Inamaana kufungiwa effective midnight today au vipi?
in sha allah
Kuhusu KWA NEEMA naona wameamua tu kubalance mambo!
Mbona kama likes zimepungua? zilikuwa zaidi ya 15 sasa zimepunguaRadio hizi mbili zimefungiwa miezi sita, na Clouds FM kupigwa faini ya milion 7
KWA NEEMA FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza
Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu kutoshiriki Sensa 2012
Clouds FM:
~ Kuendesha/kusabikia masuala ya ushoga wakati wa uchaguzi wa Marekani, kuendesha kipindi cha uchochez wakati wa uchaguzi wa Marekani
~ Kuendesha kipengere cha 'Jicho la ng'ombe' kisichofata maadili
TCRA kitego cha mahudhui ndio kimefanya kazi hii leo
SOURCE: EA radio
MUNGU hana Mama, Osokoni hebu ondoa upuuzi wako hapa !
Kwahiyo MUNGU aliwaacha watu waliomuumba mwenyewee awauwee kwa kutundikwa msalabani ?
Holly ---- !
Neema FM eti nayo wamefungiwa...ha haa haaa. Radio Iman ndiyo walikuwa wanatafutwa.
Mimi nadhani serikali isiishie kufunga radio moja moja. Waziri wa mambo ya ndani apeleke muswada bungeni - haraka- ili itungwe sheria inayokataza mtu/kikundi cha watu kuhubiri dini isiyo mhusu, kukashfu dini nyingine, mahali popote na kupitia chombo chochote.
Kama mtu ni mkristo aingie kanisani na amazie sala zake huko. Hivyo hivyo kama mtu ni muislam aingie msikitini na kumalizia ibada yake huko. Huku nje tuwe ni watanzania ,chini ya dini moja iitwayo Tanzania ikiongozwa na katiba isiyo na specific dini.
Kwenye sheria, pia iwe ni marufuku kwa mwanasiasa yoyote kuhubiri dini. Kama mtu anaona kuna chama kimekaa kidini apeleke malalamiko yake kwa msajili wa vyama vya siasa, ili naye afanye uchunguzi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua stahiki pale inapothibitika. Wanasiasa waliofikilisika hoja ni hatari kuliko hata hizi radio zilizofungiwa.
Ni lazima kuwe na sheria inayotuongoza vinginevyo baada ya muda tutajikuta kwenye mtafaruku mwingine tena kama huu. Tuwe na sheria.
JF bila shaka ina mchango mkubwa katika hili.
Tumelalamika sana na kushauri kuhusu vituo hivi.
Better late than never!
Mimi nadhani serikali isiishie kufunga radio moja moja. Waziri wa mambo ya ndani apeleke muswada bungeni - haraka- ili itungwe sheria inayokataza mtu/kikundi cha watu kuhubiri dini isiyo mhusu, kukashfu dini nyingine, mahali popote na kupitia chombo chochote.
Kama mtu ni mkristo aingie kanisani na amazie sala zake huko. Hivyo hivyo kama mtu ni muislam aingie msikitini na kumalizia ibada yake huko. Huku nje tuwe ni watanzania ,chini ya dini moja iitwayo Tanzania ikiongozwa na katiba isiyo na specific dini.
Kwenye sheria, pia iwe ni marufuku kwa mwanasiasa yoyote kuhubiri dini. Kama mtu anaona kuna chama kimekaa kidini apeleke malalamiko yake kwa msajili wa vyama vya siasa, ili naye afanye uchunguzi kwa mujibu wa sheria na kuchukua hatua stahiki pale inapothibitika. Wanasiasa waliofikilisika hoja ni hatari kuliko hata hizi radio zilizofungiwa.
Ni lazima kuwe na sheria inayotuongoza vinginevyo baada ya muda tutajikuta kwenye mtafaruku mwingine tena kama huu. Tuwe na sheria.
Neema metolewa kafara tuu ili kubalance mambo Radio Imani sio kufungiwa kwa miezi sita walitakiwa kufutwa kabisa!na kwa nn wasifungiwe wakati uleule wanahamasisha watu kutohudhuria sensa wanafungiwa leo??