Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Ama kweli, ng'ombe wa maskini hazai. Kweli unamdanganya mumeo unaenda somewhere, kumbe unaufuata mjeredi, tena wa kijana ambaye ni play boy ilihali unalitambua hilo kabisa
Imeniuma sana kushiriki dhambi kumpeleka shemu gheto ili akachakatwe kama nyama choma za mbuzi
Eti shemu, kumbe hata huyo mtoto ulie na picha zake kwenye simu yako sio wa mumeo!? Kwa hiyo ndo umerudi kwa mshikaji kutafuta mbegu mpate mtoto mwingine? Halafu mbele yangu bila aibu unaniambia kuwa unampenda sana rafiki yangu na eti huwezi kuwa na watoto kwa wakina baba tofauti
Mhurumie basi mumeo. Jinsi ambavyo ulivyokuwa unazungumza na mumeo kwenye simu nimeshangaa sana. Yaani una sauti tamu kama ya malaika, ila moyo wako ni wa kishetani. Hata hivyo mimi ni msiri, nimekuja kufungia code JF kwa kuwa inauma sana shemeji yangu
Ndo ushashelegwa hivyo, ushachomekwa jiti hivyo. Kwa maana nyingine ndo ushabanduliwa hivyo. Dah! Muda ule mnashelegana, mimi nilikuwa kwa Mangi dukani nikiwaza kama ingekuwa kwangu mimi
Nahisi umejiuliza ni kwanini afisa mipango nimeondoka bila kuaga. Nilimpigia simu mke wangu, akawa anazumgumza sauti ambayo wewe uliitumia kuzungumza na mumeo, imenibidi niwahi nyumbani kuhakiki kama yupo kweli. Nimewakagua wanangu phenotypes zao kama zinasharadadi na ya kwangu pasi na mke kujua ili nisije kuuzia mbuzi kwenye mabaro
Pesa ya mumeo umemuhonga rafiki yangu mbele yangu. Na bado umemng'ang'aniza akuchape nao. Sio kwamba nimewaonea wivu na kilio chako cha kinafki, la hasha, nimewaza tu ni kwanini mumeo akuhudumie kiasi hicho mpaka unanawili kama malaika, halafu shukhrani zako unamalizia kwa huyu mhuni mwenye wapenzi kibao kama nini, tena wengine wana maumbo mithili ya picha za njiti, wakina Asha Chupi Kubwa na Mashuga mummies
Eti Shemu, uliondoka au unalala kwa mjuba?
Ila kama ni uzuri wa macho, shemu umebarikiwa mashaallah
Ukiondoka, umpe salamu mumeo, tunampenda sana. Ila jitahidi umbebee hata ujauzito mmoja ili naye aache alama ya ushindi katika maisha haya
N.B Shemeji,
Kushelegwa nje ni haki yako, ila kwenye watoto umefeli pakubwa