Rafiki mwema.

jruru80

Senior Member
Mar 31, 2011
139
10
Habarini wana jamvi.Nahitaji rafiki wa kiume ambaye kama mambo yataenda sawa tutaweza kuishi kama mume na mke.

My profile
Umri:35 years
Dini:Mkristo
Elimu :Masters
 
Habarini wana jamvi.Natafuta rafiki wa kiume ambaye kama mambo yataenda sawa tutaweza kuishi kama mume na mke.

sasa mbona unaaonyesha ujmbe umeuandika kwa haraka haraka? au ndio hujiamini mamaa?
tulia andika kwa kituo jieleze wewe ni nani (angalau kwa kifupi), elezea sifa za unayemtafuta
kisha subiri majibu. lakini kwa jinsi ulivyoandika ni sawa na kutupa nyavu ya matundu madogo
baharini hivyo unaweza nasa dagaa, sato, changu, papa na hata nyangumi.
 
Habarini wana jamvi.Natafuta rafiki wa kiume ambaye kama mambo yataenda sawa tutaweza kuishi kama mume na mke.

Vigezo vya huyo rafiki?? Nways nmekutumia PM

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
"ni vema but weka sifa zako zote na unaishi wapi,elimu yako, unajishughulisha na nini na una mtaka mwanaume awe na sifa gani?itapendeza ukifanya hivyo,nakusubiri"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom