Rais Jakaya Kikwete amekiri Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu

amilyroley

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
621
1,199
Akiongea Jana pale Zanzibar kwenye uzinduzi wa kampeni za Mh Dr Shein, Raid JK aliwaambia wazi wanachama wa CCM kuwa uchaguzi wa mwaka huu ni shida. JK ameliona wazi hilo na ni vizuri kuwaambia ukweli wanachama na si kuwadanganya kuwa ushindi upo. Mwaka huu ni mgumu kwa CCM na inahitajika miujiza ya Mussa na Haroun ili CCM kushinda
 
Alionekana kukata tamaa kabisa akasema inabidi iwe MAN TO MAN ili kupata kura.Nadhani kishajua kuwa watanzania hawanunuliki safari hii,watakula pesa na bado wasiipe kura ccm
 
Ameamua kuwaandaa kisaikolojia wanaccm wenzake ili wayapokee matokeo yatakapotoka ambapo most likely CCM inaelekea kuanguka kwenye uchaguzi huo wa mwaka huu ili CCM wasifikirie kufunga goli la mkono kwa kutaka 'kuyapindua' matokeo hayo kama chama chao kinavyojitambulisha kuwa ni Chama cha Mapinduzi, ili nchi iepuke kuingia kwenye machafuko.
 
Pia wanawake wazitafuta hadi vitandani . Makamanda anzeni kutembea na ndomu kwani mbali na pesa papuchi mwaka huu nje nje.
 
jk always yuko muwazi..
japo ni mgumu lakini uwezekano wa kushinda ni mkubwa tu....
 
Mwenye chama tumbo joto lakini ukiwasikiliza washabiki maandazi wa JF wanakuambia ccm mbele kwa mbele. Ushabiki kitu cha ajabu kweli, timu yaweza kuwa imeshafungwa goli tano na mpira bado dakika mbili lakini shabiki anaweza kudhani watasawazisha.
 
Ni uwenda wazimu kama unaweza fikiri CCM inashinda kirahisi mwaka huu. Umma wa watanzania umeshaamua utawazuia kwa kuiba kura? Unapoiba nani ajuae kama ndo mwanzo wa taifa kuangamia?

MAAMUZI YOYOTE YA DOLA KUHUJUMU UCHAGUZI MWAKA HUU LAZIMA YAFANYIKE KWA MAKINI LA SIVYO INAWEZA KULETA HALI AMBAYO KILA MTU ATAJUTA KWA NINI WAMEFANYA HIVYO.

CHONDE CHONDE HAKI ICHUKUE MKONDO WAKE NA MAAMUZI YA WATANZANIA YAHESHIMIWE NA WATU WOTE
NARUDIA TENA: NI HATARI KWA CHOMBO CHOCHO KUHUJUMU MAAMUZI YA WANANCHI
 
Jk Yuko Smart Sana Yaani Anajua Wazi Akili Ya Kuambiwa Akichanganya Na Zake Anakwenda Msoga Kupumzika Nchi Ikiwa Salama Mikononi Mwa Ukawa
 
Alionekana kukata tamaa kabisa akasema inabidi iwe MAN TO MAN ili kupata kura.Nadhani kishajua kuwa watanzania hawanunuliki safari hii,watakula pesa na bado wasiipe kura ccm
Man to man haiwekani, UKAWA wanane kwa CCM wawili. UKAWA wanacheza show game tu ushindi tayari.
 
mwanzo jk alijua ni photo shop sasa kaona mwenyewe ila amechelewa huu ni muda wa mabadiliko

jk tangu mwaka uanze anawatahadharisha ccm,hata kabla lowasa hajawa ukawa...
always yeye hafichi kueleza hali halisi lakini haina maana kuwa ukawa watashinda.....
 
Jk Yuko Smart Sana Yaani Anajua Wazi Akili Ya Kuambiwa Akichanganya Na Zake Anakwenda Msoga Kupumzika Nchi Ikiwa Salama Mikononi Mwa Ukawa

kama inatokea ukawa wanashinda,nchi ionakuwa salama tu kwa vile inakuwa bado iko mikononi mwa wanaccm akina lowasa...

lakini eti ukabidhi nchi kwa kina sugu,lema etc,,,,itakuwa sio nchi bali vituko........
 
Hatimaye na wewe umekubali, basi mabadiliko ni wazi kuwa ni ya lazima
 
Kuna haramia mmoja alikuwa anaongea kwa panic jana eti kwa sababu watu walimchana ukweli kuhusu ndovu.
 
Tafsiri rahisi ya kueleweka lowassa siyo ccm/wala chadema bali ni MWANAMAGEUZI YA KWELI ukawa hoyeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom