Q, Chief: Uwezo wangu kimuziki ni mkubwa sana, Patoranking ameshangaa watanzania kunipotezea

Hajasoma soko la mziki uwezo bila juhudi ni sawa na bule anakumbuka shuka kumekucha kama kashidwa game akae pembeni
 
Kuna ngoma 1 inaitwa 'ASEME', ilikuwa hatari, kuna nyingine anamtafuta RAIS nayo noma
Alianza vizuri sana haya mambo ya mchele (poda )yana gharama zake pia tukumbuke fursa na kipindi anawika mambo hayakuwa kama sasa hivi sijui twitter au instagram kilikuwa kipindi kigumu kiasi kuweza kuyahimilihayo ukija changanya na ngada tena basi inakuwa kazi.
 
Q chilla!!! Nakumbuka album ya kwanza zilikuwa nyimbo za hisia sana unasikiliza mpaka unaweza dondosha chozi!

Nikisikizaga ile remix ya zamani waliyorudia barnaba na lina aisee jamaa yupo vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom