R I P Mr Mbigiri Mwana CCM mkongwe

Bandabichi

JF-Expert Member
Jun 3, 2012
230
42
Yule mwana CCM mkongwe kutoka mkoani Iringa na aliyewahi shika nyadhifa za kutosha nadani ya CCM amefariki dunia Juzi Ijumaaa Hospitali ya Taifa Muhimbili na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Ihimbo, Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.

Katila historia yake ya kazi ameshawahi kupigwa kibao na mlinzi wa Rais Mwinyi palealipojaribun kufungua mlango wa gari wa rais ikiwa kama kumkaribisha Uwanja wa CCM wa Samola Iringa.

RIP Mr Mbigiri.
 
MAVEMBO HILO

Nakumbuka nilikuna naye miezi michache iliyopita pale Utumishi
 
Yule mwana CCM mkongwe kutoka mkoani Iringa na aliyewahi shika nyadhifa za kutosha nadani ya CCM amefariki dunia Juzi Ijumaaa Hospitali ya Taifa Muhimbili na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao Ihimbo, Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa.

Katila historia yake ya kazi ameshawahi kupigwa kibao na mlinzi wa Rais Mwinyi palealipojaribun kufungua mlango wa gari wa rais ikiwa kama kumkaribisha Uwanja wa CCM wa Samola Iringa.

RIP Mr Mbigiri.

Hiyo ndo cv yake? would you be happy if your folks are remembered that way?
 
Apumzike kwa Amani pia alikuwa mmoja wa wazee wa kanisa letu,mwenyekiti wa jumuiya ya akina baba kanisani! Mungu amrehemu mzee mbigili.
 
Duh, poleni wafiwa, lakini ni wakati wa kukumbuka mambo yake mbali mbali..... jamaa alikuwa ni MC wa shughuri nyingi sana za CCM na serikari miaka ile ya 1990... nakumbuka alikuwa anajiita raisi wa kihesa, hilo la kupigwa kibao , sio kweli , ila alisukumwa pembeni na watu wa usalama kwani yalikuwa ni katika makosa ya kiitifaki, hakutakiwa kufungua mlango wa gari la Mh. Raisi Mandele alipoingia uwanja wa samora, nilikuwepo wakati wa tukio hilo na nakumbuka mvua ilinyesha sana
 
Kama ilivyoelezwa hapo awali, jamaa alikuwa MC wa shughuri nyingi sana za kiserikari na kichama, wakati wa ziara ya Mzee Mandela pale Iringa, yeye alikuwa ni mmoja ya watu walikuwa sehemu ya kupokelea wageni, alifanya kazi hiyo kwa waliotangulia, ila ilipofika gari za mzee Mandele na Mkewe, tena mara baada ya kuingia uwanjani, walitakiwa kushuka na kuingia katika gari la wazir, yeye alikuwepo eneo hili, nalijarubu kufungua mlango, lakini watu usalama wakamwahi na kumsogeza pembeni, nasi n a si vinginevyo, kilichopo ni ule mtazamo kwamba watu wa usalama wasingeweza muacha bula kumuadhibu

Ilikuwaje akamkaribia rais hadi hapo mlangoni? RIP anyway!
 
Mzee alikua mkereketwa sana wa CCM mpaka akawaambukiza wanae.Ila alikua ni mtu mcheshi sana kama ulibahatika kukutana nae.Kwa mara ya mwisho nilikutana nae Pale Leaders kwa bonge akiwa na wanae.Alituchekesha sana ,nakumbuka alimtania Joti,amrushe kwenye kipindi chao cha Zekomedi.
Nalolikumbuka kwa mzee huyu, nilipokutana nae ,alikiri kwamba CDM iliwatesa sana uchaguzi mkuu,na pia alidai inawapa wakati mgumu sana kwa sasa.Ni mzee ambaye enzi zile ,ulikua huwezi kumueleza kitu kuhusu CCM.
R.I.P Mzee Mbigili.
 
Sikitiko kifo cha Mzee Mbigiri ila sifa mbaya aliokua nayo ni KUWA OMBA OMBA KWA SHIDA BINAFSI KATIKA MAKAMBUNI BINAFSI na hata wakati mwingine kutumia vitisho kwa kigezo cha U-wana CCM pamoja na Ukuu wake wa wilaya kufikia malengo yake hayo.

Natumai hili wengi tu watalizungumzia sana tu humu bila kuendekeza ku hulka ya kupaka marehemu mafuta mgongo wa chupa. Nadhani hayuko peke yake katika hilo hata hivo.
 
Hili ninalolizungumzia hapa kuhusu marehemu na mienendo yake wakati wa uhai wake hata huyu mwenzetu Mkuu 'Sembuli' anaweza akalitolea ufafanuzi kwa sana tu tena hata kwa maelezo zaidi ya hayo hapo juu.
 
Namkumbuka sana alivyokuwa akihamasisha halaiki ya wanafunzi wakati viongozi walipokuwa wakija iringa mie wakati huo nikiwa nasoma na hasa wakati ule mandela alipokuja Iringa nikiwa form, two.
Huyu ni mwanasiasa wa kweli aliyetumikia chama chake kwa moyo.
R.I.P Rais wa kihesa
Iringa will always remember you
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom