Rais Kikwete akubaliana na kauli ya Lowassa kuhusu tatizo la ajira kwa vijana!

MKWECHE

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
299
64
Hatime sauti ya mtu aliye nyikani Mbunge wa Monduli kuhusu tatizo la vijana imesikika kwa Rais wetu Kikwete.

Akiwa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za maziwa makuu Rais Mh.Dr.Kikwete amekiri kwa wenzake kuwa tatizo la ajira kwa vijana ni kubwa na linatakiwa kufanyiwa kazi Haraka lisije leta madhara siku za usoni.

Mie Mwa-Mkweche nasema hivi mchango mkubwa katika kutatua hili jambo Mh.Lowassa aliongea sana kupindi kile TBC,Cha ajabu lile tabaka la ma-simple mind likaja juu eti lowassa anapendelewa na TBC.

MKWECHE Nafungunga''Nchi yoyote ambayo itabeza na Kuacha kuzikiliza na kufanyia kazi Maoni ya wanasiasa Wakongwe Itayumba'
 
Saturday December 17, 2011
Local News
Idle youths increase in Africa

12_11_qxm5p8.jpg
President Jakaya Kikwete

From DEOGRATIUS MUSHI in Kampala, 16th December 2011 @ 12:18, Total Comments: 0, Hits: 130

UNEMPLOYMENT among youths in Africa poses a serious threat to the well-being of societies and the growing challenge demands incisive intervention by leaders in the continent, President Jakaya Kikwete has said.

Taking part in a roundtable discussion during the International Conference on the Great Lakes Summit (ICGLR) here, President Kikwete said that each African nation produces an 'army' of unemployed youths every year as they complete their studies at different levels of education.

During the discussion, the problem of unemployment among the youth featured high, prompting intervention by President Kikwete who came up with proposals to lessen the problem.

"Unemployment is an undeniable challenge in the continent and we as leaders have the responsibility to take the situation seriously. We must seek a lasting solution to this perennial problem," said President Kikwete amidst applause.

Clarifying on the seriousness of the problem, President Kikwete underlined the need for regional leaders to come together for discussions on the most effective ways to redress the situation instead of waiting for two years before the matter was brought at the table.

He insisted that youths leaving schools and colleges should not be left alone to continue suffering from the consequences of unemployment. "Unemployment is not their fault," he said.

The next meeting is scheduled for Bangui, the capital of the Central African Republic CAR) but President Kikwete suggested immediate intervention before it is too late.

In response to President Kikwete's suggestion, ICGLR Heads of state resolved to instruct their labour ministers to convene urgently and present proposals to their respective governments within six months to help ease the problem of unemployment.

The Heads of State from ICGLR countries are meeting to discuss among other things, how to end gender violence in the region.

The social ill has affected member countries seriously, especially in the eastern part of the Democratic Republic of Congo (DRC).

The two-day meeting at Munyonyo Commonwealth Resort on the outskirts of Kampala is being attended by high level dignitaries, including Heads of State from the Great Lakes region and central Africa.

Six Heads of State are attending this year's summit. They include President Kikwete, President Yoweri Museveni of Uganda who is the host and President Michael Sata of Zambia whose tenure of office as ICGLR chair ended this week.

Others in attendance are President Mwai Kibaki of Kenya, President Pierre Nkurunziza of Burundi and President Francois Bozize of Central Africa Republic (CAR).

Other represented ICGLR member states include the Democratic Republic of Congo (DRC), Congo Brazzaville, Rwanda, Angola and Sudan.

Meanwhile, the forum agreed that all perpetrators of sexual and gender-based violence in the Great Lakes region would from now on be prosecuted and punished.

Moving the vote of thanks at the International Conference on the Great Lakes Region summit here on Friday, President Jakaya Kikwete said the region had adopted zero tolerance against people netted in sexual gender-based violence.

"Their days are numbered. Each country is going to re-enforce sexual gender by-laws and regulations. Perpetrators will be punished heavily," he said.

President Kikwete also said that the leaders have resolved to fighting negative forces in the region in order to stabilize security and eventually make the region more peaceful.

