Rais Dk. Mwinyi awasili Qatar kumwakilisha Rais Samia

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Doha 2023(Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar Balozi Ibrahim bin Yousif Fakhroo pamoja na Balozi wa Tanzania Qatar Mhe. Habibu Awesi Mohamed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamad Doha, Qatar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Doha 2023 (Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar Balozi Ibrahim bin Yousif Fakhroo pamoja na Balozi wa Tanzania Qatar Mhe. Habibu Awesi Mohamed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamad Doha, Qatar.zibar
IMG-20231209-WA0000.jpg
IMG-20231209-WA0002.jpg
IMG-20231209-WA0001.jpg
 
Je ndiye makamu wa kwanza wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania

KWANINI JAJI MKUU ANASEMA HIVI?/MHE. MPANGO NI MAKAMU WA PILI AU NI MAKAMU WA RAIS JMT.?

View: https://m.youtube.com/watch?v=uEiA-G2LogA

Jaji Mkuu wa Tanzania mara kadhaa katika shughuli za kiserikali humtaja makamu wa rais kuwa ni makamu wa pili wa rais.

Wachambuzi wanahoji kauli hizi za mara kwa mara za jaji mkuu na kwa vile ni mbobezi wa kutafsiri sheria na katiba, wachambuzi wanajiuliza huyu makamu wa kwanza wa rais wa jamhuri ya muungano ni nani ?

Mheshimiwa jaji mkuu amekuwa akisema hayo wakati Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa makamu wa rais enzi za Rais John Magufuli, na pia wakati huu rais akiwa ni Mh. Rais Samia Hassan mheshimiwa jaji mkuu anamtaja Dr. Philip Mpango kama makamu wa pili.

Je huyo makama wa kwanza wa rais enzi za John Magufuli ni nani na pia kwa sasa ambapo rais ni Samia Hassan je makamu wa kwanza ni nani? Maana anatajwa yupo lakini hajulikani ni nani.
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Doha 2023(Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar Balozi Ibrahim bin Yousif Fakhroo pamoja na Balozi wa Tanzania Qatar Mhe. Habibu Awesi Mohamed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamad Doha, Qatar.View attachment 2837135
Tumeambiwa na Waziri Mkuu kwamba Makamu wa Rais yupo nje ya nchi kikazi, Je, kwa nini asiunganishe Safari huko huko alipo na kwenda huko Doha, Qatar kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa JMT badala ya huyo Mwinyi ambaye sisi Watangayika siyo Rais wetu???
Kwa nini sisi Watanganyika tunawakilishwa na mtu ambaye hana mamlaka ya kikatiba ya kuwa kiongozi wetu???
NB: Zanzibar siyo Tanganyika, na Tanganyika siyo Zanzibar, lakini Zanzibar na Tanganyika zote kwa pamoja ni JMT.

Afadhali hata ziara hiyo angeenda Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ingeleta maana ya kwamba Rais wa nchi amewakilishwa kuliko huyo Mwinyi.
Hivi Ikulu ya Tanzania kwa sasa hakuna mtu au Kiongozi anayehusika na masuala ya ITIFAKI ili amshauri vizuri Rais kuhusu mambo haya????
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Doha 2023(Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.

Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar Balozi Ibrahim bin Yousif Fakhroo pamoja na Balozi wa Tanzania Qatar Mhe. Habibu Awesi Mohamed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamad Doha, Qatar.

Hawa wahuni kutwa wako uarabuni. Hii nchi watakuwa wameuziwa waarabu.
 
Je ndiye makamu wa kwanza wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania

KWANINI JAJI MKUU ANASEMA HIVI?/MHE. MPANGO NI MAKAMU WA PILI AU NI MAKAMU WA RAIS JMT.?

View: https://m.youtube.com/watch?v=uEiA-G2LogA

Jaji Mkuu wa Tanzania mara kadhaa katika shughuli za kiserikali humtaja makamu wa rais kuwa ni makamu wa pili wa rais.

Wachambuzi wanahoji kauli hizi za mara kwa mara za jaji mkuu na kwa vile ni mbobezi wa kutafsiri sheria na katiba, wachambuzi wanajiuliza huyu makamu wa kwanza wa rais wa jamhuri ya muungano ni nani ?

Mheshimiwa jaji mkuu amekuwa akisema hayo wakati Mh. Samia Suluhu Hassan akiwa makamu wa rais enzi za Rais John Magufuli, na pia wakati huu rais akiwa ni Mh. Rais Samia Hassan mheshimiwa jaji mkuu anamtaja Dr. Philip Mpango kama makamu wa pili.

Je huyo makama wa kwanza wa rais enzi za John Magufuli ni nani na pia kwa sasa ambapo rais ni Samia Hassan je makamu wa kwanza ni nani? Maana anatajwa yupo lakini hajulikani ni nani.

Ni Rais wa Zanzibar
 
Awamu hii ina makamu wawili wakwaza alikua saa100 ambaye sasa ndo maza house, na wapili ni Philip mpango ambye sasa hatujui yupo wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom