Rais Kikwete amteua Profesa Asad kuwa CAG mpya akimrithi Ludovic Utoh

Since then,....I am told it was a single sitting....., you can't a chairman of NBAA without being FCPA.

So, what is FCPA again?

I asked because I thought (probably, mistakenly) that you can't be a CAG without such a qualification. Apparently, FCPA was not mentioned in the State House statement on the appointment of this professor. Given the position he is being appointed to occupy, how can one overlook the fact that the appointee is actually a FCPA (whatever it means)? I guess I am throwing a red herring into the conversation.
 
Sio kweli ,ASSAD ni ACPA, huwezi kuwa ACPA bila ya kupractice,ndio maana una jaza logbooks kazi ulizofanya ili uweze kuwa associate, pia ASSAD ana audit firm, NBAA hakuna CPA ya heshima, huwezi kuwa na audit firm kama sio ACPA-PPS (External auditor) na kuendelea mfanO FCPA-PPS

Kama ana "audit firm" [sic], this is a conflict of interests.
 
tracy martins,

Kama sijakosea, CAG hafanyi kazi zote mwenyewe, kwa maana ya staff wa ofisi ya CAG. Mara nyingine (often, actually), CAG hutumia makampuni binafsi and then ana own reports za ukaguzi. Am I right?
 
Ukisoma wasifu wa huyo Proffesor hakuna pahala popote panapo onyesha ana managment skills zaidi ya kuwa kwenye ma-body ya uhasibu wakati management experience is a very useful skill given the position.

Na ukute ajawahi kukosoa wala kuandika chochote kwenye maandishi yake kuhusu kuboresha mfumo wa kufanya uhasibu ndani ya Tanzania. Sasa huyu na watu waliokuwa karibu na out-going CAG head yupi mwenye experience na kazi? yupi anajua changamoto za kuboresha sector kwa sasa?

Kisa mtu Proffesor ndio tunaruhusu watu wajifunze utaratibu wa organization practices wakiwa kazini; wenzetu wanapomtoa mtu 'Condoleeza Rice' kutoka Stanford university na kumpa nafasi ya secretary of state its because the lady has lectured extensively and wrote score of articles in american foreign policy and probably had been serving as an advisor for some time. Msimamo wake kuhusu maswala ya foreign policy and american position ndio washauri wa raisi wanaona huyu mtu anafaa. Well labda pengine na uwezo wake wa kutetea hoja za kile anachoamini ili kukidhi matakwa ya siasa pia just the nature of the business sometimes people have different viewpoints.

Sasa huyu bwana kafanya lipi kwenye maswala ya national auditing extra ambacho wasaidizi wa Utoh wangeshindwa hili kuboresha sector? Kwa utaratibu huu itakuwa vigumu sana kuboresha taasisi za serikari. Sioni tatizo na wasomi kupewa nafasi za public office lakini wateuliwe basi kwa evidence on what they bring on the team sio elimu yao tu that is the only logic kwa sasa. Vinginevyo some regional manager who has been working in the sector for ten years with an ACCA knows more of the institution and its challenges in relation to improve efficiency than the current elected Professor.

Just thinking aloud.
 
.......

Just thinking aloud.
Sijawahi kuona hapa JF siku yoyote ambayo uteuzi unapomhusu Assad, Juma, Ramadhani kutokulalamikiwa.
Hii inaashiria nini?
Ni kuwa hawa hawana haki ya kuteuliwa?
Hawana elimu?
au hawastahiki kuteuliwa?

Hao wengine wa majina ya Chenge, Muhongo, Kologoto, Werema na Jonas wamefanya nini cha maana zaidi ya ufisadi tu?
Hivi Dr. Hosea ameshawaadabisha wangapi katika hao mafisadi?

Mtaipeleka nchi pabaya. Fanyeni kuitekenya tekenya tu.
 
Your arguments adds up to the mix of unwanted thoughts which leads to influencing these type of selection. What does being John or Juma has to do with being able to execute a strategy, re-shape organization structure to serve the needs, improve efficiency etc to do with sectoral management.

Just recently some corrupt school head teacher or was it a government official working in Shinyanga Municipal (or somewhere in those parts of Tanzania) embezzled nearly 100m/sh on housing project. The act was a topic of discussion in the forum this was just weeks before escrow took over.

If you ask me I don't think the problem is because we lack skilled accountants it is rather we lack someone with combined skills to oversee the whole organization by implement right intervention methods, improving frame work of the sector (If I may is there a known FRS that was proposed by the gone CAG in his tenure) because in other countries new challenges lead to new ways of Financial Reporting Systems to keep up with deployed new ways embezzlement. Furthermore some parliamentary legislation in public finance management derive because of audit scrutiny and recommendation can you name one that was proposed by Utoh?

Why in a country where every year the CAG reports come with same fraudulent tricks on his report and there are no recommendation to the government on how to limit public finance fraud. Do you know a CAG report can also recommend on source of problem and how they derive such as using unskilled management or poor trained workforce; in turn government could aim to improve their efficiency in employment selection (or do you think these bozzos employed on the basis of favour: any party cadres, nepotism, friendship network don't contribute to miss management of funds).

The point I am trying to make we have enough accounting professionals already matter of fact that is where most student aim at whilst at universities. Therefore to be the head of that department not only you need to be a professor but also you need necessary skills to take the organization forward and help the government to save money or atleast making sure the budgets targets are aimed.

Sasa habari za mtu ana jina gani mimi sizifikirii hila naelewa kumekuwa na utaratibu huo JF ndio maana wengine tunaona sisi kuendelea bado sana; you also need the right attitude to develop you know.
 
Maprofessor wa Bongo ni wehu sana ..ndio maana huwa wanakuwa very serious na vibaftari Dr. Jk akiwapiga porojo km vitoto vya msoga kabla ya kulala
 
Hapa unababaisha tu.
Hao wateuliwa wote unaowajua ni yupi amekuwa ni mchapa kazi katika Taifa hili (shamba la bibi)? Kwa nini kelele zinatoka/ zinapigwa pale tu anapokuwa Assad?

Ungempendekeza nani ateuliwe kushika nafasi hiyo.?

Acha dana dana bana?

Unakumbuka Nyerere msomi wetu alipong'atuka aliiacha nchi yetu katika hali ipi?

Mkapa mkusanyaji kodi hodari alipoondoka alituachia shirika lipi la umma na migodi ipi alijitwalia?

Hao wengine siwataji kwa sababu inajulikana kutokana na kutokuwa na "elimu dunia" wanategemewa kuvurunda tu.

Sasa panga timu yako nani ateuliwe na nani aondoshwe katika hao wateuliwa wa JK?
Usijifiche katika hii " to do with being able to execute a strategy, re-shape organization structure to serve the needs, improve efficiency etc to do with sectoral management."

Hivi "experience" ya kazi huwa inapatikana wapi? Darasani? Barabarani?
 
Uzoefu umeonyesha wenye taaluma nzuri kama Maprofesa na ma Doctor wamekuwa sio watendaji wazuri wakipewa nyadhifa serikalin ni wachache sana wameonyesha uwezo.Kufundisha ni rahisi kuliko kutenda CAG aliondoka amefanya vizuri sana na hakuwa Dr wa Prof na nilitegemea aliekaimu angeshika mikoba sababu nae ameonyesha kutotetereka.Ninachojua kikubwa tunachotaka kwa CAG sio uprofesa wake bali ni uwezo wa kudhubutu na kutenda kwa haki kwa maslahi ya watanzania na sio aliemuweka au kikundi cha wachache.
 
Ungempendekeza nani ateuliwe kushika nafasi hiyo.?

Unakumbuka Nyerere msomi wetu alipong'atuka aliiacha nchi yetu katika hali ipi?

Mkapa mkusanyaji kodi hodari alipoondoka alituachia shirika lipi la umma na migodi ipi alijitwalia?
Ndugu unanipa majukumu yaliyo juu ya uwezo wangu mimi nitajuaje nani anafaa kwa sasa na nani afai au kuweza kupanga safu za watu wa kuteuliwa kushika nafasi. Kwanza sina ata track records za watanzania 20 leo unipe majukumu ya kusema nani anafaa na yupi afai naanzia wapi kuchagua katika watanzania wote wenye sifa za shahada inayohitajika na kuanza kutafuta matching skills.

Nachojua mimi hayo maswala yanataka washauri waliye karibu na mteuzi kujua ukweli na kumwambia changamoto za sector zilizopo. Na kikubwa kwenye kujua changamoto za taasisi/wizara/wilaya/mkoa ni kufanya sector performance auditing based on needs and goals. Baada ya hapo unaangalia mapungufu yalipo na kulenga kuajiri mtu anae match hizo skills; sasa kama shirika watu wa juu kutwa kulalama matatizo ya chini wao hawausiki lakini yanaigharimu serikari then you know kiongozi anaehitajika licha ya kuwa na elimu inayo mfanya awe professional katika mazingira ta kazi lakini lazima pia awe na track record ya kutengeneza organizations layers zinazoweza monitor mpaka chini. Kwa sababu kikubwa moja ya tatizo kubwa ni monitoring layer dhaifu kama hiyo elimu hana basi awe na degree ya karibu lakini lazima awe na skill zakubadilisha mfumo wa usimamizi wa taasisi.

Kama sector aiendelei na hakuna mabadiliko yoyote then you find someone with creativity track record and so on. Lakini cha muhimu kwanza nikujua what is the problem and you find someone with matching skills, some senior MDs are just selected becuase they are good at motivating staffs which makes proffesionals deliver (the late steve jobs alikuwa ajui lolote kuhusu computer).

Sasa huyu bwana ana elimu ya Phd je kuna maandishi gani ambayo tunaweza sema anajua changamoto za auditing Tanzania na jinsi ya kuziba maswala ya tender za upendeleo, ubadhirifu kupitia non existence employees, ana wasaidia vipi serikari kuhakikisha hela zawalimu azichakachuliwi kabla ya kufikia walimu, mfumo bora wa malipo na kupunguza levels or government bureaucracy etc to do with challenges maana wakati mwengine matatizo yanaweza kuwa wazi lakini the leaders do not posses the necessary skills to eliminate them.

Ndio maana kuna team za watu wengi sana kuhakikisha mteuliwa ana match challenges za sector sio elimu tu ndio iwe kigezo, maana mara nyingi sector zinakuwa zimejaa wataalamu tayari kwa hivyo kiongozi lazima awe mtu ambae anaweza saidia kulipeleka mbele ndio sababu skills zinazoendana na changamoto ni swala la lazima.

Hata huyo Winston Churchill akuchaguliwa kuwa Prime Minister kwa sababu ya akili zake nyingi, bali vita vilikuwa njiani na mtu ambae alikuwa keshakuwa na misuko misuko mingi ya kijasusi, patriot, charismatic leader and influential akaonekana ni mtu ambae anafaa kipindi cha vita kwa sababu anazo skills zinazohitajika to lead at that moment. Baada ya vita kukawa na matatizo ya ki uchumi despite his heroism but he wasn't fit for the new challenges akatemwa.

Hivi "experience" ya kazi huwa inapatikana wapi? Darasani? Barabarani?
Kazini; lakini inategemea na ukubwa wa majukumu unayo kabidhiwa some position do not need trial. Mimi binafsi nilimtetea Mkuya alipoteuliwa ingawa wengi walisema hana qualification hila experience ya kazi za wizara zilikuwepo hivyo anaweza jua nani anafaa wapi kumsaidia kazi zake. Lakini mtu ambae hajawahi fanya kazi kabisa halafu kuanza na majukumu makubwa sijui lakini nadhani ni gambling.
 
Hongera Prof. Assad..

Fanya kazi achana na wenye wivu, chuki etc..

Tenda haki kwa mujibu wa sheria za nchi na dini yako

All in all cheo ni dhamana duniani na ahera.
 
Sijawahi kuona hapa JF siku yoyote ambayo uteuzi unapomhusu Assad, Juma, Ramadhani kutokulalamikiwa.
Hii inaashiria nini?
Ni kuwa hawa hawana haki ya kuteuliwa?
Hawana elimu?
au hawastahiki kuteuliwa?

Hao wengine wa majina ya Chenge, Muhongo, Kologoto, Werema na Jonas wamefanya nini cha maana zaidi ya ufisadi tu?
Hivi Dr. Hosea ameshawaadabisha wangapi katika hao mafisadi?

Mtaipeleka nchi pabaya. Fanyeni kuitekenya tekenya tu.

Ukiona mtu yoyote anahoji uteuzi kwa vigezo vya dini basi huyo ni mdini, na hatufai. Assad angekuwa hana sifa tungehoji lakini hatupaswi kuhoji dini yake, kwani umesikia CAG ni mkaguzi wa sadaka kanisani?
 
Ukisoma wasifu wa huyo Proffesor hakuna pahala popote panapo onyesha ana managment skills zaidi ya kuwa kwenye ma-body ya uhasibu wakati management experience is a very useful skill given the position.

Na ukute ajawahi kukosoa wala kuandika chochote kwenye maandishi yake kuhusu kuboresha mfumo wa kufanya uhasibu ndani ya Tanzania. Sasa huyu na watu waliokuwa karibu na out-going CAG head yupi mwenye experience na kazi? yupi anajua changamoto za kuboresha sector kwa sasa?

Kisa mtu Proffesor ndio tunaruhusu watu wajifunze utaratibu wa organization practices wakiwa kazini; wenzetu wanapomtoa mtu 'Condoleeza Rice' kutoka Stanford university na kumpa nafasi ya secretary of state its because the lady has lectured extensively and wrote score of articles in american foreign policy and probably had been serving as an advisor for some time. Msimamo wake kuhusu maswala ya foreign policy and american position ndio washauri wa raisi wanaona huyu mtu anafaa. Well labda pengine na uwezo wake wa kutetea hoja za kile anachoamini ili kukidhi matakwa ya siasa pia just the nature of the business sometimes people have different viewpoints.

Sasa huyu bwana kafanya lipi kwenye maswala ya national auditing extra ambacho wasaidizi wa Utoh wangeshindwa hili kuboresha sector? Kwa utaratibu huu itakuwa vigumu sana kuboresha taasisi za serikari. Sioni tatizo na wasomi kupewa nafasi za public office lakini wateuliwe basi kwa evidence on what they bring on the team sio elimu yao tu that is the only logic kwa sasa. Vinginevyo some regional manager who has been working in the sector for ten years with an ACCA knows more of the institution and its challenges in relation to improve efficiency than the current elected Professor.

Just thinking aloud.

Myopic mind sees shorter distance
 
Just thinking out aloud,

Je unajua Utouh pia alikuwa mwalimu pale IFM akifundisha na walisomeshwa na utouh wanakuambia walikuwa hawamwelewi na mbona leo mnafagilia kuwa ni mkaguzi mzuri wa mahesabu? Kabla hajateuliwa hebu tupe machapisho yake extensively aliyoandika kuhusu sekta ya uhasibu au kwavile sasa ameteuliwa mwislamu ndio unaanza kuchokonoa wasifu wa Professor Assad? Nikikuuliza kipi cha maana alichokifanya utouh pale National Audit Office unaweza kuniambia? Managerial skills gani alizo nazo utouh ambazo zina tofautiana na Assad?

Acheni udini wenu nyie endeleeni kuchokonoa tu mtakuja kulamba matapishi yenu siku ikifika mnaona kinachoendelea Kenya na Central Africa ni kutokana na haya haya kuwafanya watu wengine wawe second class citizen katika nchi yao wenyewe na matokeo yake ni kunaibuka wendawazimu na mwisho wa siku hali inakuwa mbaya .

Mwacheni Assad afanye kazi na nyie fanyeni kazi kwa maendeleo ya familia zenu. Tuachane na hizi tabia za udini tutaishia kuwa kama Kenya au Afrika ya kati.
 
Back
Top Bottom