Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

Nashauri Bodi ya Mikopo ibinafsishwe uone Kama itategemea ruzuku serikalini. Ni uzembe tuu umejaa pale.

Wale waliokopa wanarudisha pesa sema tatizo ni UFUATILIAJI sio mzuri. Kuna mambo mengi pale kuliko unavyofikiri. Pesa ipo yakutosha kuendesha Bodi ya mikopo bila ruzuku kutoka serikalini.

Queen Esther

Dah Dada Esther unataka ile 18% ya kodi na bodi nayo ikate hako hako kamshahara kadogo.
 
Maamuzi ya kukurupuka. utumishi wa umma sio hvyo! Taratibu rais wangu. usijefanya kama enzi za samaki wa magufuli, leo hii ni maumivu kwa serikali!

Kamsimamisha kazi. Kupisha uchunguxi. Balozi Sefue ni mamlaka yake.
 
Una uhakika gani hao wa wakati 3a nyerere hawakuenda mahakamani na kufidiwa? Its very possible walienda, wakafidiwa kimya kimya na wakaendelea na maisha yao.


Kulikuwa hakuna kitu kama hicho kwa maana ninawajua wengi tu waliofukuzwa kwa manufaa ya umma tena enzi hizo kulikuwa na JUWATA lkn nayo wala haikuwa na nguvu juu ya maamuzi ya Raisi wa JMTZ!
 
kuanzia leo nimeamini atatuongoza kwa busara hata huyu mama najua atapona haraka kwa maombi ya Mh.rais.
 
No one is condemned unheard! Je kama alitaarifu mamlaka za juu kuhusu tatizo hilo akaambiwa asubiri fedha hazipo kwa sasa Hazina? Katibu Mkuu hazina alipaswa kuulizwa kama ana taarifa juu ya jambo hilo na jee ombi la fedha kwa matengenezo na ununuzi wa vifaa lilifika kunakohusika? Sasa akitembelea hospital za Mikoani si atafukuza Madakatari wa kuu wa Mikoa yote kwa kosa hilo? Dr
Pombe ameanza vizuri sana ila asaidiwe ili akimuwajibisha mtu awe ni muhusika!

i beg to differ, ujue unaongelea mashine za laki 3 ikizidi sana milioni, miezi 2!! na kuna bodi.. kwahili yuko sahihi... hii miezi miwili watu wamekufa.. watu wameondokewa na wapendwa wao... unata aanze siasa ooh ilikuaje ikapanda ikashuka... fukuzia mbali kabisa.
 
Kama sio moto wa mabua itakuwa poa sana,
anatakiwa kuongozana na mkaguzi wa mahesabu kwenye halmashauri ili madudu yakibainika mkurugenzi anaachia ngazi na si kumhamisha kama serikali iliyopita.

haya mambo ni yaleyale na CCM ni ileile...eti badala ya kumfuta kazi anamhamisha wizara ya afya ili aendelee kuharibu!!?? you cant be serious dr magufuli!
 
1.poor allocation of fund from central government.2.poor medical supply and equipments.3.poor priority from central goverments 4.low skilled staff.hiyo ndio baadh ya vyanzo vya utoaj huduma mbovu kwenye government hospital
 
Kama sio moto wa mabua itakuwa poa sana,
anatakiwa kuongozana na mkaguzi wa mahesabu kwenye halmashauri ili madudu yakibainika mkurugenzi anaachia ngazi na si kumhamisha kama serikali iliyopita.

Hivi hao wakurugenzi unaowasema si ndio wanakuwaga wasimamizi wakuu wa uchaguzi ngazi ya jimbo?
 
