Rais Magufuli amteua George Masaju kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupendekeza jina la PM Nov 19

Msitegemee rais anayeingia madarakani kwa muhula wa kwanza kutoka chama kilichokuwa kinashika dola kabla yake eti afanye total overhaul uteuzi wa kwanza kabisa wa watendaji wake, haiwezekani!
Lazima atamix, huyo wa sasa ni wapi alipokosea?

Mwenzako kasema anajutia kura yake!!! Naona na wewe unajipa moyo!!
 
Porojo za walioshindwa haziishi. Jipeni muda hamchoki kuramba matapishi? Jana sio leo, kajifunza kitu na leo ana sura tofauti
 
Ccm ni ile ile ooh ni ile teh teh mumeipenda wenyewe chaguo lenu milele. Ila huyu mwanasheria mkuu alikua very low bunge lililopita. Kwa ccm sitegemei kipya huwezi kuwa ndani ya gari hafu ukajidai kulipush gari litembeee
 
mtakubaliana na sisi kina gogo la shamba tulipowaambieni Makufuli anawajua waliompeleka Ikulu hatowaangusha
 
Msitegemee rais anayeingia madarakani kwa muhula wa kwanza kutoka chama kilichokuwa kinashika dola kabla yake eti afanye total overhaul uteuzi wa kwanza kabisa wa watendaji wake, haiwezekani!
Lazima atamix, huyo wa sasa ni wapi alipokosea?


Unachekesha sana!! Magufuli hakujipanga kuwa Rais hivyo atatenda kwa zima moto kama kawa!!

Rais aliyejipanga tayari anakuwa na safu yake kichwani lkn kwa huyu bwana naona atashikiwa pembe sana!!!
 
Watanzania ni sisi wala hakuna wa kutuongoza ambaye atatoka nje ya nchi. Nyinyi mlishindwa kwenye sanduku la kura kelele za nini sasa...Magufuli atatumia watanzania hawahawa kuleta mabadiliko ya kweli na hata import kama nyinyi mlivyofanya kuleta vijana wa IT kutoka vietnam na kenya.

Hao watu wapya mnaotaka wateuliwa kama mungechukua nchi mungewatoa wapi wakati tuliona mnawatumia walewale tena unused from CCM????. Nyie mnafahamika hamna jema...kilakitu kwenu ni kibaya...
 
Hahahaaaaaa!heheheeeeeee!hihihiiiiiiiii!huhuhuuuuuuu!Nasuburi cheo cha mpiga pushap mkuu wa serikali kama bahati itanidondokea
 
hana jipya, keshaanza recycling ... next atamteua Tibaijuka wizara ya ardhi, chenge waziri wa sheria, mwigulu fedha, n.k.

Kwani unategemea tofauti na hapo?
Si unaona na mheshimiwa Sipika msitaafu naye anarejea?
 
kweli CCM NI ILE ILE,MAGUFULI WAPI MABADILIKO?MBOWE SITAKUSAMEHE KWA KUCHELEWESHA MABADILIKO YA KWELI KWA KUMWEKA LOWASA AGOMBEE URAIS

...hahahaaa...
kwa kweli nyie magamba mnanifurahisha sana; eti leo analaumiwa mbowe, nyie si mlichakachua huyo jamaa aingie ikulu?! hahaaaa..!!
 
Hahahahah
braza siku si nyingi tutakimbiana humu.... tujipe muda tu.

Mimi kuna watu siwaelewi kabisa.

Maana karibu yale yote ambayo wanayasema kuwa ndo yalikuwa sababu za kutokumpigia kura mgombea wa UKAWA, pia ya apply kwa mgombea wa CCM lakini eti kura wakampigia huyo wa CCM.

Kwangu haingii akilini kabisa.
 
Back
Top Bottom