Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana. Tanzania itabarikiwa!

Hii strategy yako ya kusifia upumbavu ili upate ulaji unajidanganya ndugu yangu.

Kama elimu yako imesimana nakushauri ingia upinzani. Piga spana za kutosha hii serikali. Yani jinsi utakavyokuwa ukiongeza kupiga spana, na dau lako linaongezeka. 2025 lazima upate teuzi.

Ila ukiendekea hivi utaishia kuwa kana toilet paper
 
Wanabodi

ANGALIZO:

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika na kubeza kwa sababu wanatamani rais Magufuli na serikali yake, ashindwe ili wakosoe, wabeze na kutukana. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujipendekeza, kujikomba kuusaka uteuzi, u-DC, au kusaka shavu au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako ya Jumapili ya leo na kuianza Jumatatu ya kesho kwa kisirani.

Pongezi za Kweli na za Dhati.
Kiukweli tunapompongeza rais wetu Magufuli, sio wote ni praise team, ndio maana pongezi zetu ni pale anapofanya mambo mazuri, ni pongezi genuine sio za kujikomba au kufukuzia uteuzi, mtu anayesaka uteuzi kazi yake itakuwa ni kupongeza tuu, lakini mimi napongeza kwa mazuri na kwenye mabaya nakosoa.

Kwanza tukubalieni, hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu pekee na malaika wake!. Pili Rais Magufuli ni binadamu, na sio malaika, hivyo pia sio mkamilifu!, hivyo pamoja na madhaifu yake yote ya kibinadamu, kama binaadamu mwingine yoyote, anaweza kufanya makosa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, ambayo rais Magufuli na serikali yake wanaweza kuwa wametenda, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, au kwa kutokutimiza wajibu wao, lakini kwa mazuri na mema ambayo Rais Magufuli na serikali yake, wanayatenda kwa taifa hili, hata yale mabaya na maovu yaliyostahili adhabu kali ya karma, hiyo karma inakuwa reversed kwa mema makubwa zaidi kuliko ule ubaya au uovu, hivyo
nasema kiukweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yangu na kwa dhati ya moyo wangu kuwa, pamoja na yote yanayolalamikiwa, lakini bado rais Magufuli na serikali yake, watabarikiwa kwa mema yao wanayolitendea taifa hili, na hata kama kuna uovu, maana yeye sio malaika, uovu huo unaweza kufunikwa na mema yakizidi huo uovu!.

Trends readings zangu zinanielekeza kuwa rais Magufuli, so far, so good, might end up being one the best presidents this country has ever had, save for Baba wa Taifa kutupatia uhuru!. Rais Magufuli ni msikivu sana, ana upendo sana wa kweli, upendo wa dhati, upendo wa ajabu. Ni mtu mwema, mwenye huruma sana, huruma ya kweli na huruma ya ajabu, japo sio kwa wote!, hivyo akiendelea hivi, atabarikiwa sana na Mungu!, Tanzania itabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania,
karibu bandiko hili.

Kwanza msikilize Rais Magufuli hapa

Kisha anzia hapa

Bandiko hili ni la Septemba 4, 2018.
Ili kuwasaidia wavivu wa kusoma links, nawawekea na specific quote

Kisha tembeleeni bandiko hili
Bandiko hili ni la 18 September 2019.

Kwa faida ya wengine ambao hawawezi kusoma links, nakuwekea quote yenyewe

Baada ya hizo quotes mbili, Wakuu Wanabodi wenzangu , naomba uzisome kwa makini hizo quotes
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.
Nadhani ni wakati wako wa kulea wajukuu. Haya mapmbio waachie vijana
 
Pascal comment also kuhusu speech ya rais wa Zanzibar wakati akiongea na businessmen. Ilikuwa hotuba itakayoifanya Zanzibar kuwa kama Singapore au South Korea.
 
Aongezewe mda Hali tunasubiria kwa hamu tutoke kifungoni 2025 Ili akabidhiwe muislamu tuanze kula mema ya nchi. Waislamu kwao maendeleo ya watu ni muhimu
Udini utakuua. Hivi JPM asingeanjisha mchago wa msikiti pale Dodoma ingekuwaje? Mtanzania/Watanzania wenzetu wangekuwa wanapata tabu sana ya kwenda kutafuta msikiti/misikiti mahali pengine, tuwe na shukrani na kuheshimu maamuzi ya wengine japo hatupendezwi nayo. Wahenga walisema ''kikulacho ki nguoni mwako.''
 
