Pulling trailler inatafutwa

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Kuna mzee wangu mmoja ana lori lake scania 124 pulling, anatafuta trailler la kuvutwa. Kama kuna mtu anajua sehemu wanauza tafadhari msaidie.
 
0713 847456 or 0782 847456
tafadhali piga namba hizo kwa mawasiliano.
 
Asanteni kwa msaada wenu mzee wangu ameshapata treiller tayari.

Mungu awabariki wote mliochangia kwa namna moja au nyingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom