Umesahau na vicheko vyake vya hapa na pale......naamini atajichekesha sana atakapozungumzia uchaguzi
Atazungumzia matibabu yake y tezi dume na kushukuru kwa pole zenu na tena atataja hadi idadi ya sms alizopokea
Kesi ya nyani kapelekewa ngedere unataraji nini hapo?
Use commonsense bro.
Atazungumzia matibabu yake y tezi dume na kushukuru kwa pole zenu na tena atataja hadi idadi ya sms alizopokea
Haya ni miongoni mwa maneno ambayo ni lazima jk akiwa anacheza na akili za watu hupenda kuyatumia sambamba na vicheko, "Watu wanasema, nimeambiwa, nasikia, inasemekana"
mkuu amesharudi zaman sanaHivi naibu spika kasharudi?
Swadakta kabisa mkuu Skype...naamini maamuzi ya bunge hatayatekeleza kwa kuhofia kesi iliyofunguliwa jana mahakamani na IPTL...
.na atasema hivyo huku anacheka cheka.
mkuu TataMadiba kakuumbua, umejifanya ku-preempty hotuba ya Rais ila kwa mtu aliyefuatilia sakata la ESCROW hapana shaka vyombo vya habari, wahisani, wanaharakati na makundi mengine yamelipotosha sana.Rais hawezi kuacha kuyagusia kwa sababu ndiyo uhalisia wenyewe
Nyerereee alikuwa sahihi watu wengine hawakufaa kuwa marais not everybody can do it
Hata mjibarague vipi, jumatatu lazima JK awapige tu, nchi haiwezi kuendeshwa kwa majungu na fitinaAise wewe ndo umemtabiri kwa usahihi zaidi. Halafu aliambiwa ajipumzishe kwa miezi mingapi ili kupona yale matezi yake?
Halafu ndiyo mnataka mzee wa MICHEPUKO(SLAA ) awe rais?Nyerereee alikuwa sahihi watu wengine hawakufaa kuwa marais not everybody can do it