The leaders have jointly resolved to fight piracy, Al Shabaab operatives and the negative forces like the Lord Resistance Army in northern Uganda.

Closing the meeting, Ugandan President Yoweri Museveni said that the Great Lakes Region should strive for lasting peace in order to allow people to engage fully in economic activities.

"Development is sustainable only if there is peace. We also need infrastructure development like roads and railways," said President Museveni.

He invited the development partners to team up with leaders in the region to brainstorm on strategies to improve infrastructure in the Great Lakes Region.

President Museveni also said that education was vital in development. He gave the example of how scientists in Uganda have developed an electronic car, which will soon go on sale. The meeting ended on Friday.
 
ni kwa masilahi ya Watanzania wote,kama tatizo lipo ni haki ya mtu yeyote kutolea maelezo big up Kikwete na Lowasa
 
Hatime sauti ya mtu aliye nyikani Mbunge wa Monduli kuhusu tatizo la vijana imesikika kwa Rais wetu Kikwete!
Akiwa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za maziwa makuu Rais Mh.Dr.Kikwete amekiri kwa wenzake kuwa tatizo la ajira kwa vijana
ni kubwa na linatakiwa kufanyiwa kazi Haraka lisije leta madhara siku za usoni!
Mie Mwa-Mkweche nasema hivi mchango mkubwa katika kutatua hili jambo Mh.Lowassa aliongea sana kupindi kile TBC,Cha ajabu lile tabaka la ma-simple mind likaja juu eti lowassa anapendelewa na TBC!
MKWECHE Nafungunga''Nchi yoyote ambayo itabeza na Kuacha kuzikiliza na kufanyia kazi Maoni ya wanasiasa Wakongwe Itayumba'

Huu ni upumbavu mtupu, tatizo la ajira kwa vijana kuwa ni time bomb ni jambo linalojulikana na kila mtu. Hata enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anazungumzia hili. Na CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuzungumzia hili na wamekuwa wakiungwa mkono na vijana wengi. It doesnt take a rocket scientist to know that.

Ni obvious huyo Lowassa wenu, si mtu wa kwanza kuzungumzia suala hili. Huu upuuzi unaletwa na mamluki wa Lowassa waliomwagwa humu JF kujaribu BILA MAFANIKIO kumsafisha fisadi huyu. Hizo zaidi ya shilingi bilioni 100 amazo Richmond yake inalipwa kwa njia za kifisadi ingeweza kutengeneza ajira za maelfu ya vijana Tanzania.

Edward Lowassa ni fisadi tu na unafiki, kumwaga mamluki JF na kununua waandishi wa habari Tanzania kamwe hakutaweza kumsafisha. Ufisadi ni msalaba ambao Lowassa ataubeba mpaka kaburini kwa kujitakia yeye mwenyewe kutokana na kupenda kwake mali za ubadhirifu.
 
Mbona tatizo la ajira linaonekana wazi c lzm lowasa aseme hata hao wakubwa ulaya na marekani wanaliona haliitaji tochi
 
Eee jamani wana jf sifa yenu ni kuwa mna fikra nzuri za kuchambua hoja na kuchangia.Lowasa kama katuma watu humu wa kumpamba basi tukubaliane kitu kimoja hata hao wanaomkashifu LOWASA nao wametumwa hapo tutaelewana.lakini kujinasibu nyinyi ni wajuzi wa kuona mabaya ya wenzunu huo si umahiri wa weledi uliotukuka katika kujenga hoja.ELEZEENI UDHAIFU WAKE NA UWEZO WAKE.LOWASA NI KIONGOZI MWENYE MAONO NA UWEZO WA KUAMUA MAAMUZI MAGUMU YANAYO HUSU MUSTAKBARI WA NCHI YETU.
 
Hatime sauti ya mtu aliye nyikani Mbunge wa Monduli kuhusu tatizo la vijana imesikika kwa Rais wetu Kikwete!
Akiwa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za maziwa makuu Rais Mh.Dr.Kikwete amekiri kwa wenzake kuwa tatizo la ajira kwa vijana
ni kubwa na linatakiwa kufanyiwa kazi Haraka lisije leta madhara siku za usoni!
Mie Mwa-Mkweche nasema hivi mchango mkubwa katika kutatua hili jambo Mh.Lowassa aliongea sana kupindi kile TBC,Cha ajabu lile tabaka la ma-simple mind likaja juu eti lowassa anapendelewa na TBC!
MKWECHE Nafungunga''Nchi yoyote ambayo itabeza na Kuacha kuzikiliza na kufanyia kazi Maoni ya wanasiasa Wakongwe Itayumba'

We Mkweche, unaishi wapi wewe? Hivi hujui walioanza kupigia kelele matatizo ya watanzania na la ajira kwa vijana likiwemo ni CDM? Muulize EL yeye kaajiri wangapi kwenye makampuni yake kama si nduguze na mashemeji zake (hadi nyumba ndogo)?

Kwa nini alipokuwa waziri mkuu alikuwa busy tu na madili hakukumbuka hili la ajira kwa vijana?

Tatizo la vijana ndiyo ni jeshi jipya.

Je, yeye keshafanya kitu gani kukabiliana na hili tatizo. Ndo yale yale kukerwa, kutishia, kulialia na kupiga kelele, at the end of the day una recycle old foxes as if vijana hawapo. I hope anategemea miujiza itatokea kwa MUNGU kwa Taifa kuombewa.

No wonder taifa linaombewa ili mvua zinyeshe. Hili nalo wana dini walifanyie maombi ya nguvu na kufunga otherwise MUNGU hatasikia kelele zao.
 
Huu ni upumbavu mtupu, tatizo la ajira kwa vijana kuwa ni time bomb ni jambo linalojulikana na kila mtu. Hata enzi za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa anazungumzia hili. Na CHADEMA wamekuwa mstari wa mbele kuzungumzia hili na wamekuwa wakiungwa mkono na vijana wengi. It doesnt take a rocket scientist to know that.

Ni obvious huyo Lowassa wenu, si mtu wa kwanza kuzungumzia suala hili. Huu upuuzi unaletwa na mamluki wa Lowassa waliomwagwa humu JF kujaribu BILA MAFANIKIO kumsafisha fisadi huyu. Hizo zaidi ya shilingi bilioni 100 amazo Richmond yake inalipwa kwa njia za kifisadi ingeweza kutengeneza ajira za maelfu ya vijana Tanzania.

Edward Lowassa ni fisadi tu na unafiki, kumwaga mamluki JF na kununua waandishi wa habari Tanzania kamwe hakutaweza kumsafisha. Ufisadi ni msalaba ambao Lowassa ataubeba mpaka kaburini kwa kujitakia yeye mwenyewe kutokana na kupenda kwake mali za ubadhirifu.

We Ka-fareed Unikome Kabisa mimi mkweche na kauli zako za Maliwato!Hatupo Ujingani hapa,Unajidai unajua kumbe umechoka kama ulanzi wa Juzi,Lowasa kamwaga mamluki alikwambia nani mkweche mamluki!Tuliza akili achana Masaburi kufikiri,Mie Lowasa sijawahi hata kumuana uso kwa uso walasitegemei kukutana nae ila nimemfatilia tangu zamani kama wanasiasa wengine na bado namwami ni kiongozi bora na hakuna anaemfikia mpaka sasa!
Usinipangie kueleza mtazamo wangu!Swala la kumsafisha kwani mimi maji!wewe nani anakusafisha wakati nawe ni mchafu kama kaniki!
 
Nampinga na simpendi lowasa kwa kuliingiza taifa katika janga la kirichmond- dowans. Lakini tujiulize, hivi lowasa ndo alikuwa na maamuzi juu ya hili suala peke yake? Rais naye si alihusika, makatibu wakuu nao si walihusika? Kila mmoja kwa namna yake.
Je kutokana na kosa hilo lowasa hana haki ya kuchangia juu ya masuala yahusuyo mustakabali wa taifa hili? Eti tu kwa sababu alituhumiwa au kuhusika na ubadhilifu? Hivi mkeo au mume akituhumiwa kuwa ameiba, utamuacha? Au akisababisha ajali itakayouwa watu wengi na kisha yeye kukimbia utaachana naye?
Wanajamvi haya ni maoni yangu binafsi:
Kwa kuwa mkweli, na kwa kutopenda majungu, kwa kutofumbia macho wezi, kwa kuchukua maamuzi magumu...... Huenda lowasa akigombea urais nafsi yangu yaweza badilika na kumchagua hata kama ana mapungufu tuloyataja.
Hivi ni nani humu jamvini na ajitokeze aseme hajawahi kutumia nafasi yake vibaya akiwa ofisini, nyumbani hata kanisani au msikitini?
Wanajamvi katika hili mchawi wetu ni kikwete tu, huko kwingine tunazunguka mbuyu.
Kukosolewa ni sehemu ya kujifunza.............nawasilisha.
 
We Mkweche, unaishi wapi wewe? Hivi hujui walioanza kupigia kelele matatizo ya watanzania na la ajira kwa vijana likiwemo ni CDM? Muulize EL yeye kaajiri wangapi kwenye makampuni yake kama si nduguze na mashemeji zake (hadi nyumba ndogo)?

Kwa nini alipokuwa waziri mkuu alikuwa busy tu na madili hakukumbuka hili la ajira kwa vijana?

wanachama wachache wa cdm mnatuaibisha sana yani kila kitu cdm, kwenye ukweli tukubali kwani wakati mwingine mnashusha heshima ya chama kwa kutetea ujinga kama wewe.funguka bwana acha ushamba.
 
Hatime sauti ya mtu aliye nyikani Mbunge wa Monduli kuhusu tatizo la vijana imesikika kwa Rais wetu Kikwete!
Akiwa kwenye kikao cha viongozi wa nchi za maziwa makuu Rais Mh.Dr.Kikwete amekiri kwa wenzake kuwa tatizo la ajira kwa vijana
ni kubwa na linatakiwa kufanyiwa kazi Haraka lisije leta madhara siku za usoni!
Mie Mwa-Mkweche nasema hivi mchango mkubwa katika kutatua hili jambo Mh.Lowassa aliongea sana kupindi kile TBC,Cha ajabu lile tabaka la ma-simple mind likaja juu eti lowassa anapendelewa na TBC!
MKWECHE Nafungunga''Nchi yoyote ambayo itabeza na Kuacha kuzikiliza na kufanyia kazi Maoni ya wanasiasa Wakongwe Itayumba'
Msikilize vizuri huyo rais wako Kikwete, anazungumzia tatizo la ajira Afrika... hiyo ni tofauti kabisa na Tanzania... na ana maana yake kyufanya hivyo, si kama hajui kuwa tatizo hilo lipo pia Tanzania
 
wanachama wachache wa cdm mnatuaibisha sana yani kila kitu cdm, kwenye ukweli tukubali kwani wakati mwingine mnashusha heshima ya chama kwa kutetea ujinga kama wewe.funguka bwana acha ushamba.
Waeleze!Tatizo la Sisi Watanzania ni Kung'ang'a hoja Mfu!Tunaimba na richmond wakati mpaka dakika hii richmond-symbion ndi wanategemewa kuzalisha umeme na umeme wao twautumia Grid ya Taifa ni kupoteza muda!
Tuumize vichwa na maSWALA!Huduma za Afya zinaanguka,hata dripu shida mahospitalini!Shilingi inaporomoka kila siku,bei za bidhaa na huduma juu,Mahalmashauri kila siku yanalalamikiwa ufujaji,CAG anasema vingine kamati ya Bunge vingine kwa sakata moja!na mambo chungu nzima twakaa kimya!Tukusikia Lowassa hadi mishipa ya shingo inakakamaa!
Kamwe hatutopiga hatua!
Kazi mkweche mamliki,pandikizi nk!
Nana anawezanunua mkweche!?
 
Back
Top Bottom