Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,681
- 112,895
Waache kuhangaika, hiyo miaka yote walikuwa wapi
Siyo kampeni hilo swala la reli ni kweli na inajengwa verysoon
Miaka 10 yote alikuwa wp?
Naona kwenye taarifa ya habari Samuel Sitta anasema Rais Kikwete atazindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa, hatimaye Sitta ameweza alichoshindwa Mwakyembe.
Sitta angekaa wizara hii mda mrefu labda hii reli ingekuwepo siki nyingi kama ni kweli after four years tutakuwa na reli mpya basi ni jambo zuri sana.
Chanzo: Taarifa ya Habari TV1
kwani zamaniwalikuwa wapi kujenga? Mwaka 2010 walikataa elimu bure haiwezekani tena wakasema hata mwl nyerere alishindwa kutoa vya bure,lakini leo wanawalaghai eti inawezekana. Watuambie kwa vyanzo gani vya mapato huku wakijua deni la taifa limepaa kwa zaidi bil 30?
Sitta amekuwa kiongozi tangu enzi za Nyerere,tujiulize kuna hata jambo MOJA la maana/kukumbukwa alilowahi kufanya?
Naona kwenye taarifa ya habari Samuel Sitta anasema Rais Kikwete atazindua ujenzi wa reli mpya ya kisasa, hatimaye Sitta ameweza alichoshindwa Mwakyembe.
Sitta angekaa wizara hii mda mrefu labda hii reli ingekuwepo siki nyingi kama ni kweli after four years tutakuwa na reli mpya basi ni jambo zuri sana.
Chanzo: Taarifa ya Habari TV1
Ongeza na kura yangu..
Ukiuliza hayo tena unataka matatizoZabuni ya ujenzi ilishatangazwa au mzabuni alipatikanaje?
Utawala wa kikwete na utendaji wake wa kazi ikulu unaishia tarehe ngapii?
Waanze tu ila kura hatuwapi!
Magufuli atangaze kuwa elimu ni bure mpaka chuo kikuu na sio form four /six kama ilivyokwenye ilani yake!