Rais Kagame ampongeza Rais Mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta

Wanstechnical

JF-Expert Member
Feb 5, 2014
266
223
Akitumia ukurasa wake wa twitter Raisi wa Rwanda ambaye hivi majuzi amepata ridhaa ya kuiongoza Rwanda kwa mara nyingine, amempa pongezi raisi wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuchaguliwa tena kuiongoza nchi ya Kenya baada ya kumgaragaza mpinzani wake Raila Odinga kwa kura 8mill dhidi ya 6mill.
05708c33e7eec8cbca082d69f3a3a7f6.jpg
 
Ebu acheni kumsakama Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa vitu vya kipuuzi.


Ccm oyeeeeeee

Post hii imeandikwa kwa niaba ya Cocochanel

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom