Uchaguzi 2020 Rais Magufuli kama Mbeya na Kanda ya Nyasa na Arusha mjini wanamshabikia Tundu Lissu na CHADEMA kiasi hiki, wapi utakuwa umefanya makosa?

Bungeni wabunge wengi ni wa chama gani? Je akipeleka Hoja bungeni unataka nambia hazitapitishwa kweli na Bunge? #ThinkTwice
Huhitaji kutumia akili mingi hapo kujua hilo sababu it's no-brainer.

NI KWELI TUNAHITAJI MAISHA MAZURI (afya, elimu, miundombinu, Sera wezeshi kwa biashara na viwanda, Ajira, Mikopo & Ujasiriamali) LAKINI MUHIMU KUTULIZA AKILI KWANZA.
Maana MWANASIASA yeyote yule narudia tena Yeyote yule Lengo Lake Kuu ni MASLAHI YAKE BINAFSI kwanza. Hata kama atazungumza "Maneno Matamu" yenye Matumaini kiasi gani.
Na hata Kiongozi wa Nchi awe nani sijui bado "Resistance" itakuwepo tu.
Hata CCM wakishindwa Uchaguzi na Kutoka Madarakani, bado Maendeleo hayatakuja tu kwa kuchipua vaaap kama Uyoga.
Siasa za Afrika ngumu sana.
Hapo umenena mkuu!
 
Kosa kubwa la mtukufu mwenyekiti wa CCM ni unyanyasaji uonevu kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani na sasa kaja na kosa lingine baya la kishetani zaidi eti kuna kitu kinaitwa kupita bila kupingwa kwa njia haramu ni ushetani mpya Hatari zaidi
Theory ya maelezo ya Lissu ya kupigwa riasi na hii image ya gari lake Lissu inayo onyesha matobo yaliyo sababishwa na risai zilizo toka kwenye AK 47, principle ipi ya Physics ilitumika?

Nikukumbushe tu ya kwamba yeye anadai alipigwa na kujeruhuwa vibaya kwenye paja lake la mguu wa kuli. Matobo ya risasi yanaonyesha gari lilipigwa ubavuni.

Risasi inaweza piga kona na kwenda beruhigt paja la kulia badala la kushoto?
JamiiForums-1290526896.jpg
 
Well nimeisoma yote, umeandika mengi. Mimi naomba nifafanue nini tatizo la kilimo Tanzania
1. Siyo vyote vinavyovunwa vinafika sokoni. Hatuna utaratibu wa kumsaidia mkulima apate soko.
2. 40% mpaka 60% ya mazao Tanzania haswa matunda yanaharibika. Hizi data nilipewa na specialist wa kilimo.
3. Wafugaji ni watoto yatima. Serikali ikiongelea kilimo inasahau wafugaji. Hawalindwi wamasai hawajapewa ardhi. Ndo maana wakulima na wafugaji vita kila siku. Pastorilsm is the fastest root to poverty.
4. Ardhi ya nchi zima haijapimwa. Marekani haswa texas walipima viwanja kwa mraba. Ni rahisi kujua wapi shamba la nani, ukubwa gani kalima nini.
5.huwezi uza chakula soko la kimataifa kama hauna tracking system ya hicho chakula kimetoka wapi. Mfano kulipokuwa na mad cow disease wazungu walijua umeanzia shamba gani.
6. Watanzania wengi walikata tamaa na kilimo. Kama Lissu alivyosema, wakulima ndio maskini wa nchi. Kukiwa na hela wengi watajiunga.
7. Ardhi yenye rutuba imeshikiliwa na viongozi wachahce wa ccm.tunawasema wakenya nenda kilombero uone nani anamiliki ardhi.
K
Asante mkuu. Nitarudi tena.
 
"wakimshabikia pimbi wao, kwa kile kitu wanacho amini kuwa ametoka uzunguni basi ataleta mabadiliko wanayo yatamani bila kujua kuwa mzungu ni nyoka wa maisha yao" hapa ndo ulipokosea all in all makala nzuri
Asante mkuu na mungu wa mbinguni na mwingi wa rehema akubariki sana.

Ila ningekuomba unielezee makosa ya Statement yangu hiyo ni ipi?
 
Naheshimu fikra zako na maoni yako kwa kile ulchokiandika hapa. Stay Blessed!!
Watu kama nyie ni mnahitajika sana ili kusaidia kuleta Mapinduzi ya Kiviwanda kwa nchi maskini za Afrika hususani katika Manufacturing Industries.
Nasikitika kukuambia kuwa sikutaka kabisa kumzungumzia Lissu. Lakini kwa vile wewe umetaka tubadilisha mada, basi ngoja na mimi nitoe maoni yangu juu ya huyo kibaraka wako wa wazungu.

Kwanza ningependa utambue kuwa mimi ki-profession ni Design Engineer, nina Masters Degree ya Design enginering ya Ujerumani na kazi za Design Engineer ni uundaji wa kila kitu unachokiona kwa macho kwa kutumia Material ya chuma (steel, metal sheet na cast iron), Aliminium na cast aluminum, plastics, compounds, Glass fiber reinforced plastics, copper, glass, porcelain, mbao na kadhalika isipokuwa vitu vinavyo tumia Materials kama concrete na bitumen kama; majengo, madaraja, barabara, mitaro.na kadhalika.

Nimesoma Ujerumani na nimefanya kazi Ujerumani na nimeishi huko zaidi ya miaka 30. Nina wajua wazungu ndani na nje na nina familia ya kizungu na wajukuu.

Kwa utangulizi wangu huo nilitaka tu nikuonyeshe kuwa mimi siwezi mchallenge Lissu kwa sababu simwesabu yeye kama ni binadam ambaye ana roho na moyo wa kutambua kuwa binadam tuko tofauti. Yeye ni mwelewa wa kila kitu.

Wewe kwa akili yako unamwona Lissu ana akili timamu ya kuweza kuwa Rais wa watanzania, pamoja na makabila yote haya tuliyo nayo na tension yote tuliyo nayo ya muungano kweli?

Mimi kama mwafrika na mtu mweusi, mtu ambaye naweza sema nime adopt culture za wazungu, maana kuishi na kufanya kazi na wazungu miaka 30 sio kitu kidogo, siwezi hata mara moja kumkandia Rais wa nchi yangu kwa jitihada anazozifanya kwa mutant, lakini kwenye karne hii ya 21 ana kuja sokwe kama yeye anathubutu kwenda kwa mutant na kutukandia sisi masokwe wenzake na Rais wetu na kuwaambia wazungu watunyime misaada sisi kweli? Kwa lipi? Anawajuwa yeye kweli wazungu walivyo?

