Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

Mbowe bomu moja tu amekimbia kwenda kujificha jumla na ameamua kuwatelekeza wafuasi 28 wako mahabusu, bila msaada wowote hata wa kuwawekea mwanasheria.
kwani asiyetaka kujaribiwa hilo bomu angetembea kifua mbele,
 
Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake

Maskini akipata matako ulia mbwata

Ushamba ndugu yake ulimbukeni

Kama hujaribiwi mbona kila kukicha unatoka povu kulalamika

Utachemka tu mzee
 
Back
Top Bottom