Qs & As kwa PM leo

Kuwa mbumbumbu ni kuwaje? Mhuni ni nani, uhuni ni upi? Usiwe irrational kwa hisia zako. Hujanena vema ndugu, sijaona Mh. Lema kama amevunja sheria za Bunge mpaka umwite mtovu wa nidhamu kama unavyofikiri, ndio mana hajawahi kuadhibiwa na Bunge. Tatizo le2 wa Tz ni kwamba m2 anaporeact na kuonesha hisia zake kwa kutendewa isvyofaa twamuona mkorofi. Unataka awe anaongea kama kama Mh. Masele {shy mjini} ndo umwone anaadabu?
 
hahahahahahaha Pinda avue gamba wakati ameshindwa kuwa muwazi katika kutaja mali zake na kushindwa kusimamia ununuzi wa magari ya kifisadi sasa anawezaje kuvua gamba. Kilimo kwanza chenyewe kimefia mkononi mwake sasa gamba atalikimbiaje huyu?

Toka lini mamba akavua gamba?
 
Hata mie alinishangaza sana, yaani ufisadi unaiumiza CCM tu kama chama!!!!!!
Pinda kweli ameamua kuwa kituko sasa...mambo ya uadilifu wa CCM serikali haitakiwi kuufuata!
 
Back
Top Bottom