Naomba niambie Lissu ana akili gani na kitu gani kitakacho mfanya yeye awe Rais wa watanzania? Ana akili na sifa gani za yeye kuwa Rais kiasi ambacho wewe ukathubutu hata kuniita mimi mshenzi kwa ajili ya kichaa kama Lissu?

Kama kuna watanzania ambao nimeshuhudia kuwa ni majuha, wajinga malimbukeni wa wazungu basi mmoja wapo ni Tundu Lissu na wa pili ni Zitto Kabwe. Wewe unawaona hawa watu ni binadam kama sisi kweli?

Kama wewe unamthamini yeye na kumwona yeye kama ni Rais wako, basi ningekuomba kutafuta nchi nyingine ndiyo akawe Rais wako, lakini sio Tanzania.

Lissu ni pathetic na ni mtu katili sana na mtu wa kupenda kulipiza kisasi. Ni mtu ambaye anaangalia maslahi yake na ya wale wanao msupport tu. Lisuu hana upendo kwa watanzania wala kwa mama na baba yake.
Lissu ni Zombie lisilo jua thamani ya kuwa mwafrika na kuwa mtu mweusi.

Wewe umeshuhudia mwenyewe mwamerika mweupe akimkaba mwamerika mweusi mpaka anakufa only kwa sababu yeye ni mweusi, alafu Pimbi kama Lissu anathubutu kumwita Rais wa nchi yake dikteta na mwuuaji wa mamia ya watu na wengine kuwapoteza?

Mwambie atuonyeshe yako wapi hayo maiti au makaburi ya watu waliouawa na Rais Magufuli.

Yeye anathubutuje kwenda kwenye nchi ambayo mtu mweusi anakuwa intimidated na kuuawa hadharani, kuomba msaada wa kutuwekea sisi vikwazo vya uchumi only kwa sababu Rais Magufuli amezuia maandamano? Au mikutano ya hadhara?

Yaani yeye ana mind sana maandamano kwa manufaa yake kuliko uhai wetu na ule wa wazazi wake?

Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia jinsi polisi wa Ufaransa walivyo wajeruhi waandamanaji wa Yellow Vest huko Paris na yeye kama activist anaye pigania haki ya kudemonstrate Tanzania mbona sija msikia akimshutumu Rais Macron na jeshi la usalama la ufaransa kama anavyo fanya hapa kwa Magufuli na na jeshi letu la usalama?

Rais Macron wa Ufaransa amezuia wanaharakati wa Yellow Vest wasiandamane. Je, anaweza akaniambia kwanini hatujamwona mwanaharakati yeyote wa hao Yellow Vest kwenda Amerika au nchi yeyote nyingine duniani kuwaomba msaada wa kuiwekea nchi yake vikwazo vya kiuchumi kama yeye alivyofanya?

Lissu anadai kuwa anapigania uhuru na haki ya freedom of speech ya watanzania, lakini anakwenda Amerika kudai hiyo haki ya watanzania wakati ambapo waamerika hao hao wanawataka kwa hali na mali Edward Snowden na Julian Assange wapelekwe Amerika wakashtakiwe kwa makosa hayo hayo ambayo yeye ana yapigania ya freedom of speech. Hiyo sasa mkuu imekaaje?

Sikiliza mkuu, Lissu alikuwa Mbunge na kazi ya mbunge primarilly ni kuhakikisha kuwa anatetea maslahi ya watu wake walio mpa kura. Maisha ya watu walio mchagua jimboni kwake yanapewa kipaumbele.

Wananchi wake wanahitaji huduma bora za elimu, maji safi, afya, energy na miundombinu bora ya barabara ili waweze fanya activities zao za kujipatia riziki. Yeye badala ya kupigania haya Bungeni anajiingiza kwenye uharakati wa kumpinga Rais wa nchi kwa kila kitu anachokifanya ili kuleta maendeleo ya wananchi wake.

Rais wetu anapigania rasilimali zetu zidi ya wezi na wanyonyaji wakubwa, yeye anampinga na kuwa upande wa wanyonyaji na kushirikiana nao ili watushtaki sisi tulipe fidia kwa maslahi yake na yao. Maendeleo ya nchi yetu yeye kwake ni nothing.

Sasa nimwuulize alikuwa anafanya haya yote kwa manufaa ya nani? Na sasa anataka kuwa Rais kwa manufaa ya nani wakati aliyaomba hayo mataifa mengine yatunyime sisi misaada na yatuwekee vikwazo vya uchumi? Pili Yeye alienda huko kama nani? Tulimtuma sisi aende akafanye hivyo?

Rais Magufuli ananunua ndege kwa ajili ya kuboresha usafiri wa anga nchini, yeye anapinga na kuanza kula njama na wanyonyaji kuzuia ndege zetu ili sisi tulipe fidia. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga Bwawa la kutuletea sisi umeme wa uhakika, yeye anapinga hataki hilo bwawa liendelee kujengwa. Ana akili timamu kichwani huyu zombie kweli?

Rais Magufuli anajenga SGR na ku introduce New era of high speed trains ili sisi nasi tuwe mobile kama wao, yeye anapinga, hataki SGR ijengwe. Sasa nimwulize Lissu na wewe kibaraka wake, yeye akiwa Rais atafanya nini kwa watanzania? Anataka watanzania wawe na maisha gani?

Naomba nikuambie siri yangu jinsi mimi ninavyo mwona Lissu;

- Lissu ni mtu ambaye anapenda aonekane yeye tu kama Trump alivyo.

- Lissu yuko tayari kuiuza nchi na binadam wote wanao ishi kwenye hiyo nchi madam amefanikisha matakwa yake.

- Ni mtu mwenye makuu sana.

- Lissu hana karisma ya kuwa Rais na kwa hali hii sita kubali hata mara moja awe Rais wa nchi yangu.

Na mwisho naomba mwambie Lissu hivi, kuwa akisababisha machafuko yatokee nchini, naye ajue kuwa yeye na familia yake haitakuwa salama popote pale ulimwenguni!

Ninamtakia uchaguzi mwema na salama.
 
Ungesoma kwanza ndiyo ungelewa nimeandika nini. Sija lenga kwenye uchaguzi bali nimelenga kwenye matatizo ya watu.

Thanks for sharing. Brilliant piece!

Labda tuu kuongezea kidogo. Tunahitaji kubadilisha mindset za vijana/raia wetu. Tunahitaji vijana wanaojituma. Kama ulivyosema hapo juu, wengi bado tunategemea serikali ifanye kila kitu (ndo maana hata vyoo vya shule zetu inategemewa serikali ndo ifanye hilo jukumu!). Unfortunately, Serikali hiyo hiyo inaaminisha watu wake kwamba inaweza/itafanya kila kitu. Hivi ulishawahi kujiuliza kazi ya DC/RC? Hivi vyeo they aren't fit for purpose in the world/country we live in. Imagine kama DC mmoja angeamka akajiwekea malengo kwamba among other things, nataka nipambane na nyumba za tembe kwenye wilaya yangu! Akifanya mobilization kwamba wananchi waamke wajenge hata kama ni nyumba ya bati kumi..they can do it! Unfortunately, kwa sababu ya nature ya hizi kazi...Huyu DC hawezi kuwa innovative! anajua kazi yake ni kuhakikisha CCM inashinda. Lakini kiuhalisia..matatizo mengi ya wananchi wetu yanahitaji uthubutu na innovation ya kawaida sana at individual level of leadership.

Unapotumia mamlaka kama survival game..kila mtu anataka kuingia kwenye siasa, siyo kutoa mchango kwa taifa bali ndo njia imebaki ya kula pesa za Serikali. Ukigawa vyeo kama zawadi kwa wale wanaokubaliana na mawazo yako...unaondoa dhana nzima ya uwajibikaji na ubunifu kwenye kazi. Siasa na wanasiasa wameshindwa kuwa mifano bora kwa vijana wetu. Siku hizi ni wachache sana kama wapo..wanaoamini kwamba unaweza kufanikiwa bila kuiba! Unfortunately , hata miradi mingi inayoanzishwa kuwasaidia wananchi..bado imekuwa ndo njia isiyo rasmi ya kufuja na kuiba mali za umma.

Pia tunahitaji kubadili mfumo/mwelekeo/malengo ya elimu yetu. Kwa nini tunawekeza kwenye elimu? na ni aina gani ya elimu inatufaa sisi waTanzania kulingana na mazingira yetu? Elimu yetu bado ni changamoto kubwa sana. Na wala si swala la kiingereza bali hata uwezo wa kujenga hoja. WaTanzania wengi hatujiamini bado. Na wala siyo lazima tuige elimu ya wenzetu. Tupambanie elimu itakayotusadia kutatua matatizo yetu.

Mwisho wa yote, exposure ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Hatuna budi kuwasaidia vijana wetu na kuwapa support especially wanaotafuta vibarua nje ya nchi. Hatuwezi kujifungia ndani. Tunahitaji kutuma watu huko duniani walete maarifa tuchanganye na ya kwetu hapa tusonge mbele.

Again, asante sana kwa bandiko lako zuri. Nina imani wahusika watapita humu.
 
Jina lako kwenye ID (Meier) linankumbusha Alexander Meier, yule Footballer wa Kijerumani aliyechezea Club ya Eintracht Frankfurt.
Kwa hiyo Mkuu lugha ya Angela Markel inapanda sawa sawia kabisa 😀😀 itabidi tutafutane aisee tujadili kuhusu mambo ya Kiuchumi kwa Sie Vijana wa Africa.
Mkuu lait ungejua sources za umeme zilivyo na mahesbu yake nafikiri usinge uliza swali kama hili na hasa ukizingatia usomi wako unaojaribu kuuuza kwetu, ni wa shule ya msingi au chuo cha mambo ya economics.

Naomba nikujuze kidogo kuhusu sources za umeme na mlolongo wake. Nafikiri unajua kuwa kuna souerces nyingi ambazo zina weza tumika kutupatia umeme, kama;
makaa ya mawe (coal), gesi yetu asilia (Natural gas), maji (hydro Power), nuclear power, Solar, wind na kadhalika.

Ukiiangalia nchi yetu nadhani utatambua kuwa hii nchi imebarikiwa na mwenyeezi mungu kwa kuwa na rasilimali zote tunazo zihitaji kuzalisha chuma. Makaa ya mawe tunayo, Gesi asilia pia tunayo na Uran nayo ipo sources ambazo tunaweza tukazitumia kuzalisha umeme utakao tumika kwenye kuzalisha products za chuma.

Technology na gharama za kuzalisha umeme ulimwenguni ni very very cheap na primitive. Tukiachana na Solar energy, sources nyingine zote zinahitaji aidha synchronous or asynchronous driven generators ambazo kwa namna moja au nyingine zimeunganishwa na Turbines au engines through a shaft.

Katika turbines unatumia nguvu za maji, mvuke au fuel. Na isitoshe unaweza uka combine Gas turbine na Steam turbine ukawa na G and S combined cycle unit. Yaani ni hivi; Gas turbine ina drive generator na kutoa umeme upande mmoja tuseme umeme wa 20MW na upande mwingine hewa ya joto kali linalo toka kwenye hiyo turbine linapelekwa kwenye Heat exchanger ambayo ina heat maji kuwa mwvuke na huo mvuke unakwenda ku drive Steam turbine ambayo nayo inatoa umeme kupitia generator iliyo unganishwa nayo ya let us say 15MW. Efficiency yake hapa kwenye combined cycle ni 80% to 90% ya total input.

Kwa hiyo naomba niambie, what is so special and unique kwenye teknolojia hii? It is so simple and is very old.

Wewe ni amature katika mambo haya na ni theoretician. Naweza nikakupa somo katika mambo haya ya energy kimahesabu na exergy yake. Sijui kama unajua maana ya exergy nini? Kama hujui basi definitio yake ni hii hapa: Share of energy that is converted into the desired, economically usable form (e.g. electrical energy)

Na kwenye Thermodynamics and natural sciences tunajifunza kuwa;

The law of conservation of energy expresses the fact that energy is a conserved quantity, i.e. that the total energy of a closed system does not change with time. Energy can be converted between different forms of energy, for example from kinetic energy to thermal energy. It can also be transported out of or into a system, but it is not possible to generate or destroy energy.

Nafikiri hapa sasa tutakuwa tumeelewana. Msipende kuwazarau watu msio wajua. Mimi sija soma ili nifaulu mitihani kama wewe. Nimesoma ili kuelewa vitu na kuvifanyia kazi.

