kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,713
- 11,274
Wanafunga midomo tu. Wakitoka humo ni balaa.wakatoliki hatufumbi macho tunaposali
Wanafunga midomo tu. Wakitoka humo ni balaa.wakatoliki hatufumbi macho tunaposali
Hata yy ni galatia kasilimu kumfuata mkewe.
Sorry, hicho cheusi kama sanamu nyuma yake kwenye ukuta ni Mungu wao nini kaja kusikiliza maombi yao??????
Kassim Majaliwa ni muislam au ni mkristu?
aatTumekupata Kijana Wa Usalama Wa Taifa. Kuna Mtu Kaniuliza Hapa Eti Hapo Huwa Anakuwa Yupo Tu Peke Yake Huyo Jamaa au? Ni Matumaini Yangu Utanijibu Ili Nami Hapa Nilipo Niweze Kumjibu Nikitambua Kuwa Na Wewe Hiyo Ndiyo FIELD Yako ULIYOTUKUKA Nayo.
Tumekupata Kijana Wa Usalama Wa Taifa. Kuna Mtu Kaniuliza Hapa Eti Hapo Huwa Anakuwa Yupo Tu Peke Yake Huyo Jamaa au? Ni Matumaini Yangu Utanijibu Ili Nami Hapa Nilipo Niweze Kumjibu Nikitambua Kuwa Na Wewe Hiyo Ndiyo FIELD Yako ULIYOTUKUKA Nayo.
Majina ya kusini hayako kidini zaidi wapo kina Richard Mohamed
Teh teh teh teh.Sorry, hicho cheusi kama sanamu nyuma yake kwenye ukuta ni Mungu wao nini kaja kusikiliza maombi yao??????
Ni optional kufumba au kuyaacha, la msingi concentrationHivi wakatoliki hufumba macho au hu-bow vichwa?
hakuna helaHivi Magu leo kalisha vituo vingapi vya yatima?