Ukweli halisi unakuaje udini sasa
 
Kaka yangu Mayalla kuna yale maswali aliwahi kuuliza pale ikulu ...sasa yale maswali yamegeuka kuwa Mzigo kwake ... kila akiyakumbuka anawaza aje na andiko lipi la kufuta yale Maswali

Mimi nafikiri kwa sasa kaka yangu Pascal Mayalla ..Tulia ... naona ili hata kujiweka sana uligombea Ubunge ..sikumbuki ulipata kura ngapi kutoka kwa wale wajumbe wa jimbo la Kawe

Mayalla jipe muda ...
 
Wanabodi

ANGALIZO:

Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli akisifiwa na kupongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema lolote, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika na kubeza kwa sababu wanatamani rais Magufuli na serikali yake, ashindwe ili wakosoe, wabeze na kutukana. Ukimpongeza tuu rais Magufuli kwa lolote, utawasikia kuwa huku sii kupongeza bali ni kujipendekeza, kujikomba kuusaka uteuzi, u-DC, au kusaka shavu au mara hizi ni njaa tuu za jina la Mayalla!!. Kama wewe ni mtu wa kundi hili, nakuomba uishie hapa ili nisije kukuharibia siku yako ya Jumapili ya leo na kuianza Jumatatu ya kesho kwa kisirani.

Pongezi za Kweli na za Dhati.
Kiukweli tunapompongeza rais wetu Magufuli, sio wote ni praise team, ndio maana pongezi zetu ni pale anapofanya mambo mazuri, ni pongezi genuine sio za kujikomba au kufukuzia uteuzi, mtu anayesaka uteuzi kazi yake itakuwa ni kupongeza tuu, lakini mimi napongeza kwa mazuri na kwenye mabaya nakosoa.

Kwanza tukubalieni, hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu pekee na malaika wake!. Pili Rais Magufuli ni binadamu, na sio malaika, hivyo pia sio mkamilifu!, hivyo pamoja na madhaifu yake yote ya kibinadamu, kama binaadamu mwingine yoyote, anaweza kufanya makosa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, ambayo rais Magufuli na serikali yake wanaweza kuwa wametenda, kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, au kwa kutokutimiza wajibu wao, lakini kwa mazuri na mema ambayo Rais Magufuli na serikali yake, wanayatenda kwa taifa hili, hata yale mabaya na maovu yaliyostahili adhabu kali ya karma, hiyo karma inakuwa reversed kwa mema makubwa zaidi kuliko ule ubaya au uovu, hivyo
nasema kiukweli kabisa kutoka ndani ya nafsi yangu na kwa dhati ya moyo wangu kuwa, pamoja na yote yanayolalamikiwa, lakini bado rais Magufuli na serikali yake, watabarikiwa kwa mema yao wanayolitendea taifa hili, na hata kama kuna uovu, maana yeye sio malaika, uovu huo unaweza kufunikwa na mema yakizidi huo uovu!.

Trends readings zangu zinanielekeza kuwa rais Magufuli, so far, so good, might end up being one the best presidents this country has ever had, save for Baba wa Taifa kutupatia uhuru!. Rais Magufuli ni msikivu sana, ana upendo sana wa kweli, upendo wa dhati, upendo wa ajabu. Ni mtu mwema, mwenye huruma sana, huruma ya kweli na huruma ya ajabu, japo sio kwa wote!, hivyo akiendelea hivi, atabarikiwa sana na Mungu!, Tanzania itabarikiwa!.

Mungu Mbariki Rais Wetu Dr John Pombe Joseph Magufuli. Mungu Ibariki Tanzania,
karibu bandiko hili.

Kwanza msikilize Rais Magufuli hapa

Kisha anzia hapa

Bandiko hili ni la Septemba 4, 2018.
Ili kuwasaidia wavivu wa kusoma links, nawawekea na specific quote

Kisha tembeleeni bandiko hili
Bandiko hili ni la 18 September 2019.

Kwa faida ya wengine ambao hawawezi kusoma links, nakuwekea quote yenyewe

Baada ya hizo quotes mbili, Wakuu Wanabodi wenzangu , naomba uzisome kwa makini hizo quotes
Tukiwaambia rais Magufuli ni mtu msikivu, mwenye huruma, upendo wa kweli na upendo wa dhati, kuna watu humu walikuwa hawaamini.

Naamini by now wengi mmeishasikia rais Magufuli ametangaza nini.

Kiukweli kwa tangazo hili, rais Magufuli atabarikiwa sana, na Tanzania pia itabarikiwa, amini usiamini, this man might end up being one the best president this country has ever had, iwapo tukimpa kipindi cha pili, na akaamua kutuletea katiba mpya na kuisuka upya Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa Tume huru zaidi na inclusive.

Hongera sana rais wetu Magufuli, you are changing for the better!.
Big up! and God bless you.

Viva Magufuli!.
Viva Tanzania!,
Mungu mbariki Magufuli, Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali.

Ni kweli, shida ni HAPANGIWI
 
Back
Top Bottom