Rais Kikwete amtimua Waziri Anna Tibaijuka, adai kumuweka Kiporo Prof. Muhongo

Kumwambia Princess Anna Tibaijuka Raisi wetu wa 2015 ni kumuonea na kujaribu kumwekea vikwazo katika safari yake aliyo aanzia baraza la wanawake tanzania na sio uwt kwa jinsi alivyo na mapenzi na watanzania . Mbona hatua hizo hajachukua dhidi ya waliolipwa kupitia stanbic
 
Raisi wetu hata uwezi kumuelezea naungana na mnyika kwenye ile kauli yake ya kwamba rais wetu dhaifu sana hii nchi inapotea huku tukiiangalia du kuzaliwa Tanzania ni balaa tupu mwizi wa kuku anasekwa ndani lkn mwizi wa mabilioni anachekewa tu hii ni nchi gani viongozi wapumbavu kiasi hiki
 
Kwa maamuzi haya ina maana Professeli Tibaijuka anaende sasa kufaidi mgawo alioupata wa 1.6 billioni ?

Je, atafirisiwa ?

Je, atashitakiwa ?

Je, atarudisha hiyo pesa ?

Au ndo mtindo tuliouzoea wa kujiuzulu na kwenda kufaidi matunda uraiani ?

Naomba nieleweshwe.

Mkuu una maswali ya msingi sana lakini jibu la maswali yako liko kwenye swali lako la mwisho....
 
Kwa kiburi cha yule mama sidhani kama atatekeleza ombi la JK, huyu mama angekutana na muziki wa juliua Kamabarage angejua Rais ni kitu gani ? Huyu Rais alianza kubembeleza wezi wa EPA leo anajadiliana na wezi wa ESCROW tuna Rais wa ajabu sana.
 
kama hujasikiliza/hujaitazama hotuba yake isome imo humu kabla hujaanza kutupia vinyesi vyako humu.
Kwa mfano, anna unampeleka mahakamani kwa kosa lipi? lakupewa hela na ruge? utakuwa chizi wewe kama sio shoga. kaendelee kujiuza jishoga wewe.
Wewe nawe akili zako zinakutosha wewe na familia yako tu. Ndio maana huoni kuna kosa! BTW kama kusingekuwa na kosa sasa ''ameombwa'' apumzike kwasababu gani?
 
Leo imeandikwa historia, haijawahi kutokea wazee wa Dar Es Salaam katika mkutano wao na JK kumshinikiza kutoa uamuzi. Wamefanya hivyo kwa kupiga vigelegele vya fujo kusapoti uamuzi wa Bunge kwamba Tibaijuka ang'oke, kisha wakazomea na kusema kwa sauti ya juu "hatumtaki". Mpaka JK akachanganyikiwa na kusema "mbona ninapata kikohozi!", kisha kinyume na alivyopanga, nguvu ya umma ikamlazimisha kumtema Tibaijuka. Alipomtema, wakashangilia "CCM! CCM! CCM! CCM!" hadi ikabidi wanyamazishwe. Kuona hivyo, kwa Muhongo hakuruhusu hisia za watu, akasema haraka haraka anamuweka kiporo Muhongo na kumaliza ghafula hotuba, ili asilazimike kumng'oa na Muhongo! Kuna shidaaaaa ndani ya Chama hiki, hata Wazee wa CCM nao wamekichoka Chama chao!!!!

Sio kuwa wazee wa CCM wamekichoka chama cha CCM, bali walikuwa wanakumbusha kuwa suala la uadirifu na uwajibikaji ni muhimu na lizingatiwe.
 
Leo imeandikwa historia, haijawahi kutokea wazee wa Dar Es Salaam katika mkutano wao na JK kumshinikiza kutoa uamuzi. Wamefanya hivyo kwa kupiga vigelegele vya fujo kusapoti uamuzi wa Bunge kwamba Tibaijuka ang'oke, kisha wakazomea na kusema kwa sauti ya juu "hatumtaki". Mpaka JK akachanganyikiwa na kusema "mbona ninapata kikohozi!", kisha kinyume na alivyopanga, nguvu ya umma ikamlazimisha kumtema Tibaijuka. Alipomtema, wakashangilia "CCM! CCM! CCM! CCM!" hadi ikabidi wanyamazishwe. Kuona hivyo, kwa Muhongo hakuruhusu hisia za watu, akasema haraka haraka anamuweka kiporo Muhongo na kumaliza ghafula hotuba, ili asilazimike kumng'oa na Muhongo! Kuna shidaaaaa ndani ya Chama hiki, hata Wazee wa CCM nao wamekichoka Chama chao!!!!


Hawa wazee waleo walitaka atekeleze maazimio mda wote waliuchuna hata akijitahidi kuwachekesha waliuchuna akabaki anakuna kichwa hata zile salam za mc hazikupokelewa vizuri kiujumla kinamama wa mipasho waliridhika ila kuna kundi kubwa limetoka na hofu. Hofu kubwa ya hawa wazee ni nguvu ya upinzani kama chama hakitafanya maamuzi magumu
 
Ukishakuwa kiongozi wa uma huruhusiwi kupokea zawadi kubwa bila kutoa taarifa. Haijalishi fedha ulizopokea ni haramu au halali. Hii sheria imewekwa ili kuondoa ''conflict of interest''. Chukulia mfano: kesho wewe na huyo Ruge mmegombania issue fulani mkafikishana kwa waziri Tibaijuka, je unafikiri anaweza kumtosa mtu aliyempa bilioni moja? Jibu ni hapana.

umefafanua vizuri mkuu
 
Kama kuna double standard ndio hi; mwanzoni katetea uhalali wa pesa JR kwamba ni halali na amelipia kodi, sasa kama pesa ya JR ilikua halali, inakuaje amuadhibu mtu aliyepewa pesa hizo regardless ni za shule au la? Na vipi kuhusu mzee wa vijisenti ambae pia katuandikia katiba!? Hiyo katiba yake itakua halali? ikumbukwe itakua imeandikwa na mtu mwenye mikono michafi!
 
Rais Kikwete amedai kuwa:

- Waziri Tibaijuka tumekaa naye; tumemuuliza fedha zilikuwa za nini... Ameeleza ni za shule...

- Tibaijuka tulishindwa kuelewa sababu ya fedha kuingia kwa jina lake na si la shule, akadai ndo masharti ya mtoaji

- Waziri Tibaijuka alifanya makosa kimaadili; tumemwomba AnnaTibaijuka apumzike tumteue mwingine!

Rais amedai Prof; Prof. Muhongo tunamweka kiporo; kuna uchunguzi nimeagiza ufanywe sijapata majibu. Tutafanya maamuzi anytime

LAANA YA KIGAMBONI , CHAsIMBA NA KURASINI ITAMFUATA POPOTE AENDAPO .
 
sishangai kauli za jk kunyenyekea mafisadi kwa kumuomba mtu mwizi aondoke bila kugusia hatima ya izo fedha ndo yaleyale kuomba wezi warudishe hela
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom