Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

wakishakupiga semina zao zile mbili lazima wakulazimishe maana wanajua umefahamu 75% ya mambo yao ila ki ukweli ni waongo wana maisha ya kimovie tu ukiaa nao utaona wanaanza kujipisha story ooh kuna dokta ameacha kaona aimlipi kaja qnet amelalamika saana kwamba amechelewa mara kuna rubani kaacha kazi juzi tunae humu ndani yaan usanii mtupu
🤣🤣🤣🤣 Kweny u dokta na u ruban hapo tilia mkazo
 
Uende Polisi kwa ajili ya kitu gani wakati unatuambia umenunua mwenyewe saa...bei ni makubaliano ya mnunuzi na muuzaji
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Sio good morning..shida hata English hamjui..ni good more earning bilionea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa inauzwa Mil 5..?

Na hiyo Qnet inahusika na nini hasa??
Hata Mimi nimekoswakoswa kupigwa na kitu chenye incha Kali na hawa jamaa wa Q net.

Wakati wanakutongoza ununuwe chochote cha Q net
,,wanakwambiya kununuwa saa dukani kwa Mangi 20,000/ na kununuwa saa duka la Q net ni US 2500 Bora kipi?

Bora duka la Q net sababu saa utapata mamilioni ya pesa hadi kufa kwako,,
tena na hata ukifa bado watoto wako wataendelea kupokea mapesa..

Ukinunuwa saa kwenye Duka la Mangi hakuna faida utakayopata zaidi ya kuangalia muda.,na saa ikiharibika ndy umeshapoteza.

.
 
Aliyewatetea msitapeliwe na Q net yupo jela anapambania maisha yake hii nchi tunaishi kwa visasi sana.
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Nikisikiaga habari za Q-Net nacheka kama mwehu. Ila asavali walinikosakosa
 
Back
Top Bottom