Zaidi hapo chuma kwa kejerumani "Roheisen" (pig ion) inazalishwa kwa njia ya hewa (Oxygen) na ama gesi asilia au oil au makaa ya mawe na sio lazima umeme utumike. Hapa nina maanisha kuna viwanda ambavyo vinatumia process ya electrolytes kuproduce chuma ni ile chuma itwayo steel. Kuna aina nyingi sana za steel kulingana na matumizi yake.

Sasa turudi kwenye mada. Sikiliza msomi wetu, mimi kusema ule ukweli sielewi tatizo lako la ufahamu wa biashara ya chuma upo wapi? Kabla hatujalizungumzia swala la usafirishaji wa products zinazo tokana na chuma kwanza kabisa ulitakiwa ujue chuma ikitengenezwa ina kuwa katika forms gani.

Kujibu swali lako kuhusu swala la usafirishaji wa tonnes za chuma mbona ni kitu rahisi? Hizi nondo zinazo agizwa nchini zina safirishwa na nini kwenda mikoani? Bidhaa zilizo tengenezwa na chuma, I mean Steel, sio lazima zisafirishwe na treni, trucks zinaweza pia fanya kazi hiyo.

Ndiyo treni na reli ni vitu muhimu sana katika Heavy Metal Industries, lakini hata hivyo sioni kama ni kitu kikubwa sana kiasi ambacho nchi yenye chuma (iron ore) nyingi kiasi hicho kama Tanzania ikashindwa weka infrastructure za reli kutoka kiwandani mpaka sehemu tuseme bandari ipo.

Mbali na hayo reli ya kufika mpaka bandarini DSM tayari ipo kinacho takiwa ni kiongezeo tu cha kipande cha reli mpaka kiwandani.

Kuhusu running costs za kuendesha hicho kiwanda, na amount ya products zitakazohitajika kuzalishwa in order to break even? Inategemea na soko jinsi lilivyo na kama ulivyo sema aina na qaulity ya chuma tunayo produce.

Kwa conditions jinsi zilivyo nina uhakika kuwa chuma yetu itaweza ku compete na chuma inayo zalishwa nchi nyingine kama China kwa vitu viwili vikubwa; cha kwanza ni kwamba tuna cheap labor na pili vyanzo vya kutuwezesha sisi kuproduce umeme mwingi wa ku feed hicho kiwanda vipo, hivyo ambavyo nimevitaja hapo juu kama makaa ya mawe na gesi asilia amabvyo pia havita gharimu pesa nyingi kuvi utilize.

Kuhusu Dangote naweza sema kuwa baadhi ya watanzania na hata wizara ilitumika kumfanyia uhuni tu aanguke kwa sababu ya kuhofia kuua viwanda vilivyopo vya simenti kwa competitiveness ya product yake ukilinganisha na products za wazalishaji wengine kwenye bei. Lakini Rais alipoamua kuwa achimbe mwenyewe makaa ya mawe, naona mambo yameenda vizuri?

Na huu ndio upumbavu wa sisi watanzania tunaoufanya ambao nyie wakamba mlitakiwa kuukemea. Watanzania wanamtindo wa kuwakatisha tamaa wawekezaji kwa kutaka kupata faida kubwa ya mara moja kutoka kwa wawekezaji. Alafu wawekezaji wakishindwa na conditions tunazo wawekea, wakoma wa hii nchi badala ya kuyakemea hayo majitu yanayo fanya ujinga huo, wao ndiyo kwanza wanamtupia Magufuli lawama ya kwamba serikali yake inafukuza wawekezaji. Watanzania ni mijitu mijinga sana.

Sie kweli kwamba dunia ina ugomvi na China kutokana na cheap export ya chuma chake bali wachina wanautumia vibaya utajiri wao walio upata. Wachina wana lengo la kutaka kuutawala ulimwengu na kuua bishara zote zinazo fanywa na mataifa mengine, kitu ambacho hakuna taifa liko tayari kukubali dhamira mbovu ya namna hiyo. Ni nyie wakoma wa kiafrika ndiyo mnashangilia uzandiki wa namna hiyo. Kwa sababu hamwelewi vitu na hamtaki kusoma habari za nje. Mmeng'ang'ana sana na habari za udaku za nchini na za uchochezi za BBC, VOA, DW na Al Jaseera. Fungueni macho na tembeeni.

Kama haitoshi makampuni mengi ya china yana compete na makampuni ya nje kwa sababu serikali yao ina wapa Subvention wakati viwanda na makampuni mengi ya kigeni yanajitegemea yenyewe. Hayapati kubebwa kiasi kikubwa namna hiyo kama serikali ya China inavyo fanya kwa makampuni yake.

Zaidi ya hayo chukua kampuni kama hili la kutengeneza smart phones la HUAWEI, wewe unafikiri linauwezo gani wa kusambaza 5G technology network uliwenguni bila serikali kuishika mkono?

Ningekushauri kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuleta theories zako za vyuoni.
 
Mimi nimemjibu kwa ku base tu kwenye kichwa cha habari sijapooteza muda kusoma hilo documentary naamini kichwa kimebeba kila kitu nimemjibu based na heading tu
Basi umekosea kutokusoma

Angalau soma comments labda utamuelewa

Kuna mtu hapo juu amesema wanaccm hawana/hatuna vichwa kusoma mambo kama haya

Usimfanye aamini yuko sahihi
 
Kuwaengua wabunge wa chama kimoja tu eti wale wa ccm wanajua kujaza formu huu Ni utovu wa nidhamu na kuwanyima wananchi haki yao ya kumchagua wamtakae. Means form ya tume Ni ngumu kujaza kuliko mitihani.
Inatia shaka kwa sababu Ni upande mmoja tu ndo wameenguliwa.
Au ndo Yale ya form za ccm zilijazwa na tume.
Nikudokeze tu, fomu sio ngumu sana ila hayo ni maelekezo ya Mbowe wajikoseshe ili wakimbie uchaguzi
 
Sielewi tatizo lako ni nini? Kama inakupendeza kunuita mimi mshenzi basi endelea kujiridhisha ni uhuru wako na nchi yako. Tukubaliane kwa hilo! Sawa?

Look! Mimi nilifikiri tunamjadili Tundu Lissu kuhusiana na sifa zake za kugombea Urais, kitu ambcho sikujua, naona sasa tatizo liko kati yangu na watanzania wanao dhulumiwa na serikali ya Magufuli, si ndiyo?

