RA afukuzwe Bungeni

Wacha1

JF-Expert Member
Dec 21, 2009
16,681
8,233
Mbunge wa Igunga achunguzwe na kufukuzwa bungeni kutokana na kuanzisha makampuni ambayo wamiliki wake hawajulikani au wamekufa na utata mzima wa kampuni za Dowans, Richmond etc. Credibility yake inalivunjia bunge heshima.


Ili kulinda heshima ya bunge letu msikubali kuburuzwa na mtu ambaye siyo muwazi ambaye amewekwa kama pandikizi la kuneemesha raia wa kigeni. Mbunge huyu vile vile alikiuka subpoena za sakata la Richmond. Nanyinyi wabunge kweli mnamuogopa huyu mwarabu? Kwa nini hamuweki hoja binafsi? Watendeeni haki wananchi waliowapa dhamana ya kutetea utajiri na rasilimali za nchi hii, kumbukeni mlipokula kiapo mlisema mtalitetea hili taifa.
 
Nani wa kumfukuza sasa? Ana Makinda? Job Ndungai? Au wapinzani? Maana RA ni shujaa wa CCM nje na ndani yao! Ingekuwa ni ktk nchi inayoendeshwa kwa misingi ya Utawala Bora angevuliwa ubunge, mali zake zikataifishwa, na kuchapwa bakora kila siku 2 hadi cku atakayokufa. Na ingekuwa Kizalendo "intelejensia" ya Bongo ingeshamu-assassinate siku nyingi!
 
Unataka chukua chako mapema wamtose mfadhili wao mkuu????!
 
Kufukuzwa haiwezekani, kama spika na naibu wake kawaweka yeye nani wa kuleta hoja ya kumpinga na nani ataruhusu ijadiliwe bungeni... jamaa anakufa na chama huyo!!!:plane:
 
Practically hilo haliwezekani kupitia dubious bunge tulilonalo. What if...... we kill him??? For sure... I really want him dead!!!!
 
Bunge lipi, linaloongozwa na Anna makinda?? Itakuwa ni maajabu ya dunia. RA ndiye aliyemweka makinda kwenye kiti.
 
Back
Top Bottom