3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 4,896
- 13,648
Wale wanaosema yupo sahihi hakuna shida hebu kasomeni kisa cha mtu mmoja aitwaye Uza aliyejaribu tu kugusa sanduku
2 SAM. :6:6
Hata walipofika kwa uga ya Nakoni, Uza akalinyoshea mkono sanduku la Mungu, akalikamata kwa maana wale ng’ombe walikunguwaa.
2 SAM. :6:7
Ndipo hasira ya BWANA ikawaka juu ya Uza; naye Mungu akampiga huko kwa kosa lake; hata akafa pale pale penye sanduku la Mungu.
Au hata mfalme Sauli aliyechukua jukumu la kutoa sadaka ya amani badala ya nabii Samuel ambaye ndiye alipaswa kufanya hivyo kwa kisingizio cha kuchelewa kwa nabii ktk 1 Samuel 13
Mungu ni Mungu wa utaratibu ukiuvunja ni kosa na kuna adhabu zake