Rais amenichefua siutaki tena Ubunge.......Msikie mwenyewe

Mama Makinda anasema ''sitagombea ubunge 2015

posho zinalipwa siku za vikao tu(siku 9 kwa vikao vitatu achilia cha bajeti)

nishaurini nikope nijenge maana mtakuja nitembelea baada ya kuacha ubunge mkute sina pa kuishi''
 
Mimi nilifikiri kaamua kwa moyo mkunjufu kutogombea kumbe 7bu ya kutokubali kuongeza posho apole sana na nni jambo zuri sana ili na wengine wapate hiyo nafasi
 
Mama yetu jana kafyumu sana................kimsingi ametuma ujumbe kwa waliomkatalia kuongeza posho.........hii video kwa kweli ina sintofahamu nyingi lakini imenitia moyo wananchi kumuuliza mbunge wao kwa ujasiri

Tafadhali bofya hapa upate uhondo wa mkulu wa mjengoni

''Sizitaki mbichi hizi'' Spika kutogombea ubenge katika jimbo lake. - YouTube

Duuh wanasiasa wataanza lini japo kidogo kusema ukweli? Eti ubunge ni sehemu ya umasikini wa kutupwa. Kwa nini wanaenda kukopa, wanahonga na kwenda kwa waganga ili wapate Ubunge ? Ina maana ili wawe masikini wa kutupwa ? Angesema unakuwa masikini ukikosa ubunge tungeelewa.

Ila huyu mama mjanja sana, naona kasoma alama za nyakati akagundua hali ya baba wa Taifa (CCM) inaelekea kuzimu. Kaona atashindwa hiyo miaka ijayo maana wameshachokwa. Mihimili yao akini Luhanjo imeshashtukiwa, kila mtu anawatolea macho. Hali ni mbaya sana.

Wameshafanya ufisadi wa kutosha.
 
yaani wanachi ndio wamshauri kwenda kukopa:A S-confused1:, kitu gani kimemkumba huyu mama?
 
Duuh wanasiasa wataanza lini japo kidogo kusema ukweli? Eti ubunge ni sehemu ya umasikini wa kutupwa. Kwa nini wanaenda kukopa, wanahonga na kwenda kwa waganga ili wapate Ubunge ? Ina maana ili wawe masikini wa kutupwa ? Angesema unakuwa masikini ukikosa ubunge tungeelewa.

Ila huyu mama mjanja sana, naona kasoma alama za nyakati akagundua hali ya baba wa Taifa (CCM) inaelekea kuzimu. Kaona atashindwa hiyo miaka ijayo maana wameshachokwa. Mihimili yao akini Luhanjo imeshashtukiwa, kila mtu anawatolea macho. Hali ni mbaya sana.

Wameshafanya ufisadi wa kutosha.

Mbona wanaulilia sana?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom