Rai ya Alphonce Mawazo kwa wana CHADEMA

Utakubaliana na mimi kuwa katika maisha kuna wakati binadamu huwa ana kile kinachoitwa FEAR OF THE UNKNOWN,nakuapia hv niandikapo niko kijiji cha shagihilu,hawajui kinachoendelea kuhusu zito zaidi ya bei ya pamba yao kushuka

Zitto nimaarufu twita tu
 
Tusimjadili zitto huu niukweli vijijini tusisite kuwafikia tuko pamoja kamanda chadema tusonge mbele mungu ibariki CDM
 
Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?
Acha upuuzi we kiazi, hiyo ni typing error, ni sawa sawa na wewe na wewe kwenye post yako ulivyoandika neon ''Jina'' kwa kuanza na herufi kubwa ya ''J'', unataka na wewe tukuitaje?
 
Well said Mkuu ......

Ninatokea jimbo la Kigoma Kaskazini (Matyazo - Kalinzi) lakini
sikubaliani na siasa tata za Mbunge wangu. Last time nilipotembelea
kijijini kwetu watu wengi walionyesha kutomwamini mbunge wetu huyu.

Anyway,... keep going Kamanda you have all our support.

Tell them comrade
 
  • Thanks
Reactions: MC
Back
Top Bottom