Rais Magufuli: Uhakiki mdogo umeshabaini watumishi hewa 1,680 Serikalini!

Siwezi shangaa maana kuna watu wamejipa mgodi wa kiwira tena wakiwa Ikulu ,kila mtu alikua anakula kwa urefu wa kamba yake

Hii nchi imeoza ,badilisheni mifumo hamtaki ,
 
pia amesema mshahara wa mwisho utakuwa ni ml.15 serikalini baada ya kufanya harmonization scheme
 
Yaani hii nchi ilikuwa imejaa wezi kupita kiasi. Huyo sio wa kumuhurumia,tutumie sheria za China nyakati zingine ili mambo yaende
 
ImageUploadedByJamiiForums1459272652.437495.jpg

Aliechora katuni kanifurahisha sana.
 
Mmh jamani wengine wanapumulia mashine mshahara ni madeni tu wanakula,ye 17 wonders shall never end
 
Back
Top Bottom