Rafiki yangu Teacher amekoma baada ya kuachiwa Gono kali na mchepuko wake

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,377
Huyu jamaa yangu ni mtu wa totoz sana na gambe kimtindo.

Akishakunywa tu atafanya kila namna kuhakikisha anapata demu na kwenda kulala nae


Sasa katika harakati zake za kula mbususu kakutana na pisi kali akaenda nayo dry baada ya siku 2 mwamba kaanza kuhisi maumivu makali na baada ya masaa kadhaa kaanza kukojoa usaha.
Hapa kanifuata nimshauri cha kufanya. Nimemshauri aache kuparamia paramia mademu pisi kali maana hao siku hizi ndo macarrier wa gono na hawajijui

Nimemshauri atulie na mke wake aachane na malaya wa kwenye mabar

Nimemshauri akachome sindano fasta.

Tuwe makini na hizi pisi kali wengi wagonjwa na hawajijui.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwani ulikuwa huzioni nyuzi jukwaani kuna "GONO SUGU" linatembea kimya kimya.

Piga kavu tu ila utajua hujui.
 
Magonjwa Ya Aibu, Fedheha Ila Hakuna Namna Afike Kituo Cha Afya Na Huyo Mwenzake Aanze Dose. Kuloweka Raha Sana Unaipata Yote Sasa Karaha Yake Mbigiri Zikuchome Kama Hivyo Ndiyo Maji Utaita Mmmaaa
 
Ukipiga dry kwa mchepuko hakikisha zinapita angalau siku tatu bila kukutana na mkeo.
Hizi siku zitakujulisha kama umeambukizwa magonjwa haya madogo madogo ya zinaa na kuepuka kuipeleka gono nyumbani
 
Back
Top Bottom