Raia wa Marekani kuchagua Rais kesho

hapa tunazungumzia uwezo wa mwanamke kwenye uongozi ......hata Yesu hakumwamini mwanamke ndio maana katika wanafunzi wake hakukua na mwanamke hata mmoja......Wanawake wanatakiwa wakae nyumbani walee familia na si vinginevyo.....


Na laana ya mauti ikushukie wewe na kizazi chako chote! Hapo ulipo huna hata 1/16th ya uwezo na uzoefu wa kuongoza kama HC, japo unamzidi uwezo kwenye mambo ya hovyohovyo hapo nakuaminia!
 
Pole sana maana hadi hivi sasa, wameshaanza kupiga kura na Huyo usiyempenda ndo anaongoza kwa wingi wa kura.
 
Trump anakwenda kushangaza ulimwengu kwa kuinuka kidedea, anayebisha awake dau.
148427c73181bd501ce3ba30a113c37f.jpg
Endelea kulala uote vizuri mkuu.
Marekani rais haamliwi kww kura tu.
 
Hivi tumetuma wawakilishi wetu uko, kuangalia uchaguzi unavyofanyika, na umoja wa Africa wamepeleka wawakilishi.
 
Acha uongo,mimi mwenyewe nafuatilia updates kupitia vyombo vya habari vya huko na hawajaanza kutoa matokeo ya awali.
 
Back
Top Bottom