Rais Magufuli kuongea na Wazee wa Dar

Status
Not open for further replies.
Tatizo la vijana wengi walioko humu wanaongozwa na mihemko ya kisiasa na halafi wanafata maagizo ya viongozo wao wa vyama, yaani imefika hatia baadhi ya vijana hawawezi kuwaza wenyewe mpaka wawaze kwa hisani ya viongozi wao wa vyama, mbona kuna vitu vinahitaji akiri ndogo tu yako mwenyewe, punguzeni ukada acheni kweli ifanye kazi, hivi kuna kosa gani Raisi akuongea na wazee wa Mkoa wa Dar?
 
mleta mada ulitaka prezzo we2 akaongee na wazee kama akina mtei? mind you, aliyepata kapewa. hebu jiulize hv kutokumkubal kwako magu, huon kwamba utaishi na kinyongo mpaka 2025, huoni kama unajiumiza bure?
Wewe ndiye unajiumiza
 
Tatizo la vijana wengi walioko humu wanaongozwa na mihemko ya kisiasa na halafi wanafata maagizo ya viongozo wao wa vyama, yaani imefika hatia baadhi ya vijana hawawezi kuwaza wenyewe mpaka wawaze kwa hisani ya viongozi wao wa vyama, mbona kuna vitu vinahitaji akiri ndogo tu yako mwenyewe, punguzeni ukada acheni kweli ifanye kazi, hivi kuna kosa gani Raisi akuongea na wazee wa Mkoa wa Dar?
==Halafi==Imefika Hatia===
 
Rais sidhan kama atakuwepo, atatuma mwakilishi kwan atakuwa na shughuli nyingi au nje ya Dar!!
 
Rais sidhan kama atakuwepo, atatuma mwakilishi kwan atakuwa na shughuli nyingi au nje ya Dar!!
ITV imethibitisha hivyo, na matangazo yatarushwa moja kwa moja kuanzia saa saba mchana.
 
Lowasa in wa Chadema lakini JPM sasa hivi ni wa TZ na anafanya kazi ya nchi na kuwajibika kwa nchi sio kwa chama chake pekee
Umesoma kichwa cha habari ukaelewa!!??? Umeambiwa anaongea na "Wazee wa Dar" kesho na sio Wazee wa CCM. Achana na mihemko ya kisiasa itakuacha mpweke au utamuacha mkeo mjane.
 
Mbinu ile ile aliyotumia kikwete naona sasa magu naye kesha ikamata, naona anataka kutoa maelezo ya nini kilitokea siku alipo wakimbia wadhungu
Hivi huko UKAWA huwa mnashauriana nn hasa kwa akili kama hizi? Acha uchama ndugu hautakufikisha popote...
 
Rais magufuli kesho ataongea na wazee wa mkoa wa dsm kuanzia saa 8 mchana diamond jubilee, yale yale ya jk yameanza
Bavicha bana kila kitu kupinga huu utaratibu upo toka enzi za Nyerere rais kuongea na wazee wa Dar es Salaam.

Hao Ukawa wakichukuwa nchi watakuwa wanaongea na nani wanywa viroba?

Hamtaki rais aongee na wazee daah!!
 
Umesoma kichwa cha habari ukaelewa!!??? Umeambiwa anaongea na "Wazee wa Dar" kesho na sio Wazee wa CCM. Achana na mihemko ya kisiasa itakuacha mpweke au utamuacha mkeo mjane.
Wazee wa Dar why not wazee wa kisonge ambao busara zao dira ya CCM.
 
Naombeni kuuliza kumbe bado vile viroba vya UKAWA vipo na vijana humu bado wanaendelea kutumia?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom