Rais Magufuli kwa utendaji huu tutakupa vipindi kama vya Nyerere

Ni ukweli ulio wazi hata kwa wapinzani kuwa rais kafanya kazi kubwa kwa kipindi kifupi sana. Awali nilimuita Nyerere Junior na kwa kuwa Nyerere alitawala nchi hii kwa miaka 25, nashauri Rais Magufuli aongoze kwa muda kama huo ili nchi yetu isonge mbele kwa haraka ya treni ya umeme.

Kwa mwaka mmoja karudisha nidhamu kwa watumishi wa umma na watendaji wa serikali na mashirika ya umma, kwa mwaka mmoja kanunua ndege tatu na tayari mchakato wa ndege tatu zaidi umekamilika.

Kwa mwaka mmoja katimua watumishi hewa elfu kumi na tisa waliokula bila kutokwa jasho. Kwa mwaka mmoja kajenga barabara za rami zaidi ya kilometa 100 nchi nzima

Kwa mwaka mmoja GDP imepanda kwa 30%.

Kasi hii haijawahi kufanywa na rais yeyote tangu uhuru.Tuna imani naye na tutazidi kumchagua. Viongozi wa chama chetu anza utaratibu wa kubadili muda wa rais kukaa madarakani.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Hahaha!! GDP imepanda kwa 30%? Hii ni "sank cost"kwa taifa kuwa na mtu kama wewe.
 
KAZUNGUMZA KILE KATIBA INACHOKISEMA NAMI NINA MTAZAMO TOFAUTI.KUWA MAKADA WA CHAMA KIMOJA INAANISHA KUWA NA THE SAME PHILOSOPHY?
CCM tunaruhusiwa kuwa na mawazo huru. Huyo wa chadema anashangaa kwasababu kwao ni kusubiri kwanza Mfalme Mwenyekiti anasemaje ili usije ukatoa hoja tofauti ukaitwa 'msaliti'!
 
Ni ukweli ulio wazi hata kwa wapinzani kuwa rais kafanya kazi kubwa kwa kipindi kifupi sana. Awali nilimuita Nyerere Junior na kwa kuwa Nyerere alitawala nchi hii kwa miaka 25, nashauri Rais Magufuli aongoze kwa muda kama huo ili nchi yetu isonge mbele kwa haraka ya treni ya umeme.

Kwa mwaka mmoja karudisha nidhamu kwa watumishi wa umma na watendaji wa serikali na mashirika ya umma, kwa mwaka mmoja kanunua ndege tatu na tayari mchakato wa ndege tatu zaidi umekamilika.

Kwa mwaka mmoja katimua watumishi hewa elfu kumi na tisa waliokula bila kutokwa jasho. Kwa mwaka mmoja kajenga barabara za rami zaidi ya kilometa 100 nchi nzima

Kwa mwaka mmoja GDP imepanda kwa 30%.

Kasi hii haijawahi kufanywa na rais yeyote tangu uhuru.Tuna imani naye na tutazidi kumchagua. Viongozi wa chama chetu anza utaratibu wa kubadili muda wa rais kukaa madarakani.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Unataka upewe vile vyeo vya dezodezo nini maana naona unaanza kulamba miguu ya bwana mkubwa!
 
KAMA KILA MWEZI TULIKUWA TUNAKUSANYA MILIONI MIA TISA LEO TUNAKUSANYA KILA MWEZI TRION 1.3 ONGEZEKO LA BILIONI 400 NI SAWA NA ASILIMIA NGAPI?

Tumia akili mzee za kujiongeza, kinachokusanywa kwa mda waote hapo ni Tax arrears kama hujui maana ya Tax Arreaars Google neno ARREAR utaelewa,

Ukileta mada JF lazima uwe umejipanga, sio kuja na ushabiki pia kujipendekeza kutafuta vyeo. Nenda kalime mkuu
 
Sijaunga elimu kama wewe binafsi naongea kimombo safi sijasoma kuyumba kama wewe unaona ulivyo pimbi hivi kile ni kingereza au utumbo ule u can't give what u can't have ndio grammatically hio? Au on behalf of myself?
Wewe ni msomi mjinga kabisa,mpaka sasa hiyo lugha yako imekusaidia nini,kweli wasomi wa siku hizi mna matatizo sana
 
Wanaozungumza kimombo ni wateja wa ukoloni mamboleo...huyu wetu inaonekana amekombolewa katika hilo pengine ndiyo maana amethubutu na ameweza....Aibu sana kupigia chapuoblugha za watu....We msukuma uijue lugha ya mwenzako ili iweje...mbona wao hawajui za kwetu?
Safi sana kwa utambuzi na ufafanuzi huo
 
Tumia akili mzee za kujiongeza, kinachokusanywa kwa mda waote hapo ni Tax arrears kama hujui maana ya Tax Arreaars Google neno ARREAR utaelewa,

Ukileta mada JF lazima uwe umejipanga, sio kuja na ushabiki pia kujipendekeza kutafuta vyeo. Nenda kalime mkuu
Una wazimu nini? Arrears haziishi? Unajifanya waziri wa fedha ? Kalambwe huko
 
Mtoa Post Utaua Watu Kwa Presha
Nyumba za Watu Zilizobolewa Kimakosa Mumewalipa Fidia?

Katiba ya Tanzania Unaongoza Miaka Mitano Unafanyika Uchaguzi Ukishinda Unaendelea Ukishindwa Unapumzika.Ukomo wa Kuongoza
Mwisho ni Miaka 10
 
Dah bado tunasafari ndefu kama taifa. Kwahiyo hiyo ndiyo inaitwa GDP? Kwahiyo TRA kila mwezi wanatangaza GDP ya nchi? So kila mwezi una GDP yake? Mbona tunaambiwa uchumi unakuwa kwa 7% kwa mwaka mbona ww hiyo GDP yako inakuwa kwa 30%?
Naomba umsamehee huyo mtoa maada inawezekana ana elimu ya hapa na pale. ( kuingia unga)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom