Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,836
- Thread starter
- #281
Kumbe unauma sio.Ulisema hivi......
"Nawasalimia wana JF.
Poleni na kazi. Kuna watu wamekuwa wanalalamika kuhusu mada inazozileta wakawa wanasema kwanini tusichangie mambo ya maana ili kukuza Africa Mashariki.
Basi leo nimeona nilete hii mada ya kuhusu Kilimo, Uvuvi na ufugaji Tanzania ili wenzetu wenye shida waweze kujua mazao yapo wapi waweze kupata.
Nitakuwa naweka picha na maeneo husika ndani ya Tanzania.
Ndugu zetu kutoka kenya wanalima maua lakini hawalimi mazao ya chakula tunaweza kuwasaidia waweze kupata japo mlo. Unajua hawa ni ndugu zetu kabisa, kinachotakiwa tu waweze kukusanya pesa zao waje tufanye biashara nao."
Hilo lilikuwa kweli na sawa?
Na pia kuna mahali pia ulisema sisi ni wavivu kiaina.
Anyway.....kwa heri, na uendelee na haya mambo yako JF utakavyo. Naapa sitokubugudhi tena.
Nyie mnapotukana na kuwatusi watanzania kwenu ni fraha sio. Kama mmeelewa hilo basi muache kuleta madharau kwetu. Kama mnaweza ligi muendelee kuwatusi watanzania. Sita kaa kimya na kuwacha mnaonesha watu kwa taarifa zenu za kupika.
Jiheshi na sisi tutawaheshimu.