Sikiliza mkuu mimi huwa sipendi kukwaruzana na watu au vijana kwenye mitandao ambao kwa sababu yoyote ile hawaja weza pata bahati kama yangu. Kulingana na status yangu sioni kama kuna haja ya kukwaruzana na wewe, kwani naona kuna tatizo ambalo wewe na mimi hatutaweza litatua kwa matusi kwa vile hatuna kitu chochote in common.

Kama nitakuwa nimekukwaza wewe binafsi au familia na ndugu zako basi naomba niwie radhi. Sina malengo ya kuwakwaza watu ambao wanahangaika kutafuta riziki zao kwa shida.

Kwa kukujibu swali lako la kwanza, mimi nilienda Ulaya kwenye miaka ya late 80's kusoma baada ya kufaulu vizuri masomo ya Science. Sasa sielewi mwenzangu umesomea nini?

Nilivyokuwa masomoni Ulaya of course kila mtu anayafurahia maisha ya huko. Kila kitu unakiona kizuri kwa sababu tumelelewa kuamini hivyo. Baadae ukisha anza kazi na kuyazoea mazingira na pesa kidogo ya uhakika, ni kweli uko right, mtu unapotea na kujisahau kabisa. Maisha ya watu wa kwenu huyafikirii tena na unajiona wewe nawe ni mzungu kama wao.

Kwa kukuthibitishia tu hata hivyo mimi bado ni mtanzania na wala sikubadili uraia wangu. Nina miaka saba toka nirudi na Rais Magufuli ama kwa uhakika nilimpigia kura mwaka 2015 na nitampigia tena kura Oktober 28 2020.

My Moto is "No Time for Change and No Time for Experiment". Nataka Magufuli amalize mambo aliyo yaanza kwanza, ndipo tufanye majaribio.

Advantage niliyo nayo dhidi yako ni kwamba mimi nina uwezo wa kwenda Europe mda wowote ule ninao taka, kwani nina unlimited visus na watoto wangu na mjukuu wako huko. Utanisamehe kwa hili, kwani tumejifunza kwenye methali zetu kuwa bahati ya mwenzio, usiilalie mlango wazi.

Fanya bidii na wewe milango yako ifunguliwe, kwani kukaa gizani kwa mda mrefu sioni ajabu kama mtu anakuwa na frustrations za kupofuka macho.

Ungejua jinsi gani nimewapigania vijana na watu wa Bongo kwenye mada yangu, nadhani nisinge kuwa mkimbizi kwenye nchi ya mababu zangu. Ama kweli kusoma kunafungua akili.
Achana nae huyo
 
Hivi unaufahamu vizuri utawala wa Makaburu wa Sauzi?!!
Hebu pitia pitia uufatilie tena.
BE CAREFUL WITH WHAT YOU WISH FOR. Hata ya USA ya Polisi kutumia nguvu kubwa kupita kiasi kwa Blacks hayafii hata 1/8 ya Yale ya Makaburu wa SA (sauzi).
Damn!! Ya Makaburu was much worse.
It is relative! Kwa mtazamo wako unaona mkaburu alikuwa the west, lakini unasahau mateso ya mzungu wa Europe ambaye mkaburu ni asili yake tunayo kabiliana nayo mpaka leo na pengine mpaka kesho ambayo pia ni ya kupitiliza kiasi hayo hayakupi shida.

Nikujuze tu kidogo ambacho wewe labda hukioni kwa sababu umesha pumbazwa kiakili ni kuwa je unaijua history ya mababu zako?

Unajua miungu ambayo babu za mababu zako walikuwa wana abudu? Dawa zao walizo kuwa wanazitumia pindi wakiugua, kuumwa na nyoka na majeruhi mengine unazijua?

Sasa stories za mababu na mababu wa wanzungu toka miaka elf 6 kabla ya kuzaliwa Yesu wa Nazareth unazijua, lakini stories za mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu huzijui.

Kitu gani kimetokea kwetu sisi kiasi kwamba kikasababisha sisi kushindwa kujua stories za mababu wa mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu? Hatukifikrii wala kukiwaza. Ina maana kabla ya wazungu kuja kwetu sisi tulikuwa hatupo?

Hapo ndipo utambue kuwa wazungu wa Europe ambao hao makaburu ndiyo asili yao wame tuharibu sisi akili kiasi kwamba hakuna kingine tunacho abudu zaidi ya mungu wao ambaye wao wenyewe huko kwao hawamuabudu tena na hakuna kingine tunacho abudu na kukipenda isipo kuwa kinacho toka kwao.

Walicho tufanyia sisi wazungu wa Europe ni kututeka sisi kiakili kwa kutufanya sisi tusielewe kuwa nasi tulikuwa na asili na hivyo kuamini kuwa kila kitu wanacho sema wao ni kizuri. Na kila kitu wanacho fanya wao pia ni kizuri na ndiyo maana tunakubali tu blind kuwa demokrasia wanayo taka kutuletea ni sawa na itakuwa nzuri wakati mifano ipo kibao inayo tuonyesha sisi kuwa huo mfumo wao wa kutuletea sisi demokrasia ambayo wao wenyewe hawaifuati, sio sahii.

Ubaya huo na uzandiki huo walio ufanya hauwezi kuuona kwa sababu umesha tekwa tayari na iko kwenye DNA yako.

YOU BETER BE CAREFULL WITH YOUR SELF FOR WHAT YOU THINK IT IS GUT FOR US!

Lissu hata jali mateso ambayo sisi tutayapata kutoka kwa hao mabeberu wake kwa sababu yeye atakuwa amesha wekwa kwenye kitanzi. Akikataa watakacho taka watamtoa na kumweka mwingine ambaye ni wao. Kwa hiyo the cycle itajirudia tena na tena hivyo daima na hatutweza tena jikwamua.

Magufuli hawaja mteka bado na hawajamweka kwenye kitanzi chao. Hao wengine wote tayari kwa sababu wanatumia hela zao.

Wakisha tuvamia basi tujue kuwa watatufanya sisi tusiwe na power ya kuwapinga kwa pamoja, kwani imani kati yetu kwa sababu ya makabila yetu haitakuwepo tena. Zanzibar itakuwa kivyake na Tanganyika itakuwa kivyake. Waarabu wa pemba watakuwa kivyao na Unguja nao pia kivyao. Sitaki kuelezea itakavyo kuwa kwetu kati ya makabila yetu. Hatari hatari!

Mungu atuepushe!
 
Mkuu lait ungejua sources za umeme zilivyo na mahesbu yake nafikiri usinge uliza swali kama hili na hasa ukizingatia usomi wako unaojaribu kuuuza kwetu, ni wa shule ya msingi au chuo cha mambo ya economics.

Naomba nikujuze kidogo kuhusu sources za umeme na mlolongo wake. Nafikiri unajua kuwa kuna souerces nyingi ambazo zina weza tumika kutupatia umeme, kama;
makaa ya mawe (coal), gesi yetu asilia (Natural gas), maji (hydro Power), nuclear power, Solar, wind na kadhalika.

Ukiiangalia nchi yetu nadhani utatambua kuwa hii nchi imebarikiwa na mwenyeezi mungu kwa kuwa na rasilimali zote tunazo zihitaji kuzalisha chuma. Makaa ya mawe tunayo, Gesi asilia pia tunayo na Uran nayo ipo sources ambazo tunaweza tukazitumia kuzalisha umeme utakao tumika kwenye kuzalisha products za chuma.

Technology na gharama za kuzalisha umeme ulimwenguni ni very very cheap na primitive. Tukiachana na Solar energy, sources nyingine zote zinahitaji aidha synchronous or asynchronous driven generators ambazo kwa namna moja au nyingine zimeunganishwa na Turbines au engines through a shaft.

Katika turbines unatumia nguvu za maji, mvuke au fuel. Na isitoshe unaweza uka combine Gas turbine na Steam turbine ukawa na G and S combined cycle unit. Yaani ni hivi; Gas turbine ina drive generator na kutoa umeme upande mmoja tuseme umeme wa 20MW na upande mwingine hewa ya joto kali linalo toka kwenye hiyo turbine linapelekwa kwenye Heat exchanger ambayo ina heat maji kuwa mwvuke na huo mvuke unakwenda ku drive Steam turbine ambayo nayo inatoa umeme kupitia generator iliyo unganishwa nayo ya let us say 15MW. Efficiency yake hapa kwenye combined cycle ni 80% to 90% ya total input.

Kwa hiyo naomba niambie, what is so special and unique kwenye teknolojia hii? It is so simple and is very old.

Wewe ni amature katika mambo haya na ni theoretician. Naweza nikakupa somo katika mambo haya ya energy kimahesabu na exergy yake. Sijui kama unajua maana ya exergy nini? Kama hujui basi definitio yake ni hii hapa: Share of energy that is converted into the desired, economically usable form (e.g. electrical energy)

Na kwenye Thermodynamics and natural sciences tunajifunza kuwa;

The law of conservation of energy expresses the fact that energy is a conserved quantity, i.e. that the total energy of a closed system does not change with time. Energy can be converted between different forms of energy, for example from kinetic energy to thermal energy. It can also be transported out of or into a system, but it is not possible to generate or destroy energy.

Nafikiri hapa sasa tutakuwa tumeelewana. Msipende kuwazarau watu msio wajua. Mimi sija soma ili nifaulu mitihani kama wewe. Nimesoma ili kuelewa vitu na kuvifanyia kazi.

Zaidi hapo chuma kwa kejerumani "Roheisen" (pig ion) inazalishwa kwa njia ya hewa (Oxygen) na ama gesi asilia au oil au makaa ya mawe na sio lazima umeme utumike. Hapa nina maanisha kuna viwanda ambavyo vinatumia process ya electrolytes kuproduce chuma ni ile chuma itwayo steel. Kuna aina nyingi sana za steel kulingana na matumizi yake.

Sasa turudi kwenye mada. Sikiliza msomi wetu, mimi kusema ule ukweli sielewi tatizo lako la ufahamu wa biashara ya chuma upo wapi? Kabla hatujalizungumzia swala la usafirishaji wa products zinazo tokana na chuma kwanza kabisa ulitakiwa ujue chuma ikitengenezwa ina kuwa katika forms gani.

Kujibu swali lako kuhusu swala la usafirishaji wa tonnes za chuma mbona ni kitu rahisi? Hizi nondo zinazo agizwa nchini zina safirishwa na nini kwenda mikoani? Bidhaa zilizo tengenezwa na chuma, I mean Steel, sio lazima zisafirishwe na treni, trucks zinaweza pia fanya kazi hiyo.

Ndiyo treni na reli ni vitu muhimu sana katika Heavy Metal Industries, lakini hata hivyo sioni kama ni kitu kikubwa sana kiasi ambacho nchi yenye chuma (iron ore) nyingi kiasi hicho kama Tanzania ikashindwa weka infrastructure za reli kutoka kiwandani mpaka sehemu tuseme bandari ipo.

Mbali na hayo reli ya kufika mpaka bandarini DSM tayari ipo kinacho takiwa ni kiongezeo tu cha kipande cha reli mpaka kiwandani.

Kuhusu running costs za kuendesha hicho kiwanda, na amount ya products zitakazohitajika kuzalishwa in order to break even? Inategemea na soko jinsi lilivyo na kama ulivyo sema aina na qaulity ya chuma tunayo produce.

Kwa conditions jinsi zilivyo nina uhakika kuwa chuma yetu itaweza ku compete na chuma inayo zalishwa nchi nyingine kama China kwa vitu viwili vikubwa; cha kwanza ni kwamba tuna cheap labor na pili vyanzo vya kutuwezesha sisi kuproduce umeme mwingi wa ku feed hicho kiwanda vipo, hivyo ambavyo nimevitaja hapo juu kama makaa ya mawe na gesi asilia amabvyo pia havita gharimu pesa nyingi kuvi utilize.

Kuhusu Dangote naweza sema kuwa baadhi ya watanzania na hata wizara ilitumika kumfanyia uhuni tu aanguke kwa sababu ya kuhofia kuua viwanda vilivyopo vya simenti kwa competitiveness ya product yake ukilinganisha na products za wazalishaji wengine kwenye bei. Lakini Rais alipoamua kuwa achimbe mwenyewe makaa ya mawe, naona mambo yameenda vizuri?

Na huu ndio upumbavu wa sisi watanzania tunaoufanya ambao nyie wakamba mlitakiwa kuukemea. Watanzania wanamtindo wa kuwakatisha tamaa wawekezaji kwa kutaka kupata faida kubwa ya mara moja kutoka kwa wawekezaji. Alafu wawekezaji wakishindwa na conditions tunazo wawekea, wakoma wa hii nchi badala ya kuyakemea hayo majitu yanayo fanya ujinga huo, wao ndiyo kwanza wanamtupia Magufuli lawama ya kwamba serikali yake inafukuza wawekezaji. Watanzania ni mijitu mijinga sana.

