kupambana na ufisadi kumbe ni Zero kabisa.
Kama unashindwa kumkamata aliyekula pesa ya kiwanda Lindi utaweza kumkamata anayelipwa milioni 400 kila siku kupitia IPTL?
Hapa kwenye kupambana na ufisadi umezidiwa hata na Kikwete kipindi hiki alikuwa tayari ameshaikamata ile Nyumba iliyokuwa imejengwa south Africa na kiongozi mmoja wa hawamu ya 3 tena ndani ya mwaka 1
Chenji ya Rada ilikuwa imeanzishiwa mchakato wa kurudishwa nchini kutoka uwingereza.
Magufuli utakuwa hauna cha kukumbukwa kama umeshindwa vita juu ya ufisadi.....
Zaidi ya maneno mengi na mikwala kibao lakini unakuwa kama nyoka aliyetolewa meno ya sumu.

Mbowe ameombwa ushahidi na chombo gani akakataa kuutoa? PM, kinana na sendeka hakuna aliyekanusha kuhonga wabunge. Subiri PM akanushe ndo mumuulize Mbowe kuhusu huo ushahidi.Ishu ya ushahidi wa mlungula imeishia wapi?
[HASHTAG]#mboweachausanii[/HASHTAG]