Punguzo la bei Kwa mahitaji ya mayai ya kuku wa kienyeji

kama unahitaji kuku wakienyeji, kwaajili ya nyama, idadi kuanzia kuku 20 nakuendeleaa... popote ulipo dar utaletewa..

tunapatika, sinza, Africasana..

0654785510
au
0768254091

karibuni..
 
Mtu kishaweka namba zake hapo., km kweli unahitaji na uko seriouaness si unamcheki tu,Vitu rahisi mnataka mfanye viwe vigumu
 
Shaban itapendeza ukifunguka.maana ukiweka nusu nusu hivo utapata maswali mengi sana.
Sema unapatikana wapi
Wateja watapateje huduma
Unauwezo wa kutoa huduma kwa kiwango kipi nk.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Punguzeni bei jamani

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
kama unahitaji mayai ya kuku chotala, elfu 9,000 trey., ukiitaji mengi discount ipo.
mayani mazuri, kabisa yana kiini cha njano, makubwa, masafi..

1653d120e5528d14bb6c9a0d3f28fa3c.jpg


karibu sanaa
0654785510 au
0768254091
 
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom