The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 15,396
- 12,979
Ni kwa nini mzazi alipe ada ya mtoto mpaka chuo kikuu!?Hivi jamani tuwe wakweli tu. Umesoma Marian au Canossa au FEZA hadi form 6. Unashindwaje kulipa ada ya chuo ambayo mara zote kwenye Vyuo vingi iko chini ukilingqnisha na Secondary School za Private?
Lazima ifikie mahali watoto waanze kujitegemea na kuunza kukabiliana na majukumu. Kwa mawazo yako mwishoni mtoto atagraduate, mshahara mdogo then utaanza kumlipia na kodi ya nyumba.
Serikali ije na criteria ambazo zitawaaccommodate wote bila kujali uwezo wa mzazi. Sasa kama leo ni Waziri halafu kesho nikapigwa chini kama Nape then what!!?
Hao watoto wa shule za kata wanaodhauriwa inawezekana nyumbani wana ng'ombe 500 lakini wazi wao hawasumbuliwi.