Rafiki zangu wanapooa ukaribu wetu hupotea ghafla, nini kinawapata huko?

Oa na wewe uone kama utawafikiria haswa upate mke mwema

Maana mimi nilikuwa timu kataa ndoa lakini baada ya kumpata ambaye tunawezana nimelazimika kuoa
Huyu kuna muda anakuwa rafiki, kuna muda anakuwa mama, kuna muda anakuwa mshkaji, kuna muda anakuwa demu, kuna muda anakuwa dada, kuna muda anakuwa mpenzi kisha ndo anarudi kwenye uhalisia Sasa anakuwa mke
 
Oa na wewe uone kama utawafikiria haswa update mke mwema

So umepanania ututeke ndoani..?
Usikute haujaoa upo maghetoni😅
 
Mtu akishaoa ni kwamba kashavuka step moja mbele yako maana anakuwa busy na ndoa pia anakuwa amempata rafiki mwingine anaye lala naye kitanda kimoja na shuka moja. Baki na wahuni wenzako mkuu hadi na wewe utakapofanya maamuzi magumu kama yeye.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Aah mkuu wahuni?!😟
 
1. Mtu akishaoa ni kwamba kashavuka step moja mbele yako.
2. Baki na wahuni wenzako mkuu hadi na wewe utakapofanya maamuzi magumu kama yeye.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app

Halo we mtumiaji wa Infinix hizo point mbili hapo NABISHAAA
1. Kuoa sio kuvuka step
Unaweza kuoa halafu ukawa ndezi balaaa kuliko ulivyo single.
2. Uhuni hauna uhusiano wowote na ndoa na usingle.
Kuna raia Wana miaka kibaoo kwenye ndoa ila wahuni balaaa

#YNWA
 
Oa na wewe uone kama utawafikiria haswa update mke mwema

Maana mimi nilikuwa timu kataa ndoa lakini baada ya kumpata ambaye tunawezana nimelazimika kuoa
Huyu kuna muda anakuwa rafiki, kuna muda anakuwa mama, kuna muda anakuwa mshkaji, kuna muda anakuwa demu, kuna muda anakuwa dada, kuna muda anakuwa mpenzi kisha ndo anarudi kwenye uhalisia Sasa anakuwa mke
Ngoja tukupe muda.
VINA MUDA BASI HIVI VITU...

#YNWA
 
Halo we mtumiaji wa Infinix hizo point mbili hapo NABISHAAA
1. Kuoa sio kuvuka step
Unaweza kuoa halafu ukawa ndezi balaaa kuliko ulivyo single.
2. Uhuni hauna uhusiano wowote na ndoa na usingle.
Kuna raia Wana miaka kibaoo kwenye ndoa ila wahuni balaaa

#YNWA
Hamuwezi kumtatulia changamoto za kwenye ndoa kwasababu hamjui tamu ya ndoa na chungu ya ndoa.

Back
Top Bottom