Rais Magufuli atinga bandarini, ashangaa vichwa vya treni kushushwa na kukosa mwenyewe

Hivi kilichozungumzwa ni vichwa vya treni kwa maana ya locomotive au mabehewa kama unavyotaka kutuaminisha hapa
Sasa mkuu ww umeona kichwa hapo au hujawahi ona treni hata kama ni kichwa je nembo hujaiona au tatizo ni nn?
 
Hivi Mkuu nilidhani binadamu tuna haki ya kutofautiana kimawazo. Kwa nini mimi kufikiria tofauti na wewe liwe kosa la uhaini?

Jifunze kuvumilia na kuheshimu wale wanaotofautiana na mtizamo wako. Ni jambo jema.
Je ni vichwa vingine visivyo na nyraka rasmi mambo ya kupiga kipindi kike sasa wanaogopa vya moto au ni vile vya mzee wa Misuto?
 
"Juzi mtu amekamatwa na uniform 5000 za jeshi na inaonekana anahusika na hao walioko ndani, halafu unasema wamekaa muda mrefu, au na wewe ni miongoni mwa waliogiza hizo uniform za jeshi," Rais John Magufuli.

Nafikiri hii ndo kubwa zaidi
Hapa panahitaji ufafanuzi
 
  • Kumkemea mchochezi Lowassa aliyetaka baadhi ya watanzania kuwa wa moto kwako ni jambo dogo?
  • Kumkemea Lowassa kuacha kuwatetea extremists (UAMSHO) kwako ni jambo dogo?
Mkuu hao ni viongozi wa imani kuwa na nidham
 
Waache utani ....Documents zinasomaje?

Mwishoni tutaambiwa zimeshushwa kimakosa. ..
 
Another episode anatafuta kiki kwa treni bandarini ili j3 amake Headlines kwenye vyombo vya habari... Maguguli atakua na undugu na harmorapa

Haiwezekan mzigo unashushwa bandarin bila documents
Uyashangae ya watanzania sio Magufuli...sisi wakurya huwa tunasema "ushangae kwa kutumia kiuno wakati makalio yametulia"
 
Huyu ndo Kiongozi I dreamed of. I hate CCM to the core! But Magufuli I will always support you! Unayafanya yale ambayo yamekuwa yananikera sana. I am really proud to call you Mr. President!

Mapungufu unayo mengi. Lakini hata mimi nina ya kwangu and to that we say: AMEN!

I now agree with those saying that Sizonje is too afraid of Mr Mamvi.

He better deals with strong issues, not as simple statements made by Lowassa.
Lowassa anapaswa kuwa Keko mpk usawa huu. Kazidi mno kuropoka. Huwezi kutetea wahalifu.
 
Another episode anatafuta kiki kwa treni bandarini ili j3 amake Headlines kwenye vyombo vya habari... Maguguli atakua na undugu na harmorapa

Haiwezekan mzigo unashushwa bandarin bila documents
Magufuli na yule aliewaomba mashekhe wakinukishe nani anatafuta kiki?
 
Raisi J.P.Magufuli amesema vichwa 13 vya treni vimeshushwa bandarini havijulikani ni vya nani...wakati huohuo TRL wamesema hawajaagiza wala kisain mkataba....hapa kuna kitu.
Hivi mbona kama nimeona hivyo vichwa vimeandikwa TRL?Aisee hii ni mpya.Sidhani kama kitu kama hiki kimeshawahi kutokea kwenye nchi yeyote nyingine duniani.

lla,hapana,haiwezekani vichwa vitoke huko vitokako,viandikwe TRL,halafu eti waseme hawana habari navyo!Huko vilikotoka wameijuaje TRL. No,TRL wabanwe, wanajua kinachoendelea,nadhani wanaogopa kutumbuliwa!
 
Vichwa vya treni ya plastic zile toy za watoto au vichwa vya gari. moshi?
 
Another episode anatafuta kiki kwa treni bandarini ili j3 amake Headlines kwenye vyombo vya habari... Maguguli atakua na undugu na harmorapa

Haiwezekan mzigo unashushwa bandarin bila documents
Harmorapa kazidiwa kete siku hizi hasikiki kabisa......labda aende kutoa pole KIBITI
 
Kwa jinsi Police wa hivi sasa wanavyopenda kiki na kwa hiyo kauli ya mkuu naona EL week hii inayokuja ataingia Keko au Segerea.
 
Back
Top Bottom