Rais Dkt. Mwinyi avuka malengo ya ilani ya CCM

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
741
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya nane madarasa 2,273 sawa na asilimia 150 ya malengo ya ilani ya CCM kwa ujenzi wa Skuli mpya Unguja na Pemba hivyo kuvuka malengo ya Ilani ya CCM 2020-2025 iliyoelekeza kujengwa madarasa 1,500 ya Msingi na Sekondari Unguja na Pemba kwa miaka mitano.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Utaani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe: 04 Januari, 2024 katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema ni matumaini yake uwekezaji unaoendelea kufanywa na Serikali kuimarisha miundombinu katika sekta ya elimu utachochea zaidi ufaulu wa wanafunzi.

Kwa upande mwingine Rais amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa Skuli hiyo Benchmark na Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) kumaliza ujenzi wa Skuli ya Utaani mwezi Machi mwaka huu na atafika kufungua baada ya kukamilika.

Naye, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa amempongeza Rais Dk. Mwinyi kwa kuvuka malengo ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 katika sekta ya elimu nchini.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amelitaka Shirika la Biashara Zanzibar (ZSTC) kuagiza chakula nje kukabiliana na kupanda kwa bidhaa nchini, Serikali italiwezesha shirika hilo kifedha kuagiza chakula nje kuleta ushindani na Wafanyabiashara binafsi kuhakikisha wananchi wanapata chakula kwa bei nafuu kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
IMG-20240104-WA0194.jpg
IMG-20240104-WA0191.jpg
IMG-20240104-WA0193.jpg
IMG-20240104-WA0182.jpg
IMG-20240104-WA0184.jpg
IMG-20240104-WA0189.jpg
IMG-20240104-WA0183.jpg
IMG-20240104-WA0186.jpg
IMG-20240104-WA0187.jpg
IMG-20240104-WA0185.jpg
IMG-20240104-WA0190.jpg
IMG-20240104-WA0188.jpg
IMG-20240104-WA0192.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240104-WA0183.jpg
    IMG-20240104-WA0183.jpg
    67.3 KB · Views: 4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya nane madarasa 2,273 sawa na asilimia 150 ya malengo ya ilani ya CCM kwa ujenzi wa Skuli mpya Unguja na Pemba hivyo kuvuka malengo ya Ilani ya CCM 2020-2025 iliyoelekeza kujengwa madarasa 1,500 ya Msingi na Sekondari Unguja na Pemba kwa miaka mitano.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Utaani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe: 04 Januari, 2024 katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema ni matumaini yake uwekezaji unaoendelea kufanywa na Serikali kuimarisha miundombinu katika sekta ya elimu utachochea zaidi ufaulu wa wanafunzi.

Kwa upande mwingine Rais amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa Skuli hiyo Benchmark na Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) kumaliza ujenzi wa Skuli ya Utaani mwezi Machi mwaka huu na atafika kufungua baada ya kukamilika.

Naye, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa amempongeza Rais Dk. Mwinyi kwa kuvuka malengo ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 katika sekta ya elimu nchini.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amelitaka Shirika la Biashara Zanzibar (ZSTC) kuagiza chakula nje kukabiliana na kupanda kwa bidhaa nchini, Serikali italiwezesha shirika hilo kifedha kuagiza chakula nje kuleta ushindani na Wafanyabiashara binafsi kuhakikisha wananchi wanapata chakula kwa bei nafuu kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.View attachment 2861854View attachment 2861855View attachment 2861856View attachment 2861857View attachment 2861858View attachment 2861859View attachment 2861860View attachment 2861861View attachment 2861862View attachment 2861863View attachment 2861864View attachment 2861865

Sasa kama fedha zinachotwa Tanganyika utashindwa kujenga eneo lenye ukubwa udiozidi Mbagala.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya nane madarasa 2,273 sawa na asilimia 150 ya malengo ya ilani ya CCM kwa ujenzi wa Skuli mpya Unguja na Pemba hivyo kuvuka malengo ya Ilani ya CCM 2020-2025 iliyoelekeza kujengwa madarasa 1,500 ya Msingi na Sekondari Unguja na Pemba kwa miaka mitano.

Rais Dkt. Mwinyi amesema hayo alipoweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Utaani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe: 04 Januari, 2024 katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Aidha, Rais Dkt. Mwinyi amesema ni matumaini yake uwekezaji unaoendelea kufanywa na Serikali kuimarisha miundombinu katika sekta ya elimu utachochea zaidi ufaulu wa wanafunzi.

Kwa upande mwingine Rais amemtaka mkandarasi wa ujenzi wa Skuli hiyo Benchmark na Wakala wa Majengo Zanzibar (ZBA) kumaliza ujenzi wa Skuli ya Utaani mwezi Machi mwaka huu na atafika kufungua baada ya kukamilika.

Naye, Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa amempongeza Rais Dk. Mwinyi kwa kuvuka malengo ya utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 katika sekta ya elimu nchini.

Halikadhalika Rais Dkt. Mwinyi amelitaka Shirika la Biashara Zanzibar (ZSTC) kuagiza chakula nje kukabiliana na kupanda kwa bidhaa nchini, Serikali italiwezesha shirika hilo kifedha kuagiza chakula nje kuleta ushindani na Wafanyabiashara binafsi kuhakikisha wananchi wanapata chakula kwa bei nafuu kabla ya kuingia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.View attachment 2861854View attachment 2861855View attachment 2861856View attachment 2861857View attachment 2861858View attachment 2861859View attachment 2861860View attachment 2861861View attachment 2861862View attachment 2861863View attachment 2861864View attachment 2861865View attachment 2861866
Huku sasa ndiyo ni kuupiga mwingi na kisha timu inaleta matokeo chanya. Ainisha malengo yaliyopo ndani ya ilani kupitia namba, linganisha malengo hayo dhidi ya matokeo halisi ya kile kilichokwisha kufanyika, kisha fanya tathmini kwa kulinganisha malengo dhidi ya matokeo ya utekelazi.

Huku Bara ni kweli kuupiga mwingi kunapigwa, lakini hakuna kitu kinachoonekana cha kujivunia. Blah! blah! blah! nyingi mno. Ukianisha katika maeneo karibu yote yaliyoainishwa ndani ya ilani utaona 0% ikitawala.

Kukamilika kwa bwawa la umeme la Mwl. Nyerere na kutupatia ufumbuzi wa uhakika wa tatizo la ukatikaji hovyo wa umeme 0%
Kuanza kazi kwa kipande cha SGR kati ya Dar na Moro 0%
Kukamilika kwa njia ya mwendokasi kwenda Mbagala 13.5%
Kumtua mwanamke ndoo ya maji 6.3%
Uhakika wa huduma bora za afya 1.5%
Kukamilika kwa barabara ya Morogoro kati ya Ubungo mpaka Kibaha 45%
Upatikanaji wa mbolea, viwatilivu na pembejeo za kilimo kwa wakati 21%

Listi ya ahadi ni ndefu kwenye ilani yenye kurasa zipatazo 303, lakini matokeo ya jumla katika utekelezaji wake ni "very far below expectation" almaarufu kama "empty case, zero or F".
CCM is the disgrace par excellence..
 
Huyu Dr Hussein Mwinyi angekuwa rais wa Tanzania nafikiri tusingekuwa na tatizo la umeme kama sasa, SGR hadi Dodoma ingekuwa imekamilika kitambo, na mengi uliyataja yangekuwa yamekamilika au kufikia asilimia kubwa.
 
Hana lolote.
 
Back
Top Bottom