Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

naona ameona amtoe kwenye maisha ya mtaani aje agombee uraisi.... japo mwanae alisema raisi hawezi toka kaskazini.... naona mzee anajitaidi kweli kuwapa ulaji watu wa dini yake kama kawa!
 
tunaendelea kunywa mvinyo wetu uleule,hivi hatuna wasomi wapya wenye uwezo wa kuteuliwa badala ya sura na majina yaleyale
 
:sing::sing::sing:naona ameona amtoe kwenye maisha ya mtaani aje agombee uraisi.... japo mwanae alisema raisi hawezi toka kaskazini.... naona mzee anajitaidi kweli kuwapa ulaji watu wa dini yake kama kawa!
 
Asha ROSE MIGIRO TENA, jamani TZ au CCM hukuna watu wengine kabisa, Kinana alijihudhuru nyadhifa zote ndani ya CCM ghafla ndo katibu Mkuu, CCM kuna nini??? Vijana tutakuwa lini viongozi hii recycling kubwa hivi???
 
Semeni mteule wa jk huyooooo! Lowasa ushapata mpinzani

Mtu amefeli UN akafukuzwa leo amekuwa lulu ya chama tawala na jamhuri inajiandaa kumuweka awe rais? Michezo ileile iliyotokea kwenye uspika ndio inajirudia kwenye urais 2015

Dr Slaa njia ya Ikulu ni nyeupe kwako ikiwa chama kitakupa nafasi ya kugombea
Unashangaa mtu kufeli UN haushangai mtu kufeli upadri.
 
Mnaosema Migiro alikuwa under-performer UN mnao ushahidi?? kama upo wekeni hapa coz hatujasikia allegations kama hizo kumhusu yeye..

Au ndo yale ya "wivu wa kike" ??
Unajua watu wengine wamezoea vijiwe vya kahawa humu wako kwa bahati mbaya tu.
 
alishajiharibia kwa kujiingiza kwenye siasa za maji taka kuzunguka mikoani na Kinana
angekaa UDSM angekua na hadhi zaidi
nakumbuka alisema anarudi kufundisha matokeo yake tukamwona mitaani akizunguka
kama alishindwa kusimamia kauli yake ataweza kuongoza wizara au urais kama mnavofikiria?
 
Nimekubali baraza la mawaziri litavunjwa na huyu mama namtabiria kukwaa uwaziri muhimu hasa wa Elimu. Na pia namtabilia cheo kikubwa 2015.
 
Rais Kikwete amemteua Dr Asha-rose Mtengeti Migiro kuwa mbunge wa bunge la Tanzania kuanzia jana Jumatatu.

Uteuzi umetangazwa rasmi jioni hii Ikulu ya Dar es salaam
ametemwa UN halafu wa TZ wanaona jembe.Hana lolote huyo.wanataka aongeze idadi kwenye bunge maalumu la katiba
 
ukisha ona hivyo basi ujue baraza la mawaziri muda wowote linavunjwa ili mama achukue nafasi ya uwaziri
 
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea

Tanzania eeh,nchi yangu eeeh....kwa style hii kweli maendeleo yatachelewa.
 
Back
Top Bottom