Rais Kikwete akutana na Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
kikwete-kalonzo.jpg

Rais Jakaya Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais Mwai Kibaki wa Kenya uliowasilishwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam

kikwete-kalonzo2.jpg

kikwete-kalonzo3.jpg

Rais Jakaya Kikwete katika maongezi na ujumbe wa kenya unaoongozwa na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Mh Kalonzo Musyoka

mfalme-nabongo-kikwete.jpg

Rais Jakaya Kikwete akitambulishwa kwa Mfalme Peter Nabongo Mumia wa ukoo wa Wanga wa Magharibi mwa Kenya wakati Makamu wa Rais wa Kenya Mh. Kalonzo Musyoka alipomtembelea leo Desemba 10, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam

kikwete-kalonzo4.jpg

kikwete-kalonzo5.jpg

Rais Jakaya Kikwete akiulaki ujumbe wa Kenya
 
Wamekuja kuomba akubali Ardhi ya Tanzania iingizwe kwenye EAC, Sijui wamemletea ile zawadi yake anayoipenda ya Suti ili akubali ardhi yetu tugawane na Wakenya.

Mimi wala sina imani nao magamba, ni vigeugeu wanaweza hata kubadili msimamo
 
Msimamo wao huelewekiwako kama kinyonga, mara blue, green, kahawia hawatabiliki!!!!!!!!
 
kichwa kinaumaaa..! kama nchi imeuzwa kwanini hatupewi chetu tutambaee..?
 
Back
Top Bottom