Sie kweli kwamba dunia ina ugomvi na China kutokana na cheap export ya chuma chake bali wachina wanautumia vibaya utajiri wao walio upata. Wachina wana lengo la kutaka kuutawala ulimwengu na kuua bishara zote zinazo fanywa na mataifa mengine, kitu ambacho hakuna taifa liko tayari kukubali dhamira mbovu ya namna hiyo. Ni nyie wakoma wa kiafrika ndiyo mnashangilia uzandiki wa namna hiyo. Kwa sababu hamwelewi vitu na hamtaki kusoma habari za nje. Mmeng'ang'ana sana na habari za udaku za nchini na za uchochezi za BBC, VOA, DW na Al Jaseera. Fungueni macho na tembeeni.

Kama haitoshi makampuni mengi ya china yana compete na makampuni ya nje kwa sababu serikali yao ina wapa Subvention wakati viwanda na makampuni mengi ya kigeni yanajitegemea yenyewe. Hayapati kubebwa kiasi kikubwa namna hiyo kama serikali ya China inavyo fanya kwa makampuni yake.

Zaidi ya hayo chukua kampuni kama hili la kutengeneza smart phones la HUAWEI, wewe unafikiri linauwezo gani wa kusambaza 5G technology network uliwenguni bila serikali kuishika mkono?

Ningekushauri kufanya uchunguzi kwanza kabla ya kuleta theories zako za vyuoni.
Muhimu ya yote kwanza ni wewe mwenyewe kutambua ili uwe na heavy industries unahitaji umeme wa uhakika, kitu ambacho Magufuli anakifanyia Tanzania kwa sasa. Kwa ivyo kitendo cha kulaumu hakuna kiwanda cha chuma kikubwa wakati umeme wenyewe tia maji maji ni kumuonea Magufuli.

Pili unaweza kuwa umesomea mambo ya electrical engineer (just giving you the benefit of the doubt) lakini inaonekana unapwaya kwenye strategic planning za energy security hasa kwa zama hizi za environmental concerns.

Duniani leo kuna umuhimu wa ku-balance kati ya reliable sources and looking after the environment using renewable sources. The goal is to reduce the Earth temperature, anyway kama ulivyogusia this was not the focus of your thread. However not sure if your familiar with international energy sufficient strategies as to what the world is doing (by that I mean developed nations own policies on that front) I got from reading from your post.

Now turudi kwenye icho kiwanda chako cha chuma kabla ya watu kukurupuka na kuamua kufanya investment kuna maswali ya kuulizana na kuyapatia majibu either wanafanya shughuli au wana outsource (logic map) kutokana na mazingira ya soko lao.

Moja ya swali ni strategic importance ya kufanya hiyo shughuli; jibu la haraka yes kiwanda cha chuma Tanzania kinahitajika in the long term and anyone can justify that. Tatizo wengi wenu mnaishia hapo kwenye decision za kutaka kuona serikali inafanya ivyo.

But that is just one question bado kuna maswali mengine luluki yanayo hitaji majibu na yenyewe to justify investment.

Je, tuna watu wenye ‘special knowledge’ ya kuendesha such an industry; ukiangalia kwenye ujenzi wa SGR kuna assembly plant imejengwa kati ya Dodoma na Morogoro inayosimamiwa na wageni. Ukisikiliza engineers wakitanzania walioajiriwa kama supervisors watakwambia hiyo ajira imewapa perspective na knowledge kubwa itakayo wasaidia baadae.

Haya unataka kiwanda cha heavy iron industry ushawahi liona lile li beseni linalopokea chuma na process yote ya iron casting hadi kupata kitu kama reli, unao hao wataalamu? If no inabidi ujibu utawatoa wapi, the answer is simple usomeshe au uajiri wageni? Kama kusomesha this takes time to educate and giving them experience huko nje ya nchi at least six years. Kwa ivyo busara ni kuajiri wageni kwanza walau usomeshe kwa miaka mitatu experience wapewe na wageni.

On the political side kiwanda icho icho kikianza na wageni mtapiga kelele mnawasomi sijui wamesoma ulaya hila serikali imeajiri wageni.

Kuna swala la cost kama ulivyoona Dangote ajajenga sehemu yake ya kuzalishia umeme kwa bahati mbaya it was part of his plan given our electricity capabilities. Kiwanda kikubwa cha saruji kama chake kinahitaji umeme mkubwa. Kwa ivyo kupata umeme wa uhakika ndio imebidi achukue hiyo option ili afikie production target zake za mwaka na arudishe hela yake kwa muda aliojipangia.

Ina maana kiwanda chako cha chuma na chenyewe itabidi ukijengee umeme wake, bado cost za kujenga kiwanda si ajabu ukijikuta gharama zake ni nusu ya bwawa la Nyerere? Is this opportunity cost worth it? Would such an industry enhance the economy given the pace of infrastructure industry, can we compete in cost compared to China in the end (who receive government subsidies to make their products comptitive), in terms of fighting for the market would a Kenyan builder opt to Tanzania Iron product over China because of price, do we have the infrastructure to ship to our neighbours in large volumes, how many tones would we have to produce just to break even?

Maswali mengine kama ya; dependability, speed to reach other market, flexibility, quality etc. Haya kuyaongelea shida maana yanataka supporting infrustructure kama tunaongelea heavy iron industry.

Ni hivi mnatabia ya kuongelea vitu juu juu tu lakini amuwelewi what it takes for those things to be successful. Hapo ata sijagusia strategic planning ya short term, mid term na wala long term ya kuhakikisha kiwanda kinabaki productive for years. Kitu ambacho ata wewe ujagusia kabisa.

Listen mwacheni Magufuli awaandalie mazingira ambayo watoto wenu watakuja faidika nayo kwa kuwatengenezea miundombinu itakayo kuja kuchochea uchumi muda wao sio kuandika mambo mnayoyajua kwa juu juu tu na kudhani ni mepesi kuyatekeleza.
 
It is relative! Kwa mtazamo wako unaona mkaburu alikuwa the west, lakini unasahau mateso ya mzungu wa Europe ambaye mkaburu ni asili yake tunayo kabiliana nayo mpaka leo na pengine mpaka kesho ambayo pia ni ya kupitiliza kiasi hayo hayakupi shida.

