Rais Magufuli kumbe bado unawalipa uliowaita mafisadi?

Anatumikia kubarua huyo ili mladi kaingiza chake si unajua kuna wakuu wao wanapita mitandaoni kuwaangalia wameandika nini?

amezid sasa yaan yeye ataakiambiwa mama yake mzaz au mkewe anabakwa na wana CCM lenyewe litaanza litakaa upande wa wabakaji kisa tu buku7
 
Yes, kulipa ni lazima. Kuna nafasi zina wakurugenzi zaidi hata ya wawili na wote wanakula bingo zao kila mwezi. Kila kitu kina gharama, ukijenga mfumo na kuruhusu ufisadi kwa muda mrefu, siku ukiuchukia lazima ukugharimu pia. This is what is happening now....Kuna watu katika kundi hilo, walikuwa Manaibu Katibu Mkuu, na umri wao ni kati ya miaka 35-40. You can imagine, watastaafu lini...
Jamani hao si wawarudishe kazini tu ili watumikie mishahara wanayolipwa? Sasa mtu ana umri wa miaka 40 utamlipa mshahara bila kufanya kazi kwa miaka 15 ili akifikisha miaka 55 umstaafishe kwa lazima? Hapo kwa naibu katibu mkuu atakuwa amepokea kati ya milioni 600 hadi bilioni moja bila kufanya kazi. Hata kama huna uchungu na hela za serikali hii haifai kabisa
 
Hahaaa, unaficha jina la gazeti ili tusijue ni Tanzania Daima, tulishausoma huo umbea. Bahati mbaya wameyandika wao peke yao. Mnataka kutusahaulisha na Mbowe kukwepa kodi? Mwambieni alipe KODI hatutaki majizi.
Kwani habari ili ionekane ni kweli lazima iandikwe na magazeti yote?
 
Kwa hiyo wakikutwa na hatia watarudisha hayo mamilioni??
kasome SHERIA vizuri.. bado ni wafanyakazi mpaka hapo itakapogundulika wana makosa ndo stahiki zao zinasitishwa. kama kuna ubadhilifu walifanya mahakama inaweza kuamuru warudishe hizo mali, lakini si mishahara wanayopewa. huo ndo utawala wa sharia, unless mnataka rais awe dictator kwa uwanyima stahiki zao watumishi ambao bado hawajadhitika na vyombo vya sharia ni kuwa wakosaji.
 
Siasa ni Kama debate upande mmoja utasema condom hazifai kwa matumizi ya binaadamu huku upande wa pili ukiitetea condom na mwisho was siku wanakaa pamoja mezani
View attachment 387995View attachment 387992 kama ni kweli bado unayalipa haya majipu mamilioni ya pesa wakati waliochukua nafasi zao nao unawalipa mamilioni kama ni kweli basi Mimi nimeacha siasa kabisa niludi kwenye betting

Hii haikubaliki hata kidogo walimu wamekatwa mishaara yao

Vijana hawajapewa pesa ya field study!!

Ajira za walala hoi bado !!
Alafu unalipa mafisadi uku ukitwambia unapambana na ufisadi?
Very sad
 
Waziri mkuu mstaafu mpaka dakika hii garama za ulinzi na mambo mengine anaelipa ni serekali
 
Should we say JPM is the most weakest and incompetent leader we have ever seen?
Nilishawaambia kuwa huyu ni Rais dhaifu kabisa kuliko wote Kuwai kutokea watu wakabisha
Hivi unafikiri kwa nini Obama amepata makisi nyingi kuliko marais weng USA?
Ni kwa sababu ya diplomatic ruling bila kuwa hivyo hiki kizazi cha dunia hii uwezi utawala na hapo ndipo utaonekana thaifu kabisa
Waziri mkuu mstaafu mpaka dakika hii garama za ulinzi na mambo mengine anaelipa ni serekali

Ucweke tumaini lako kwa mwanadamu hataa awe nani
 
View attachment 387995View attachment 387992 kama ni kweli bado unayalipa haya majipu mamilioni ya pesa wakati waliochukua nafasi zao nao unawalipa mamilioni kama ni kweli basi Mimi nimeacha siasa kabisa niludi kwenye betting

Hii haikubaliki hata kidogo walimu wamekatwa mishaara yao

Vijana hawajapewa pesa ya field study!!

Ajira za walala hoi bado !!
Alafu unalipa mafisadi uku ukitwambia unapambana na ufisadi?
Very sad
Khaaaa!!!
Kwan ni mahakama ipi imesha prove kwamba ni mafisadi na wasilipwe??
Si mlisema hatuna haki ya kuwaita mafisadi kabla mahakama haija prove ndio maana white hair mkam soap soap fasta na mkamkabidhi usukani wa chama..
Ama umesahau??
Sheria za utumishi unazijua mkuu?? Au umedesa swali, ukasahau kukopi jibu??

Anyway.. hivi unajua maana ya kusimamishwa kupisha uchunguzi?
Haya kafanye homework afu uje tena..
 
Sasa wakionekana hawana makosa wote wale atawapangia ofisi zipi? Huko ndo kuongoza kwa mizuka
Miliki hata kagenge ka nyanya na wewe uwe japo CEO wa kagenge kako, ndio utajua namna ambavyo watapangiwa kazi zingine endapo watakutwa clean..
Otherwise utakua unakujazia porojo tu hapa za chini ya mwembe..
 
walituhumiwa tu, mahakama ndio ina mamlaka ya kudhibitisha!
Hiyo mahakama yetu kumbe iko slow namna hiyo pamoja na kuwa specialized? Sasa kuna faida gani kuwa na mahakama maalum? Si wangebanana kisutu kama wahalifu wengine?
 
Khaaaa!!!
Kwan ni mahakama ipi imesha prove kwamba ni mafisadi na wasilipwe??
Si mlisema hatuna haki ya kuwaita mafisadi kabla mahakama haija prove ndio maana white hair mkam soap soap fasta na mkamkabidhi usukani wa chama..
Ama umesahau??
Sheria za utumishi unazijua mkuu?? Au umedesa swali, ukasahau kukopi jibu??

Anyway.. hivi unajua maana ya kusimamishwa kupisha uchunguzi?
Haya kafanye homework afu uje tena..
Issue ni hivi:
Kuna wengine inakaribia mwaka sasa, hatujasikia hata kama wamefikishwa mahakamani. Ina maana walitumbuliwa bila facts? Na kama facts zipo, nini kinachelewesha deliberations ilhali siku hizi tuna mahakma maalum kwa ajili ya mafisadi na majizi tu? Isijekuwa ndiyo mambo ya kukurupuka ili ku-earn trust ya umma kwa habari za kuambiwa! Kesi nyingi zinaweza kugeuka "white elephants"
 
Sasa wewe utalipaje watu uliowaita mafisadi? Tena hadharani
Na wewe unampaje usukani wa chama mtu uliyemuita fisadi for 8 long years akagombee kuwa Rais wako?? Sio tu hadharani.. bali Jukwaani mlisimama na kupaguka kwa mayowe!! Na list of shame ipo na kwenye mtandao wa chama ilikuwepo..
What happened??
 
WATU WANATAKA KUONA NA PIA WATU WANATUHUMIWA KWA MAKOSA YA UBADHIRIFU WANAFILUSIWA MALI ZAO PIA..

OVA
 
Back
Top Bottom