Kama ameligundua hilo kura yangu 2020 ameipata bila kupigwa mabomu, mimi yapata mwezi mmoja uliopita nilimpeleka mgonjwa ili apate kipimo cha CT scan nilipofika bila aibu waniambia nichukue gari la ambulance kupeleka kupata hicho kipimo hospital ya mtu binafsi ya High Tec kiukweli iliniuma sana ikasababisha sikumpa Magufuli kura yangu.
Magufuli nisamehe bure rais wangu.

nimeona hii instagram ...kumbe ndio wewe
 
amemuonea. mbona hiyo miezi 2 michache sana? ni kawaida kabisa kifaa cha ct-scan kukaa hadi miezi 6 bila kufanya kazi. mimi nimeandikiwa kupigwa scan sasa ni mwez wa 6 kila nikienda naambiwa mashine mbovu. kuna doctor kaniambia kwamba wanakula njama na hospitali binafsi kama regence, hindu mandal, aga khan, etc waharibu scan ya muhimbili kwa makusudi ili wagonjwa waende kwenye hospitali zao.

Na ndio maana Rais kasema kwanini hospital binafsi vifaa vinafanya kazi na Muhimbili havifanyi kwa zaidi ya miezi.
Anajua kama kuna dili zinapigwa. Safi sana Mh. Pombe (PhD Chemistry)
 
amemuonea. mbona hiyo miezi 2 michache sana? ni kawaida kabisa kifaa cha ct-scan kukaa hadi miezi 6 bila kufanya kazi. mimi nimeandikiwa kupigwa scan sasa ni mwez wa 6 kila nikienda naambiwa mashine mbovu. kuna doctor kaniambia kwamba wanakula njama na hospitali binafsi kama regence, hindu mandal, aga khan, etc waharibu scan ya muhimbili kwa makusudi ili wagonjwa waende kwenye hospitali zao.

Muone na huyu!!!kwa hiyo ameonewa kitu gani kama wewe mwenyewe umekiri kwamba kuna daktari amekuambia hujuma zinazofanyika?!

Kama daktari ameweza kukuambia wewe hiyo siri unadhani na bodi Haijui huo mchezo?!au kwa akili yako unadhani hizo hospital zingine wanatoa wapi vifaa kama sio wanaiba Muhimbili?!

Mbona unajifanya huelewi wakati unaelewa tatizo lilipo?!
 
Hajamfukuza kazi bali amepangiwa kazi nyingine. Soma vizuri taarifa ya Ikulu.

Queen Esther

Tunamampa pongezi kwa hiyo timua timua lakini inaenda kinyume na sharia ya kazi , Employment and labour Relations Act , 2004 na kanuni zake za mwaka 2007 , ambazo zimeonyesha utaratibu wa kumfukuza mfanyakazi ( termination) ambazo ni kupewa maonyo, kuitwa vikao vya nidhamu na kuambiwa mashitaka yake na kupewa nafasi ya kujitetea , mwisho akionekana hana hoja ndipo anaweza kuachishwa kazi au kurudishwa kazini au kulipwa mishahara yake isiyopungua miezi 12 na stahiki zingine kutegemeana na kosa lake
Kuna makosa mengine yakifanywa na mfanyakazi sharia inataka apewe muda wa kujirekebisha na kufundishwa zaidi sasa ukikurupuka kumfukuza bila fuata taratibu ndo tutegemee kesi kufulika mahakama za kazi na 90% serikali itashindwa.

So ni muhimu hawa wafanyakazi wavivu au waliojisahau watatlfutiwe mianya ya kuwatimua ambayo serikali haitaathirika na penalt za baadae mahakamani.

Naunga mkono hoja !!
 
Kwani ni mpaka amfukuze kazi? Si angempa budget ya kukarabati/kununua MRI na CT-Scan mpya?
Nani kakwambia amefukuzwa....?amesimamishwa kwa uzembe wake najua uwezi elewa kuwa hawa watu wanafanya biashara kwa hiyo kuharibika kwa mashine hizi ni manufaa kwao...
 
Watanzania tuache unafiki, Rais kaanza kufany Kaz eti anakurupuka, kesho aspochkua maamuz mnasema hana Meno, inabd watanzania wote waondolewe umu afu waje watu wapya ndo maguful awaongoze ili maendleo yawepo,
 
Back
Top Bottom