Nikujuze tu kidogo ambacho wewe labda hukioni kwa sababu umesha pumbazwa kiakili ni kuwa je unaijua history ya mababu zako?

Unajua miungu ambayo babu za mababu zako walikuwa wana abudu? Dawa zao walizo kuwa wanazitumia pindi wakiugua, kuumwa na nyoka na majeruhi mengine unazijua?

Sasa stories za mababu na mababu wa wanzungu toka miaka elf 6 kabla ya kuzaliwa Yesu wa Nazareth unazijua, lakini stories za mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu huzijui.

Kitu gani kimetokea kwetu sisi kiasi kwamba kikasababisha sisi kushindwa kujua stories za mababu wa mababu zetu kabla ya kuvamiwa na wazungu? Hatukifikrii wala kukiwaza. Ina maana kabla ya wazungu kuja kwetu sisi tulikuwa hatupo?

Hapo ndipo utambue kuwa wazungu wa Europe ambao hao makaburu ndiyo asili yao wame tuharibu sisi akili kiasi kwamba hakuna kingine tunacho abudu zaidi ya mungu wao ambaye wao wenyewe huko kwao hawamuabudu tena na hakuna kingine tunacho abudu na kukipenda isipo kuwa kinacho toka kwao.

Walicho tufanyia sisi wazungu wa Europe ni kututeka sisi kiakili kwa kutufanya sisi tusielewe kuwa nasi tulikuwa na asili na hivyo kuamini kuwa kila kitu wanacho sema wao ni kizuri. Na kila kitu wanacho fanya wao pia ni kizuri na ndiyo maana tunakubali tu blind kuwa demokrasia wanayo taka kutuletea ni sawa na itakuwa nzuri wakati mifano ipo kibao inayo tuonyesha sisi kuwa huo mfumo wao wa kutuletea sisi demokrasia ambayo wao wenyewe hawaifuati, sio sahii.

Ubaya huo na uzandiki huo walio ufanya hauwezi kuuona kwa sababu umesha tekwa tayari na iko kwenye DNA yako.

YOU BETER BE CAREFULL WITH YOUR SELF FOR WHAT YOU THINK IT IS GUT FOR US!

Lissu hata jali mateso ambayo sisi tutayapata kutoka kwa hao mabeberu wake kwa sababu yeye atakuwa amesha wekwa kwenye kitanzi. Akikataa watakacho taka watamtoa na kumweka mwingine ambaye ni wao. Kwa hiyo the cycle itajirudia tena na tena hivyo daima na hatutweza tena jikwamua.

Magufuli hawaja mteka bado na hawajamweka kwenye kitanzi chao. Hao wengine wote tayari kwa sababu wanatumia hela zao.

Wakisha tuvamia basi tujue kuwa watatufanya sisi tusiwe na power ya kuwapinga kwa pamoja, kwani imani kati yetu kwa sababu ya makabila yetu haitakuwepo tena. Zanzibar itakuwa kivyake na Tanganyika itakuwa kivyake. Waarabu wa pemba watakuwa kivyao na Unguja nao pia kivyao. Sitaki kuelezea itakavyo kuwa kwetu kati ya makabila yetu. Hatari hatari!

Mungu atuepushe!
Walau unatambua Tundu Lissu is an enemy of the state.
 
Thanks for sharing. Brilliant piece!

Labda tuu kuongezea kidogo. Tunahitaji kubadilisha mindset za vijana/raia wetu. Tunahitaji vijana wanaojituma. Kama ulivyosema hapo juu, wengi bado tunategemea serikali ifanye kila kitu (ndo maana hata vyoo vya shule zetu inategemewa serikali ndo ifanye hilo jukumu!). Unfortunately, Serikali hiyo hiyo inaaminisha watu wake kwamba inaweza/itafanya kila kitu. Hivi ulishawahi kujiuliza kazi ya DC/RC? Hivi vyeo they aren't fit for purpose in the world/country we live in. Imagine kama DC mmoja angeamka akajiwekea malengo kwamba among other things, nataka nipambane na nyumba za tembe kwenye wilaya yangu! Akifanya mobilization kwamba wananchi waamke wajenge hata kama ni nyumba ya bati kumi..they can do it! Unfortunately, kwa sababu ya nature ya hizi kazi...Huyu DC hawezi kuwa innovative! anajua kazi yake ni kuhakikisha CCM inashinda. Lakini kiuhalisia..matatizo mengi ya wananchi wetu yanahitaji uthubutu na innovation ya kawaida sana at individual level of leadership.

Unapotumia mamlaka kama survival game..kila mtu anataka kuingia kwenye siasa, siyo kutoa mchango kwa taifa bali ndo njia imebaki ya kula pesa za Serikali. Ukigawa vyeo kama zawadi kwa wale wanaokubaliana na mawazo yako...unaondoa dhana nzima ya uwajibikaji na ubunifu kwenye kazi. Siasa na wanasiasa wameshindwa kuwa mifano bora kwa vijana wetu. Siku hizi ni wachache sana kama wapo..wanaoamini kwamba unaweza kufanikiwa bila kuiba! Unfortunately , hata miradi mingi inayoanzishwa kuwasaidia wananchi..bado imekuwa ndo njia isiyo rasmi ya kufuja na kuiba mali za umma.

Pia tunahitaji kubadili mfumo/mwelekeo/malengo ya elimu yetu. Kwa nini tunawekeza kwenye elimu? na ni aina gani ya elimu inatufaa sisi waTanzania kulingana na mazingira yetu? Elimu yetu bado ni changamoto kubwa sana. Na wala si swala la kiingereza bali hata uwezo wa kujenga hoja. WaTanzania wengi hatujiamini bado. Na wala siyo lazima tuige elimu ya wenzetu. Tupambanie elimu itakayotusadia kutatua matatizo yetu.

Mwisho wa yote, exposure ni muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Hatuna budi kuwasaidia vijana wetu na kuwapa support especially wanaotafuta vibarua nje ya nchi. Hatuwezi kujifungia ndani. Tunahitaji kutuma watu huko duniani walete maarifa tuchanganye na ya kwetu hapa tusonge mbele.

Again, asante sana kwa bandiko lako zuri. Nina imani wahusika watapita humu.
Hapo mkuu umenikuna vibaya sana. Kama naruhusiwa kutumia huo msemo. Nitaongezea ku support mchango wako wa hoja. Asante sana tena sana.
 
Back
Top Bottom