Rais kikwete hayupo mpirani dar; timu ya taifa inashinda... Haitajiki mpirani???

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Kila Mechi Rais Wetu kuhudhuria Jijini Dar Es Salaam Taifa Stars inafungwa au Sara haishindi

Wana Jamii hamuoni kuna ni busara kwa Rais Kukaa Nyumbani kuliko kwenda Uwanjani?
 
tatizo huwa anafuatana na majini ya yahaya yanawachanganya taifa stars wanajikuta wakizunguka uwanjani kama watalii
 
Back
Top Bottom