Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 May 26, 2012 #4 mmbangifingi said: Kwani kafanya raha gani hapo? Click to expand... . Mkuu mmbangifingi Hapa ni "Dansi Vumbi" .. yaani Original ...hali ya hewa inaruhusu ... huna haja ya AC wala nini ... wewe tu na roho yako!
mmbangifingi said: Kwani kafanya raha gani hapo? Click to expand... . Mkuu mmbangifingi Hapa ni "Dansi Vumbi" .. yaani Original ...hali ya hewa inaruhusu ... huna haja ya AC wala nini ... wewe tu na roho yako!
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,499 May 26, 2012 #6 Mr.Professional said: mambo ya disko vumbi Click to expand... wenyewe tunaita kigodolo uswahilini
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 May 27, 2012 #9 MadameX said: I like her being so natural Click to expand... MadameX meona jinsi alivyo mzuri wa asili? tofauti kabisa na wewe japo umejichakachua na kichina lakin wapi. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MadameX said: I like her being so natural Click to expand... MadameX meona jinsi alivyo mzuri wa asili? tofauti kabisa na wewe japo umejichakachua na kichina lakin wapi.
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 May 27, 2012 #10 gfsonwin said: MadameX meona jinsi alivyo mzuri wa asili? tofauti kabisa na wewe japo umejichakachua na kichina lakin wapi. Click to expand... gfsonwin Mimi naenda na wakati....upo? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
gfsonwin said: MadameX meona jinsi alivyo mzuri wa asili? tofauti kabisa na wewe japo umejichakachua na kichina lakin wapi. Click to expand... gfsonwin Mimi naenda na wakati....upo?
gfsonwin JF-Expert Member Apr 12, 2012 18,274 20,673 May 27, 2012 #11 MadameX said: gfsonwin Mimi naenda na wakati....upo? Click to expand... kwa hiyo huu ni wakati wa kichina siyo..........?
MadameX said: gfsonwin Mimi naenda na wakati....upo? Click to expand... kwa hiyo huu ni wakati wa kichina siyo..........?
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 May 27, 2012 #12 gfsonwin said: kwa hiyo huu ni wakati wa kichina siyo..........? Click to expand... gfsonwin, kwa raha zangu... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
gfsonwin said: kwa hiyo huu ni wakati wa kichina siyo..........? Click to expand... gfsonwin, kwa raha zangu...
SaidAlly JF-Expert Member Jan 22, 2011 2,328 2,217 May 27, 2012 #13 tz1 said: View attachment 54440 Click to expand... Ushindi wa Chelsea huo. Ni furaha kwenda mbele kila kona ya dunia.
tz1 said: View attachment 54440 Click to expand... Ushindi wa Chelsea huo. Ni furaha kwenda mbele kila kona ya dunia.
cacico JF-Expert Member Mar 27, 2012 8,362 7,797 May 27, 2012 #14 SaidAlly said: Ushindi wa Chelsea huo. Ni furaha kwenda mbele kila kona ya dunia. Click to expand... she realy feels the rhythim! no hypertension hapo!
SaidAlly said: Ushindi wa Chelsea huo. Ni furaha kwenda mbele kila kona ya dunia. Click to expand... she realy feels the rhythim! no hypertension hapo!
tz1 JF-Expert Member Mar 19, 2011 2,121 534 May 28, 2012 Thread starter #15 cacico said: she realy feels the rhythim! no hypertension hapo! Click to expand... Maisha mazuri vijijini.
cacico said: she realy feels the rhythim! no hypertension hapo! Click to expand... Maisha mazuri vijijini.
tz1 JF-Expert Member Mar 19, 2011 2,121 534 May 28, 2012 Thread starter #17 seniorgeek said: Disco malapaa. Click to expand... Sharti vumbi lifike kwenye magoti.