Pugu: Rais Magufuli azindua ujenzi wa Reli, asema dereva mzuri hasikilizi maneno ya watu

View attachment 494710 [HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG]:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.
Kmbe kuteka watu n maendeleo? Kuwafanya watu wawe na wasiwasi na maisha yao ndo kuendelea? Aisee n ngumu kumesa hii, how development to be brought if people are not sure of their tomorrow? Any way
 
Jamani tutumie tu akili zakawaida mfano unasafiri kwenda mkoani dereva akaendesha gari kwa mwendo wa kasi hajali kama kunatuta wala konakali ivi abiria mwenye akili atakaa kimya? Ajali ikitokea naniwakulaumiwa dereva au abiria aliyefumbia macho? Tafakari chukua hatua maneno ya wanasiasa ni yakinafki anachokisema sio anachokitenda
 
Wala hakuna anayetaka utekaji.

Hakuna anayetaka kiongozi Mungu mtu.

Hakuna anayetaka kiongozi anayedhani anajua kila kitu.

sasa kama huyataki hayo, mbona kwenye UKUTA uliingia mitini.? kama ulikuwa huyataki ungejitokeza hadharani tar 1 /9 tuone kama kweli huyataki.

vinginevyo kaa kimya. wanaume tupo kazini tunajenga Reli ya standard gauge sasa hivi. na ukizidisha fyokofyoko tunakuteka na huna cha kutufanya.
 
kwenye ufumbuzi wa Reli ya kati Bashite anasema mkoa wa Dar uko salama kabisa. Wakati kuna mbunge anaogopa kuja Dar.
Maajabu mbunge anaogopa kufika Dar wakati mtoto wa mtaani anatoka mikoani kuja Dar akiwa na matumaini maisha yatamnyookea. Ni wazi huyu mbunge ni mhalifu kwa matendo yake, hulika yake au tabia yake. Kwa wahalifu Dar sio salama kwao kwani wataishi kwa hofu au kukamatwa.
 
View attachment 494710 [HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG]:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.
Ni wapi ambapo serikali imekatazwa kufanya kazi zake.
Au jambo gani ambalo serikali ilipanga kulifanya then wananchi wakaizuia ?
 
Mbona yeye anakula siasa maana hiyo position aliyo nayo ni ya kisiasa, aseme tu anahofu ya kuondelewa kwenye ulaji na ndio maana hataki wenzake nao waendelee kufanya siasa.

Uoga ukizidi tabu sana mpaka mtu unafundishwa siasa na Rwanda kweli.
 
View attachment 494710 [HASHTAG]#NUKUU[/HASHTAG]:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.

"Ukiwa dereva wa lori, hutakiwa kusikiliza watu uliowapakia wanaimba nini au wanatazama wapi, wewe endesha lori uwafikishe salama. Dereva mzuri huwa hasikilizi watu aliowapakia wanasema nini, au haangalii kule wanapoangalia wao. Hili lori la maendeleo litafika.

Tunajua tunapokwenda, asitokee mtu anayetaka kubadilisha ajenda yetu tuanze kuzungumzia mambo ambayo hayapo kwenye ilani ya chama." - Rais Magufuli [HASHTAG]#UjenziWaReliYaKisasa[/HASHTAG]
wewe mleta hoja acha uchochezi, tangu lini roli likapakia watu? labda lori la wasomali, sasa kama wanataka kuchimba dawa wasiseme?
 
Back
Top Bottom