R.I.P rafiki yangu (Class mate) leo umetimiza miaka kadhaa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Ni class mate wangu
Allah ampungizie adhabu ya kaburi

Baada ya miaka kadhaa kuachana toka shule tukakutana nae aport akisafiri kwenda Kigoma m nakwenda Arusha

Kaka akaniambia nw n mheshimiwa anaenda kuwa hakimu huko Kigoma

Kiutani nkakuta namtania mkuu uwe makini yale maeneo sio elekezi hayana uvumilivu hata kidogo akachekaa sanaaa nakujibu kakaa hawaniwezi nimejiandaaa

The br akaenda na ndege yake nkaingia yangu kufika Arusha jion tukachat kaka akashukuru sana ..kukutana

Mwaka ukapita nikiwa naskiliza redione nkasikia ndugu...anasikitika kutangaza kifo cha kakayake mh....kilichotokea kiigoma
kurudia tena n kaka yangu mate ametangulia mbele za Bwana
Kupiga nihakikii hapatikan tena ...

Rahaya mileleleee akupe ee Bwana Mwanga wa mileleee akuangazie upumzike kwa amani br....

Je umejiandaaaje siku yako ya mwisho....Petrol anasema kufa n faida kuishi n kristo

Amejiandaaje kurekebisha maisha yako hujui kesho yako samehe ulionao moyoni waachilie badilika

Godbless you
 
Mara huyo unayemtaja kama mungu! Mara Sara ya kikatoriki! Unajua hatukuelewielewi vile???
 
Sababu ya kifo?
Alipelekewa kesi ndugu kama ujuavyo shetani mwachie shetan .....kesi ikowazi kabisa mtu kazulumiwa ...hukumu
Kaipindisha

Ndugu kaanza kuumwaaa upandee kupeleka hospital..sindanooo kama umeongeza maumivu akaishia.....

Anyway wanapitia magumu sana hizimkazi zao
 
Daah

Lakini mkuu, kisa cha kumkumbuka leo baada ya miaka kadha ni kipi?

Kafa na deni au?
 
Wafilipi 1:21
[21]Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
For to me to live is Christ, and to die is gain.
 
Alipelekewa kesi ndugu kama ujuavyo shetani mwachie shetan .....kesi ikowazi kabisa mtu kazulumiwa ...hukumu
Kaipindisha

Ndugu kaanza kuumwaaa upandee kupeleka hospital..sindanooo kama umeongeza maumivu akaishia.....

Anyway wanapitia magumu sana hizimkazi zao
Sawa,watu wa hivyo wanapaswa kufa mapema.
 
Pdidy Kuna muda uandishi wako unakua kiwango Cha SGR, lakini hai hukui muda unarudi kulekulee, japo siku hizi hauchanganyi Tena herufi ndogo na kubwa.

Ulichoandika kinafikirisha sana. Kuna wakati hua nakaa nawaza hapa nilipo, pumzi yangu ikitwaliwa, marafiki, ndugu, jamaa, familia, watakuwa na kipi cha kuongea kuhusu Mimi?

Nawaza jinsi mjadala na ratiba za mazishi zitakavyokua, nawaza mie wakati huo ntakua katika hali gani? Nafsi na roho vitakua vikishuhudia kinachoendelea au ntakua gizani sijui chochote?

Wanangu ntawaacha wakiwa katika hatua gani ya maisha?

Ukiwaza sana unaishia kushukuru Kwa uhai ulio nao na kila unachokutana nacho. Mambo yote yanapita.

Pole Kwa kumpoteza rafiki na kaka kiongozi
 
nataka niende kighoma
Kuna sisimizi flan wanasumbua

Nao wakatangulie
 
Back
Top Bottom