Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

Kama kuna mtanzania anafikiri atapata mabadiliko kupitia CCM atasubiri sana. Sana sana ni mabakora, mabomu ya machozi, n.k. Yaani tunadanganywa kiasi hata cha kwenda kupiga kura huku tukijua ni danganya toto tu. Unaekuja hapa ukibeza utalibeza hata kaburi lako, ila utajikuta ndani na kufunikwa na udongo kidogo tu kama utakuwa umebakia. Ninasema hivyo kwa sababu makaburu wanajua tuna dhahabu nyingi sana na wana miaka mitano bado ya kujibebea bure. Tembo walishaishia sasa ni kobe.
 
Jambo la kufurahisha ni kwamba amefuta karibu mashangingi yote. Msafara una toyota hilux double cabin za kutosha! Haya ni mabadiliko makubwa.

attachment.php

Nachoona hapo ni BMW Resistant to bullets a.k.a Bullet proof ya Rais na Escort one. Hizo double cabin ziko wapi hapo?

Halafu hii misafara ya Gari, long distance namna hiyo sio safe kwa Rais wa Nchi
 
Kama kuna mtanzania anafikiri atapata mabadiliko kupitia CCM atasubiri sana. Sana sana ni mabakora, mabomu ya machozi, n.k. Yaani tunadanganywa kiasi hata cha kwenda kupiga kura huku tukijua ni danganya toto tu. Unaekuja hapa ukibeza utalibeza hata kaburi lako, ila utajikuta ndani na kufunikwa na udongo kidogo tu kama utakuwa umebakia. Ninasema hivyo kwa sababu makaburu wanajua tuna dhahabu nyingi sana na wana miaka mitano bado ya kujibebea bure. Tembo walishaishia sasa ni kobe.
KAMA MLINUNULIWA NA MAJIZI mlitaka tufanyeje! hamkuwa na mgombea mlikuwa na pazia mtegemee kwenda ikulu! ifikie hatua mjitambue mliingia mkenge
 
Yeye pmj na wenzake wanajitahidi sanaaa kuwavuta karibu wananchi na kuwafanya wapate imani nao kwani wanajua walichotufanyia hakikuwa cha haki kabisa.
 
Mwacheni ajiamlie, angenunua labda ndege nzuri au kutumia ndege mngesema kakimbia barabara alizosimamia

Sasa kawapiga bao na kuonyesha wananchi na dunia alichosimamia kinafaida mnaanza kubwetuka na maajabu yenu.

Mumuache Rais wetu.

Eti foleni aaagh leteni lingine

Mtanyooka tu
 
Hapana, hatuwezi kudanganyika kirahisi. Alipaswa kuanza na mabilioni ya pesa za kwenda kutibu chunusi India. Kutumia barabara ni kuokoa pesa kiogo sana , pengine sawa na nauli ya mh mmoja kwenda London

Hizi ni stunt za kuamsha taifa baada ya kuona, kuna huzuni, kutoridhika, manung'uniko na taifa limegawanganyika

Anachotakiwa ni kuliunganisha taifa si kuanza na vitu vidogo vidogo vya kumjengea umaarufu wa haraka

Asimame na kuangalia taifa lilipo na ajiulize kama ndivyo wenzake walivyopokea nchi siku za nyuma

Asikimbie ukweli kuwa uchaguzi , kampeni, matokeo n.k. vimeacha makovu makubwa makuba sana katika umoja wa taifa

Huo ni ukweli anaotakiwa kukabiliana nao na si popularity ya vitu vidogo vidogo

Tatizo si spea wala vipuri, ni jinsi taifa lilivyogawanyika na changamoto ya kukosa kuungwa mkono na sehemu ya jamii

Ni jinsi wananchi wanavyoangaliana kwa misingi ya kubaguana, chuki n.k. Jinsi chuki ilivyobobea na kuleta yale ya Geita

Aunganishe taifa hili lililogawanyika kwanza ili aungwe mkono. Kinyuime chake kila jambo analofanya litakuwa Big G

Asante sana, Mungu akubariki!
 
Mwacheni ajiamlie, angenunua labda ndege nzuri au kutumia ndege mngesema kakimbia barabara alizosimamia

Sasa kawapiga bao na kuonyesha wananchi na dunia alichosimamia kinafaida mnaanza kubwetuka na maajabu yenu.

Mumuache Rais wetu.

Eti foleni aaagh leteni lingine

Mtanyooka tu

Rais wetu???? I thought ni wa wote kama alivyosema yeye mbona wambinafsisha? ......nionavyo mimi rais kusafiri kwa gari dar -dom mara moja moja okay lakini kama ndo ule mtindo kama kwenye kampeni then it's not feasible. Time wastage
 
Ikija A mnaongea B, ikija B mnasema ni X na ikiletwa mnang'aka eti ni Z ..yaaani mpaka Mungu mwenyewe mnamchanganya

Yaani watanzania ni sheeeda. Mi naona maisha yanatuchanganya. Kila hakuna issue isiyopingwa . Angetumia chopa ungesikilia na mambo yakizidi ndo ataamua akubariki na Tanzania one mpate kula nyasi barabara.
 
Hatutaki wala hatuna haja ya kujuwa ulichomaanisha.

Unachomaanisha/ulichomaanisha wewe kitatusaidia nini sisi zaidi ya wewe kujaribu kutujaza ujinga ulionao?

Tunataka ukweli.

Hivi wewe ni mwandishi wa habari za ukweli? Au udaku?

Wengine huwa hatudanganyiki.
Du, hili povu latoka wapi?
 
angetumia helcopter angepunguza zile vurugu za misongamano isiyo na lazima

Jumapili hakuna foleni ubungo. Yaani afanye nini ili ionekane kuna kitu ameanza kufanya? Yaani kuna mtu anasema ni gharama kwenda na magari kuliko ndege. Huu ni ujingu mkubwa anaoongea mtu mzima. Wengine humu wanaongea kama hawatumii midomo vile.
 
kuna watu wataponda tu yaani kila kitu wao ni kupinga kila kinachofanywa na JPM

Yeah..kama vile tu ambavyo kuna watu wao kusifia tu kila kinachofanywa na JPM.

Hata akijamba wao watasifia tu na kusema ushuzi wake unanukia kama Dior Sauvage!
 
Angepanda helicopter mpaka.. Chalinze.. Then aende zake.. Au angepitia bagamoyo. Msata. Chalinze.. Aende zake dodoma..... Hiyo ndio najua ingekua inamaa sana...
 
Back
Top Bottom