Qsat Decoder model Q28G kwa bei nafuu Tanzania

Nimekula hasara ya kutosha. Nililipa zaidi ya laki 6 kuweka hii makitu, ilionyesha kwa wiki mbili tu, sasa hivi ni mwezi wa pili hakuna kitu. Hasara!
Ili kupata FTA (local) imebidi niweke dishi la pili! Hasara kweli kweli.

Fundi kasema sijui decoder inahitaji kufanyiwa software upgrade, kachukua decoder kakaa nayo wiki! Bado haionyeshi!!!

Qsat Q28G

Jee ni teja la soccer la Ligi za Ulaya? usihangaike kutafuta vya bei ghali, solution ipo hapa, bila ya kujali dstv wanaupgrade au laa Q28G ndio mkombozi wako, inakuja na account ya SPYCAM miezi 6 kwa ajili ya DSTVEutelsat 36E na DSTV Intelsat 20 68.5E na miezi 6 kwa ajili ya Canalsat 22W ambako kuna soccer channels including ss3. Inakubali simcard, wifi,3g modem na lan. Bila ya kujali gharama nyingi utatumia mb100 tu kwa mwezi ambayo bei itategemea utanunua Voda, Airtel, Tigo, Zantel, Ttcl, Smile, Zanlink, Safaricom au Provider yeyote yule anaeuza DATA/Bundle bei nafuu.



Bila ya kusahau Hii ni new model ambayo pia ina T2 ambayo utapata local Channels kama ITV na TBC na nyengine nyingi kwa kutumia atenna yako tu ya kawaida iwe ya Mwiba au Kipepeo

Itapatikana kwa TSH 240,000tu kumbuka bei za munjy1 huwezi kupata popote pale isipokuwa kwa munjy1
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA Home ya Decoder na Dongles AU WASILIANA NAMI KWA NAMBARI 0773044899 AU 0715044899
 
we umekutana na mwizi na sio fundi wala sio mfano wangu mimi huyo kukula hela tu
 
Back
Top Bottom