Huyu Kattanga ni m-TZ kweli??? au m-DRC???
JK ataliangamiza taifa letu kwa udini. Shame on him JKilaza!
Mtanzania haswa,Ila kwa nini mchapa kazi huyu ahamishwe hamishwe? Kwa nini asikae sehemu moja kwa muda mrefu ili aweze kuboresha? Mfano amekaa kinondoni miaka 3 pekee
Nami nimeshangaa sana kusikia Rajab Kiravu ni msabato!ule usanii wote ule na wizi ,udanganyifu kweli ukiwa sirikalini lolote lawezekana!
JK anampenda sana kattanga..alianza kama mkurugenzi manispaa ya kinondoni ..amepanda kwa kasi sana kwenye system
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
badala ya kumoderate kwahiyo ni jino kwa jino. hizo agenda za siri za uteuzi wa hawa watu ndizo zinazowatia shaka watu. inawezekana jk asiwateue kwa udini, yeye anawateua ili kujihakikishia ngome imara yake mwenyewe. adhawaizi this is a shortliving strategyTeh teh inauma eh? sasa ndio na wewe ujisikie yale machungu ambayo wenzako tumekuwa tukiyasikia tokea enzi za Nyerere!
Big up Jey Key!
Ni kweli mbinga anafahamika zaidi kwani ndiko alikoibukia jamaa ki ukweli ni mchapakazi sana alikuja pale kama mhasibu msaidizi akapanda ngazi hadi akawa mkurugenzi wa halmashauri then akahamishiwa kinondoni baadae akateuliwa kuwa RAS singida then morogoro baadae akateuliwa kuwa naibu katibu mkuu wa wizara (nimeisahau)na baadae ndo akaenda TAMISEMI. kifupi jamaa ni jembe...bt ttz langu ni kupelekwa idara ya mahakama wakati jamaa professionally ni mhasibuMbinga mbona mbali alikua mkurugenzi wa halmashauriya kinondoni,alipambana sana na genge la kina londa na mdogo wake Regina lowassa,baada lowassa akapendekeza aondolewe pale,akapelekwa kuwa RAS sijui mkoa gani nimesahau